• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Rais Xi Jinping wa China asisistiza kushikilia njia ya kujenga jeshi lenye nguvu kubwa iliyo na umaalumu wa China
  Habari
  v Mkutano mkuu wa 19 wa Chama cha Kikomunisti cha China kufanyika tarehe 18 Oktoba
  v Mauzo ya jumla ya magari yanayotumia nishati mpya nchini China yazidi milioni 1
  v China imetoa huduma ya kibiashara mara 55 kurusha satilaiti kwa ajili ya nchi nyingine
  v China kuweka mazingira bora ya uvumbuzi
  v China yawaondoa watu milioni 13.9 kwenye umasikini kila mwaka
  More>>
  Maelezo
  v Maonesho ya 24 ya kimataifa ya vitabu yafanyika Beijing
  Maonesho ya 24 ya kimataifa ya vitabu yamefunguliwa leo hapa Beijing. Mashirika zaidi ya 2,500 kutoka nchini mbalimbali duniani yameonesha aina zaidi ya laki tatu za vitabu vilivyochapishwa hivi karibuni, na kati ya mashirika hayo, asilimia 58 yanatoka nchi za nje.
  v Kituo cha ujuzi wa maendeleo ya dunia cha China chazinduliwa

  Kituo cha ujuzi wa maendeleo ya kimataifa cha China kimezinduliwa rasmi hapa Beijing, sambamba na ripoti kuhusu hatua inayopigwa na China katika kutekeleza ajenda ya maendeleo endelevu ya mwaka 2030. Hizi ni hatua mbili zilizochukuliwa na China ili ya kutekeleza ajenda ya maendeleo endelevu ya mwaka 2030 iliyowekwa na Umoja wa Mataifa. Rais Xi Jinping wa China na katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa walitoa salamu za pongezi.

  v Muujiza wa kubadilisha jangwa kuwa msitu huko Saihanba

  Msitu wa Saihanba wenye ukubwa wa hekta elfu 74.7 ulioko kilomita 200 kaskazini mwa mji wa Beijing nchini China, ni msitu mkubwa zaidi duniani uliopandwa na watu. Wafanyakazi wa shamba la msitu huo wametimiza muujiza wa kubadilisha jangwa kuwa msitu katika zaidi ya nusu karne iliyopita.

  More>>
  Picha

  Diplomasia ya China

  Xi Jinping asisitiza kujenga uhusiano wa wenzi wa kimaendeleo duniani ili kuhimiza ustawi wa pamoja

  Muujiza wa kubadilisha jangwa kuwa msitu huko Saihanba

  Wakulima wa mkoa wa Xizang wanufaika na utalii wa vijiji

  Gwaride la kijeshi lafanyika kuadhimisha miaka 90 ya kuanzishwa kwa jeshi la China

  Mwanakijiji aanzisha kampuni ya chai kusaidia kuondoa umaskini
  More>>
  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako