Wafanyakazi wa Idhaa ya Kiswahili ya CRI
China Radio International
China
Dunia
 
Kwenda Xiamen kuonja chai ya Wulong 2005/03/28
Xiamen ni mji wa pwani ulioko kusini mashariki mwa China, mazingira yake murua kwa maisha, yana vivutio vingi ambavyo vinawavutia sana watalii.
Mji wa kale wa magharibi ya mkoa wa Hunan 2005/02/21
Mji wa Fenghuang uko katika sehemu ya milimani ya jimbo linalojiendesha la makabila ya watujia na wamiao ya magharibi ya mkoa wa Hunan, China. Katika mamia na maelfu ya miaka iliyopita, mji huo wa kale ulioko kwenye sehemu ya milimani ulikuwa haujulikani kwa watu
Kwenda mtaa wa Liulichang kutafuta utamaduni wa kale wa China 2005/01/31
Mtaa wa Liulichang umekuwepo tangu enzi ya Qing ya China ya kale. Mwanzoni kwenye mtaa huo kulikuwa na matanuri mengi ya kuchoma vigae vya Liuli yaani vigae vya fahari kwa ajili ya ujenzi wa nyumba za kifalme
Kwenda Hangzhou kuonja chai ya Longjing 2005/01/10
Watu wengi wa mkoa wa Zhejiang wanapenda sana kunywa chai ya kijani. Wanaona kuwa baada ya kufanya kazi kwa siku moja, wakinywa chai ya kijani, mioyo inatulia na uchovu unatoweka. Na ukinywa chai, harufu nzuri ya chai ya kijani inabaki mdomoni kwa muda mrefu, hii inaburudisha sana.
Mji wa Kunming wajenga sehemu na mitaa ya burudani za kiutamaduni ili kuwavutia watalii 2004/12/27
Ili kuwavutia watalii, mji wa Kunming utajenga hatua kwa hatua sehemu na mitaa ya burudani za kiutamaduni ili kuvutia watalii na kuwawezesha wakae huko kwa muda. Uamuzi huo umetolewa kwenye mipango ya mji wa Kunming iliyooneshwa katika maonesho ya shughuli za utamaduni ya Kunming ya mwaka 2004 yaliyofanyika hivi karibuni.
1 2 3 4 5 6 7 8 9 10