Wafanyakazi wa Idhaa ya Kiswahili ya CRI
China Radio International
China
Dunia
 
  • Shanghai yaharakisha ujenzi wa kituo cha mambo ya fedha
  •  2006/10/24
    Shanghai inajitahidi kujenga mji huo uwe kituo cha mambo ya fedha duniani, na hivi sasa imepata maendeleo makubwa. Shanghai ina mfumo kamili wa soko la mambo ya fedha wenye idadi kubwa ya wataalamu na uwezo mkubwa wa kuunganisha masoko ya mambo ya fedha ya sehemu zilizoko pembezoni mwake.
  • Soko la utalii kwenye sehemu za vijijini nchini China lina uwezo mkubwa wa kuendelezwa katika siku za baadaye
  •  2006/10/17
    Shughuli za utalii kwenye sehemu za vijijini nchini China zilipiga hatua kubwa katika kipindi cha likizo ya siku ya taifa, tarehe 1 Oktoba. Mtaalam wa utafiti wa utalii wa sehemu ya vijijini maybe ambaye pia ni Profesa wa chuo cha elimu cha Guizhou Bw. Zhang Xiaosong alisema, maendeleo ya soko la utalii kwenye sehemu ya vijijini nchini China bado yako katika kipindi cha mwanzo, lakini soko hilo lina nafasi kubwa za uendelezaji na biashara katika siku za baadaye.
  • China yapambana na vitendo vya kuingiza fedha haramu
  •  2006/10/03
    Benki ya Wananchi wa China itaendelea kutafuta mbinu ya usimamizi ya kupambana na kuingiza fedha haramu kwenye mzunguko wa fedha, kuendesha shughuli za benki kwa mujibu wa sheria, kugundua matukio makubwa ya uhalifu ya kutia fedha haramu katika mzunguko wa fedha na kuwaadhibu vikali wahalifu hao
  • Watu wapenda "wiki ya dhahabu"
  •  2006/10/03
    Mkurugenzi mtendaji wa ofisi inayoshughulikia mambo ya likizo ya serikali ambaye pia ni naibu mkurugenzi wa idara ya utalii ya China Bw. Wang Zhifa, tarehe 28 mwezi Septemba alipohojiwa na mwandishi wa habari alisema, katika mazingira ya hivi sasa ambayo utaratibu wa mapumziko haujakamilika
  • China yajenga mfumo wa upimaji kuhusu matetemeko ya ardhi kwenye bwawa la maji la Magenge Matatu
  •  2006/09/26
    Meneja mkuu wa kampuni ya uendelezaji wa mradi wa maji wa Magenge Matatu Bw. Li Yongan tarehe 21 mwezi huu alisema, takwimu za upimaji imethibitisha kuwa hivi sasa hali ya matetemeko ya ardhi yaliyotokea karibu na bwawa la maji la Magenge Matatu haikuzidi kiwango kilichosanifiwa.
  • Maonesho ya bidhaa za elektroniki yavutia watu wengi
  •  2006/09/26
    Maonesho ya bidhaa za elektroniki ya kimataifa ya mwaka 2006 yalifanyika katika mji wa Qingdao iliyoko sehemu ya pwani ya mashariki nchini China. Kampuni za elektroniki zaidi ya 400 za duniani zimefika huko kuonesha bidhaa mpya na teknolojia yao ya kisasa zikitaka kupata ushirikiano mpya.
  • Mji wa Jingdezhen wafuata njia mpya ya maendeleo
  •  2006/09/19
    Katika lugha ya Kiingereza jina la nchi ya China ni sawasawa na jina la vyombo vya kauri, zamani nchi nyingine duniani ziliifahamu China kutokana na vyombo vya kauri, katika China, vyombo vya kauri vilivyozalishwa kwenye mji wa Jingdezhen vina sifa nzuri na kupendwa na watu wengi kuliko vyombo vya kauri vilivyozalishwa kwenye sehemu nyingine nchini China
  • Viwanda vya China vyajitahidi kuzalisha bidhaa maarufu zenye hataza ya China
  •  2006/09/12
    Katika miaka ya karibuni bidhaa zilizotengenezwa nchini China zimekuwa zikiuzwa kwa wingi katika nchi za nje na kupendwa na watu wa huko. Katika shughuli za biashara katika muda mrefu uliopita, wanaviwanda wa kisasa nchini China wametambua kuwa bidhaa maarufu ni muhimu sana kwa uhai na maendeleo ya viwanda.
