• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Rais Xi Jinping wa China aandaa tafrija kwa viongozi wanaohudhuria mkutano wa kilele wa FOCAC
  Habari
  v Marais wa China na Uganda wakutana
  v "Mambo manane" yafuatiliwa zaidi kwenye ushirikiano wa mkutano wa kilele wa Beijing wa FOCAC
  v Mke wa rais wa China ahudhuria mkutano wa China na Afrika wa kukinga na kudhibiti ugonjwa wa UKIMWI
  v Mkutano wa viongozi wa pamoja wa FOCAC wafanyika hapa Beijing
  v Hotuba ya rais Xi Jinping yathibitisha ushirikiano wa kirafiki na kindugu kati ya China na Afrika
  More>>
  Maelezo
  v Nyaraka muhimu zatangazwa baada ya kufungwa kwa Mkutano wa kilele wa FOCAC wa Beijing
  Mkutano wa kilele wa Baraza la ushirikiano kati ya China na Afrika FOCAC uliofungwa jana hapa Beijing ulitangaza nyaraka mbili muhimu zikiwemo Azimio la Beijing, na Mipango ya utekelezaji, ambazo zimeonesha kwa pande zote maafikiano kati ya China na Afrika kuhusu masuala muhimu duniani kwa hivi sasa. Rais Xi Jinping wa China ameeleza kuwa mkutano wa kilele wa FOCAC wa mwaka huu umefungua ukurasa mpya wa kihistoria wa uhusiano kati ya pande hizo mbili, na kuweka mnara mpya katika ushirikiano kati ya kusini na kusini katika zama mpya.
  v Mashaka ya nchi za magharibi hayatazuia ushirikiano wenye ufanisi mkubwa kati ya China na Afrika
  Mkutano wa Baraza la ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) unaendelea hapa mjini Beijing. Katika miaka 18 iliyopita tangu kuanzishwa kwa Baraza hilo, kumekuwa na mashaka na kupaka matope ushirikiano kati ya pande hizo mbili, lakini hata hivyo, ushirikiano kati ya China na Afrika umepiga hatua thabiti na kupata matunda mazuri. Wakati huo huo baadhi ya vyombo vya habari vya nchi za magharibi na washauri bingwa ambao walitilia shaka juu ya ushirikiano kati ya pande hizo mbili wametoa ripoti inayoonesha ukweli wa mambo.
  v Rais Xi Jinping wa China ahutubia ufunguzi wa Mkutano wa kilele wa Beijing wa FOCAC
  Tarehe 3 Mkutano wa kilele wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika umefunguliwa kwa shangwe kwenye Jumba la mikutano ya umma la Beijing. Rais Xi Jinping wa China alihudhuria ufunguzi wa mkutano na kutoa hotuba isemayo "Tushirikiane kwa kuelekea mustababali wetu wa pamoja na kuhimiza maendeleo kwa moyo mmoja",
  More>>
  Picha

  Rais Xi Jinping wa China ahutubia ufunguzi wa Mkutano wa kilele wa Beijing wa FOCAC

  Rais Xi Jinping wa China aandaa tafrija kwa viongozi wanaohudhuria mkutano wa kilele wa FOCAC

  Waziri mkuu wa Tanzania Mh. Kassim Majaliwa afungua kongamano la uwekezaji kati ya China na Tanzania

  Balozi wa Afrika Kusini nchini China aeleza ushirikiano kati ya nchi mbili

  Mpango wa China wa kupambana na malaria wawanufaisha watu wa Afrika

  Mji wa Beijing umepambwa vizuri ili kukaribisha mkutano wa kilele wa Beijing wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika
  More>>
  • amani na usalama • mawasiliano ya watu na utamaduni
  • afya ya umma • uondokaji umaskini
  • biashara na uwekezaji • 

  Dakika 1

  Fahamu ushirikiano kati ya China na Afrika

  maendeleo yasiyochafua mazingira

  • mambo ya fedha • miundo mbinu
  • kilimo cha kisasa • viwanda
  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako