Wafanyakazi wa Idhaa ya Kiswahili ya CRI
China Radio International
China
Dunia
 
Kivutio cha miji midogo ya China  2005/09/19

China ina rasilimali nyingi za maumbile, licha ya Jiuzhaigou, Zhangjiajie na Huanglong, ambazo zimeorodheshwa kuwa mabaki ya kimaumbile ya dunia, kuna sehemu nyingine zenye mandhari nzuri ya kimaumbile

Rasilimali za utalii nchini China  2005/09/05
China ni nchi kubwa yenye mito na milima mizuri, na utamaduni adhimu. China ina makabila mengi yenye mila na desturi tofauti na inajulikana sana duniani kwa uzalishaji wa mazao ya jadi na asilia pamoja na mapishi mazuri ya chakula ya aina mbalimbali.
Sehemu ya Taohuayuan yenye vivutio vya mandhari mkoani Hunan, katikati ya China 2005/07/18
Sehemu ya Taohuayuan iko katika Wilaya ya Taoyuan mkoani Hunan. Mshairi maarufu wa China ya kale Tao Qian aliwahi kuandika insha moja ya kusimulia kijiji kimoja cha sehemu hiyo.
Kutumia likizo kwa kupanda meli kwenye Mto Changjiang 2005/07/04
Hivi sasa watalii wengi kutoka nchi za nje wanapenda kuja China katika majira ya siku za joto na kutumia likizo zao kwa kupanda meli kwenye Mto Changjiang
Mlima Mingyue 2005/06/20
Mlima Mingyue uko katika Mji wa Yichun mkoani Jiangxi, mlima huo una vilele 12 ambavyo mwinuko wake kutoka usawa wa bahari ni zaidi ya mita elfu moja.
Jengo jekundu la Chuo kikuu cha Beijing na Jengo la Mlango wa Tian An Men. 2005/06/06
Beijing, mji mkuu wa China ni mji wenye historia ndefu, matukio mengi makubwa katika historia ya China yalitokea mjini Beijing, hivyo mjini Beijing yamejengwa majumba mengi ya makumbusho ya historia
Hifadhi ya mazingira ya kimaumbile 2005/06/01
Wakati sehemu nyingi nchini China zinapojitahidi kuendeleza sehemu zenye vivutio vya utalii, mkoa wa Guangxi unazingatia zaidi hifadhi ya raslimali za utalii.
Kula chakula cha kithailand hapa Beijing, China 2005/05/23
Katika mkahawa wa chakula cha kithailand mjini Beijing Phrik Thai, mwandishi wetu wa habari aliona kuwa wahudumu wa Thailand waliovaa nguo za jadi za Thailand wakimsalimia kila mteja kwa kithailand
Vivutio vya mji mdogo Yixing  2005/05/09
Yixing ni mji mdogo wa mkoa wa Jiangsu, mashariki mwa China. Mji huo unaegemea milima na Ziwa Taihu inayojulikana, mandhari yake inapendeza sana. Mbali na mandhari yake nzuri, mji Yixing pia una vivutio vingi vya kiutamaduni. Watu wengi waliowahi kufanya utalii mjini Yixing hawakujisikia uchovu na waling'ang'ania huko.
Mji mdogo wa Boao 2005/04/11
Mji mdogo wa Boao uko katika mji wa Qunhai mkoani Hainan, kusini kabisa mwa China. Katika miaka kadhaa iliyopita, mji huo ulikuwa ni mji mdogo wa pwani usiojulikana.
1 2 3 4 5 6 7 8 9 10