  • Ushirikiano wa uchumi wa kikanda wapamba moto pembezoni mwa ghuba ya kaskazini
  •  2006/09/05
    Kwa wachina wengi ghuba ya kaskazini nchini China ni mahali panapofahamika sana, lakini vilevile pia ni kama mahali pageni. Panafahamika kwa kuwa mahali hapo panatajwa kila siku mchana katika kipindi cha utabiri wa hali ya hewa cha televisheni
  • China yachukua hatua kudhibiti ongezeko kubwa la uwekezaji
  •  2006/08/29
    Mkurugenzi wa kamati ya maendeleo na mageuzi ya China Bw. Ma Kai tarehe 25 mwezi huu hapa Beijing alisema, ongezeko kubwa la uwekezaji kwa mali zisizohamishika limekuwa tatizo kubwa katika mambo ya uchumi wa China.
  • Mji wa kale wa Xian waendeleza kilimo kipya cha mjini
  •  2006/08/22
    Vituo vya kilimo vyenye mazingira ya kupatana kwa viumbe na bustani za maua vilivyojengwa kwenye viunga vya mji wa Xian, mkoani Shanxi, kaskazini magharibi mwa China vinawavutia wakazi wa mjini kwenda kupumzika na kuvitembelea.
  • Kasi mpya ya uchumi wa kando ya magharibi ya mlangobahari wa Taiwan
  •  2006/08/15
    Kwenye pwani ya kusini mashariki ya China kuna mkoa mmoja ambao ulikuwa wa kwanza kutekeleza sera za mageuzi na ufunguaji mlango zaidi ya miaka 20 iliyopita.
  • Teknolojia ya mawasiliano ya habari yachangia maendeleo ya sehemu ya vijiji nchini China
  •  2006/08/08
    Zaidi ya watu milioni 800 kati ya jumla ya watu bilioni 1.3 wa China wanaishi katika sehemu za vijijini, hivyo kuendeleza kilimo na kuinua kiwango cha maisha ya wakulima kunachukuliwa kuwa ni mkazo unaowekwa katika kazi za serikali.
  • Sheria mpya ya kamati ya usimamizi wa sekta ya bima kuanza kutekelezwa mwezi ujao
  •  2006/08/01
    Hivi karibuni kamati ya usimamizi wa sekta ya bima ya China imetangaza "kanuni kuhusu sifa za wakurugenzi na wasimamizi wa ngazi ya juu wa kampuni za bima" na "usimamizi kuhusu wawakilishi wa kampuni za bima za kigeni nchini China", ambazo zitaanza kutekelezwa kuanzia tarehe 1 mwezi Agosti mwaka 2006.
  • Wanauchumi wa China watajirika kutokana na uvumbuzi
  •  2006/07/25
    Hivi sasa uchumi wa China unakuzwa kwa haraka, watu wanasikia habari kuhusu watu wengi wanaotajirika au kuwa mashuhuri kwa usiku mmoja. Katika kipindi hiki cha leo nitawafahamisha vijana wawili waliojiajiri katika miaka ya 80 ya karne iliyopita.
  • China yahimiza ushirikiano wa kiuchumi na nchi za nje
  •  2006/07/11
    Naibu waziri wa biashara wa China bibi Ma Xiuhong tarehe 8 hapa Beijing alisema, hivi sasa serikali ya China inafanya marekebisho juu ya muundo wa miradi ya uzalishaji mali iliyowekezwa na wafanyabiashara wa kigeni hapa nchini, wakati wa kuendeleza uzalishaji wa kisasa, inahimiza maendeleo ya sekta ya huduma, kufanya ushirikiano wa kiuchumi na nchi za nje na kuzielekeza kampuni za China kuwekeza katika nchi za nje
  • Udhibiti wa matumizi ya maji wapata ufanisi mkubwa
  •  2006/07/04
    Wachina ambao wanachukua 21% ya jumla ya idadi ya watu duniani, wanaishi kwa kutegemea 7% ya rasilimali ya maji ya duniani.
  • Vijiji mkoani Jiangsu vyapiga hatua kubwa ya maendeleo
  •  2006/06/27
    China ni nchi yenye wakulima wengi, na maendeleo ya uchumi na jamii ya sehemu za vijijini yako nyuma sana ikilinganishwa na mijini. Ili kubadilisha hali hiyo, serikali ya China imenuia kuharakisha hatua za ujenzi wa sehemu ya vijiji katika miaka 5 ijayo.
  • Kuna "mlima wa dhahabu" kusini mwa Shanghai
  •  2006/06/20
    Jinshan ni sehemu iliyopo kwenye kiunga cha mbali, kusini mwa Shanghai, ambao ndio mji wa kwanza kwa shughuli za viwanda na biashara nchini China. Katika lugha ya kichina jinshan ni mlima wa dhahabu.
  • Njia mpya ya uwekezaji kwa viwanda vya China
  •  2006/06/13
    Katika kipindi fulani kilichopita, nchi zilizoendelea zilipenda sana kununua viwanda vya nchi za nje. Lakini tokea mwanzoni mwa mwaka uliopita, viwanda vya China vyenye teknolojia ya kisasa vilitenda vitendo vya kushtusha vya kununua viwanda vya nchi za nje.
