• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • • Mipango 10 ya ushirikiano kati ya China na Afrika yawanufaisha waafrika kihalisi 2018-03-12

  Kama ilivyo desturi ya wakati wa kisiasa wa mikutano miwili nchini China, mawaziri wa wizara tofauti wamekuwa wakijitokeza kutoa taarifa kuhusu sekta na wizara husika na njia serikali ya China itatumia kuimarisha uchumi na hali za wananchi wa Uchina.

  • FAIDA YA RIPOTI YA SERIKALI YA UCHINA KWA BARA AFRIKA 2018-03-06
  Hatimaye siku ya hafla ya kufungua mikutano ya kongamano la watu wa Uchina iliwasili na kama ilivyodesturi wabunge wapatao elfu tatu kutoka mikoa mbalimbali walimiminika kwenye ukumbi mkuu wa watu wa Uchina ili kuweza kuhudhuria na pia kusikiliza hotuba ya waziri mkuu Bw. Li. Keqiang.
  • FAIDA YA MKANDA MMOJA NJIA MOJA BARANI AFRICA 2018-03-06

  Je mradi wa Ukanda Mmoja Njia Moja umepiga hatua zipi tangu kuzinduliwa kwake miaka mitano iliopita? Hii ni mojawapo ya maswali yaliyoyotolewa kwa naibu wa waziri wa maswala ya nje Bw. Zhang Yesui mnamo tarehe nne mwezi machi katika jumba kuu la wachina alipokuwa akitoa taarifa kwa wanahabari. Bila shaka hili ni swali ambalo wengi wanao fahamu kuhusu mradi huu na nafasi ambayo Africa inachukua katika mpango huu wamepata kujiuliza mara nyingi.

  • Trix Ingado Luvindi, mtangazaji wa habari katika KTN, Kenya 2018-03-05
  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako