Wafanyakazi wa Idhaa ya Kiswahili ya CRI
China Radio International
China
Dunia
 
Ukuta mkuu 2006/05/29
Ukuta mkuu unachukuliwa na wachina kuwa ni fahari ya taifa lao, ukuta mkuu wenye urefu mkubwa ambao ni moja kati ya miradi mikubwa zaidi katika historia ya binadamu unatambaa kwenye ardhi kubwa ya sehemu ya kaskazini ya China. Ukuta mkuu si kama tu ni mali ya urithi wa utamaduni duniani, bali pia ni kivutio cha kimaumbile chenye mtindo maalum.
Mwongo mmoja baada ya mauaji ya halaiki, Rwanda yaanza mkakati kabambe wa kuvutia idadi kubwa ya watalii  2006/05/15
Ni miaka 12 imepita sasa tangu kumalizika kwa mapigano ya wenyewe kwa wenyewe yaliyosababisha vifo vya watu wengi nchini Rwanda, vita ambavyo vilidumu kwa muda wa siku 100
Mikahawa ya chai katika mji wa Chengdu, China 2006/05/08
Wakazi wa mji wa Chengdu wana mazoea ya kucheza karata na kunywa chai, mazoea hayo ya kuishi kwa kujiburudisha yanajulikana nchini China. Katika kipindi hiki cha "safari katika China" tunawaletea maelezo kuhusu mikahawa ya chai mjini Chengdu.
Mapango ya mawe ya Longmen  2006/04/17
Leo tunawaongoza kwenda katika Mji wa Luoyang kutembelea Mapango ya mawe ya Longmen na kutazama maua ya peony. Mji wa Luoyang ni mji wa kale ulioko katikati ya mkoa wa Henan, China, mji huo ni moja kati ya sehemu za machimbuko ya ustaarabu wa taifa la China
Mlima Lusha China 2006/04/10
Mlima Lushan uko kwenye eneo la kati la Mto Changjiang, katika majira ya mchipuko, sehemu ya Mlima Lu inawavutia watalii zaidi.
Liuyang mkoani Hunan China 2006/03/27
Mji mdogo Liuyang ulioko kusini ya kati ya China una mandhari nzuri, mjini humo milima na mito inaegemeana, na mji huo pia unajulikana kwa fashifashi zilizotengenezwa huko
Tamasha kubwa kwenye maskani ya ukuta mkuu wakati wa michezo ya Olimpiki ya Beijing 2008 2006/03/06
Mwaka 2008 michezo ya 29 ya Olimpiki itafanyika hapa Beijing, China, katika kipindi hiki cha Safari nchini China, kuanzia sasa kila mwezi tutawaletea maelezo yanayohusika na michezo hiyo. Na leo tunawaletea maelezo kuhusu Tamasha kubwa kwenye maskani ya ukuta mkuu.
Kutembelea makazi ya watu 2006/02/20
China ni nchi kubwa yenye sehemu tofauti na utamaduni tofauti. Kutokana na hali hiyo makazi ya watu pia yanatofautiana.
Vivutio vya utalii vya Beijing  2006/02/13
Beijing ni mji mkuu wa China, na ni kitovu cha siasa na utamaduni nchini China. Beijing iko katika sehemu ya kaskazini ya ardhi ya tambarare ya kaskazini ya China. Kijiografia, Beijing, Rome ya Italia, Madrid ya Hispania ziko katika latitudo moja.
Kutembelea sehemu ya kusini magharibi mwa China wanakoishi watu wa kabila la Wayi  2006/02/06
Wanawake wa kabila la Wayi wanaanza kuvaa sketi zenye malinda tokea utotoni mwao. Watoto wa kike huvaa sketi nyeupe zenye malinda zilizopambwa kwa mistari miwili myeusi kwenye sehemu ya pindo
1 2 3 4 5 6 7 8 9 10