Wafanyakazi wa Idhaa ya Kiswahili ya CRI
China Radio International
China
Dunia
 
Mtaa mmoja wenye mikahawa inayouza aina mbalimbali za chakula kitamu 2008/04/21
Mtaa huo uko kwenye sehemu ya mashariki ya mji wa Xining, kwenye kando mbili za mtaa huo mdogo wenye upana wa mita 10, vimejengwa vibanda vingi vya chuma vilivyofunikwa kwa maturubai meupe, ingawa vibanda hivyo vinaonekana ni vya kawaida, lakini vinauza karibu aina zote za chakula chepesi chenye umaalumu wa mkoa wa Qinghai.
Tarafa maarufu ya Boao, mkoani Hainan China 2008/04/07
Kwenye pwani ya mashariki ya bahari ya kusini ya China kuna tarafa moja ndoto iitwayo Boao, tarafa hiyo ina eneo la kilomita za mraba 2 tu pamoja na watu elfu 10. Tokea mwaka 2002, kila mwaka mkutano wa baraza la Asia la Boao unafanyika huko
Hekalu la Dazhao lililoko kaskazini mwa ukuta mkuu 2008/03/24
Hekalu la Dazhao liko kwenye mji wa zamani wa mji wa Huhehaote, mji mkuu wa mkoa unaojiendesha wa Mongolia ya ndani. Hekalu la Dazhao lilijengwa mwaka 1580 katika enzi ya Ming ya China.
Jumba la makumbusho ya mila na jadi ya "Hutong Zhang" la Beijing 2008/03/10
Michezo ya 29 ya Olimpiki itafanyika hapa Beijing katika majira ya joto ya mwaka huu. Mji mkuu wa Beijing wenye historia ya miaka 3,000 unavutia watalii wengi zaidi kuutembelea mji huu kwa uzuri na vivutio vyake.
Yuantouzhu, lulu iliyoko kwenye ziwa Taihu 2008/02/25
Ziwa Taihu, ambalo liko katika mji wa Wuxi, mkoani Jiangsu, sehemu ya mashariki ya China, ni moja kati ya maziwa matano makubwa ya maji baridi ya nchini China. Kwenye kando la kaskazini magharibi ya ziwa Taihu, kuna sehemu moja ya ardhi iliyojitokeza kwenye ziwa hilo, kwenye sehemu hiyo ya ardhi kuna jiwe moja kubwa mfano wa kobe mkubwa anayeinua kichwa juu, hivyo sehemu hiyo inaitwa kuwa Yuantouzhu, maana yake ni ardhi yenye kichwa cha mungu wa kobe.
Sherehe za mwaka mpya wa China huendelea kwa siku 15 2008/02/11

Siku ya tano ya mwaka mpya ni siku ya kumkaribisha mungu wa utajiri kwa kumfanyia tambiko. Masimulizi ya kale yanasema, siku hiyo mungu wa utajiri anakuja duniani na kuwaletea wanadamu bahati ya kutajirika.

Kutembelea tarafa ya kale ya Rongxiang  2008/01/28
Kwenye eneo la delta ya mto Changjiang ya nchini China, mji wa Wuxi unaweza kuhesabiwa kuwa mji wa kale wenye historia ndefu. Hivi sasa ujenzi wa miji umepamba moto kote nchini China, lakini mji wa Wuxi umehifadhi baadhi ya tarafa za kale zenye sura ya asili, kati ya tarafa hizo kuna tarafa ya Rongxiang yenye historia ya miaka karibu 600.
Misitu ya Shennongjia ya mkoani Hubei, China  2008/01/14
Kwenye mkoa wa Hubei ulioko kwenye sehemu ya kati ya China, kuna misitu maarufu ya asili ya Shennongjia, mazingira ya asili ya ikolojia ya sehemu hiyo yamehifadhiwa vizuri kutokana na watu kufika kwenye sehemu hiyo mara chache, sehemu hiyo imekuwa bohari muhimu la raslimali za mimea na wanyama pori la nchini China.
Kuangalia ndege kwenye ziwa Qinghai  2007/12/31
Kisiwa cha ndege kilichoko kwenye ziwa Qinghai, ambacho kila mwaka wanakaa ndege kiasi cha laki moja wanaohamia sehemu ya kusini kutoka kaskazini katika majira ya baridi na kurejea kaskazini kutoka kusini katika majira ya joto, kimekuwa kivutio kikubwa kwenye sehemu hiyo.
Shamba la mapumziko la Ziwa Taihu la mji wa Suzhou 2007/12/17
Shamba hilo la mapumziko lenye eneo la hekta 30, liko kwenye mlima wa magharibi wa mji wa suzhou, ni shamba lenye uwezo mbalimbali, ikiwemo uzalishaji wa mazao ya kilimo, kuishi na utalii.
1 2 3 4 5 6 7 8 9 10