  • Uchumi wa mapumziko wapata ongezeko jipya la uchumi wa China
  •  2006/06/06
    "Sekta ya mapumziko" bado lilikuwa ni neno ambalo lilikuwa halisikiki sana miaka michache iliyopita nchini China, lakini mwaka huu neno hilo limekuwa linatajwa na watu mara kwa mara; tena mapumziko, likizo na ununuzi vimekuwa ni masuala yanayotajwa mara kwa mara na serikali hadi watu wa kawaida.
  • Fursa ya maendeleo kwa maduka na viwanda maarufu vya miaka mingi
  •  2006/05/30
    Katika maendeleo ya miaka mingi ya viwanda na biashara nchini China, yaliibuka maduka mengi maarufu. Kati ya maduka hayo ni lile lenye historia ndefu zaidi lililoanzishwa karibu zaidi ya miaka 500 iliyopita. Maduka hayo yamekuwa shahidi wa maendeleo ya viwanda na biashara ya China, na kubahatika kuendelea kuwepo hadi hivi leo
  • Benki ya dunia yainua kadirio la ongezeko wa uchumi wa China kwa mwaka huu
  •  2006/05/23
    Katika toleo lake Benki ya dunia tarehe 10 hapa Beijing, Benki ya dunia ilitoa toleo lake la kila miezi mitatu kuhusu "Uchumi wa China" ikikadiria juu zaidi ongezeko la uchumi wa China mwaka kuwa asilimia 9.5.
  • Lengo la maendeleo la sekta ya maziwa ya China ni kila mchina apate nusu kilo ya maziwa kwa siku
  •  2006/05/16
    Waziri mkuu wa baraza la serikali ya China Bw. Wen Jiabao hivi karibuni alipofanya ukaguzi kwenye shamba la ufugaji ng'ombe la mji wa Chongqing alisema: "Nina tarajio moja la kumfanya kila mchina, kwanza kabisa ni watoto, apate nusu kilo ya maziwa kwa siku."
  • Shughuli muhimu za wahudumu wa usafi na wakulima katika mwezi May
  •  2006/05/09
    Utalii ni shughuli muhimu katika kipindi cha likizo ya May Day nchini China, ambapo watu wengi sana wanapenda kutalii sehemu mbalimbali. Kwenye sehemu ya utalii yenye mandhari nzuri ya mlima wa Manjano watu wanaweza kuwaona wahudumu wa usafi waliovalia vizibao vya rangi ya manjano wakitunza usafi wa mazingira katika njia za wapitazo watalii.
  • Benki za makazi vijijini zitaanzishwa miaka 10 ijayo
  •  2006/05/02
    Vyama vya ushirika wa fedha vya vijijini vinajitahidi kugawanya hatari ya utoaji mikopo katika ngazi 5 kwa muda wa mwaka mmoja hivi, kusimamia utaratibu wa usimamizi kwa miaka 3 na kuanzisha benki zenye umaalumu wa makazi ya vijijini hatua kwa hatua katika miaka 5 hadi miaka 10 ijayo.
  • Kiongozi wa ujenzi wa vijiji vipya Bw. Wu Renbao
  •  2006/05/02
    Ili kupunguza tofauti kati ya miji na vijiji, na kuongeza pato la wakulima, serikali ya China inahimiza ujenzi wa vijiji vipya, kuziunga mkono sehemu za vijijini kuboresha miundo-mbinu na kuinua kiwango cha uzalishaji mazao ya kilimo, ambapo waliibuka viongozi wengi waliowaongoza wakulima ili waweze kuondokana na umaskini.
  • Pande mbili za mlango wa bahari zakabili changamoto ya utandawazi wa uchumi kwa ushirikiano
  •  2006/04/25
    Mkutano wa siku mbili wa baraza la uchumi na biashara la pande mbili za mlango wa bahari wa Taiwan ulifungwa tarehe 15 hapa Beijing
  • Maonesho ya nguo ya majira ya Spring ya China
  •  2006/04/18
    Sekta ya nguo ya China imepata maendeleo ya haraka katika miaka ya karibuni, bidhaa nyingi za nguo za China zinapendwa na watu wengi wa nchini na nchi za nje.
  • China yafuata njia yake ya uvumbuzi katika sekta ya magari
  •  2006/04/11
    Uzalishaji wa magari unaendelezwa kwa kasi nchini China, na umekuwa moja ya sekta ambazo ni nguzo ya uchumi nchini China, lakini katika miaka mingi iliyopita China haikuwa na magari mengi yenye hataza ya China.
    1 2 3 4 5 6 7