• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (February 15-February 21) 2020-02-21

  1.Waziri mkuu wa Lesotho Thomas Thabane kushtakiwa kwa mauaji ya mkewe.

  2. Serikali ya Kenya yataka maoni ya Wakenya kuhusu sheria ya Data

  3. Watoto wafariki kwa kula vitafunwa vilivyopikwa kwa dawa ya kuulia wadudu

  4. Viongozi wa Sudan Kusini wakubaliana kuunda serikali ya muungano

  5.Maisha ya baadae ya watoto wa sasa yamo hatarini. Yasema WHO.

  6.Mwanamume kutoweka na hongo ya polisi Embu, Kenya.

  • :Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (February 8-February 14) 2020-02-14

  1Ommy Dimpoz apata mwaliko kushuhudia mchezo wa NBA ALL STAR nchini Marekani, Hawa ndio mastaa watatu tu kutoka Afrika walioalikwa 2Mazishi ya Kobe Bryant na binti yake Gianna 'GiGi' yafanyika kimya kimya
  3China: Rais Xi Jinping awatembelea wagonjwa wa virusi vya Corona
  4Rungu la Moi sasa launganisha 'vitoto vya kifalme' nchini
  5Baada ya Cardi B kusema ataomba uraia wa Nigeria Lil Wayne naye atangaza kuwa na asili ya taifa hilo

  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (February 1-February 7) 2020-02-07

  1Rais Mstaafu wa Kenya,Daniel Moi aaga dunia

  2Maadhimisho ya siku ya ukeketaji dhidi ya wanawake Duniani

  3Jumuiya ya kimataifa yaiunga mkono China katika vita dhidi ya virusi vya korona

  4Waziri mkuu Li Keqiang aongoza mkutano wa kikundi cha uongozi cha kukabiliana na mlipuko wa virusi vya korona

  5Rais Trump afutiwa mashtaka, mchakato wa kumuondoa wagonga mwamba

  6Mikoa 9 kukumbwa na Mvua kubwa nchini Tanzania, TMA yatoa tahadhari na athari zitakazo jitokeza

  7FIFA yamfungia maisha nyota wa Uganda, wengine watatu wapigwa miaka kwa upangaji matokeo

  8Hatimaye mashabiki wa soka nchini Korea walipwa fidia baada ya Ronaldo kutocheza

  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (Januari 25-Januari 31) 2020-01-31

  1Jumla ya watu wawili wanadaiwa kupatikana na virusi vya corona nchini Uingereza

  2Kenya Airway yasitisha safari zake China

  3Sauti Sol lasaini mkataba na kampuni ya Kimataifa ya Universal

  4Mazungumzo ya pande tatu kuhusu GERD kwenye mto Nile kuendelea

  5Mafuriko yawaua watu 14 Lindi

  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (Januari 18-Januari 24) 2020-01-24
  1.Mkurupuko wa ugonjwa China. Usafiri wasitishwa Wahun, uwanja wa ndege na vituo vya treni kufungwa
  2.Uingereza yaahidi kukoma kutoa tahadhari ya usafiri Kenya.
  3.Mwanamke tajiri zaidi Afrika afunguliwa mashtaka ya ulaghai
  4.Lionesses waalikwa kushiriki raga za dunia Canada
  5.Nkurunziza kupata donge nono atakapostaafu mwezi Mei
  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (Januari 11-Januari 17) 2020-01-17
  1.Mbunge wa Embakasi Babu Owino amekamatwa baada ya kumpiga risasi na kumjeruhi vibaya DJ katika Klabu moja jijini Nairobi
  2.Rais wa Iran Hassan Rouhani amesema wale waliohusika katika kuidungua ndege Ukraine ni lazima waadhibiwe
  3.Baba adaiwa kumuua mtoto wake mwenye miaka miwili baada ya kujisaidia kitandani
  4.Akon athibitisha kufikia makubaliano ya kuanza kujenga mji wake nchini Senegal ' Akon City'
  5.Kiongozi mstaafu wa Kanisa Katoliki Papa Benedict wa 16 ametetea suala la makasisi kutofunga ndoa
  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (Januari 4-Januari 10) 2020-01-10
  1.Serikali ya Kenya yatumia ndege kunyunyiza dawa za kukabiliana na nzige
  2.Waziri Mkuu Tanzania,Kassim Majaliwa afuta mnada wa nafaka
  3.Bunge la Kongresi la Marekani lapiga kura kuzuia vita dhidi ya Iran
  4.Bei ya mafuta  yapanda kutokana na shambulizi la Iran
  5.Rais wa Marekani Donald Trump asema Iran yaacha kushambulia ngome za Marekani
  6.Ndege ya Ukraine yaanguka Iran na kuua watu 176
  7.Kijana aliyebaka watu 136 Uingereza ahukumiwa kifungo cha maisha jela
  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (Decemba 28-Januari 3) 2020-01-03
  1.Qasem Soleimani: Marekani imemuua mkuu wa Iran wa vikosi maalum, Pentagon yathibitisha
  2.Lakini je, nini kilichofanyika?
  3.Mahakama yamnyima kibali Kabendera kwenda kushiriki mazishi ya mama yake
  4.Papa Francis aomba radhi kwa kukosa uvumilivu usiku wa mwaka mpya baada ya kumchapa kofi mwanamke
  5.Nzige Wavamia eneo la Kaskazini mwa Kenya na kuharibu mimea
  6.Tanzania: Wanaotaka kujinyonga kukamatwa
  7.Orodha ya matajiri duniani
  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (Decemba 21-Decemba 27) 2019-12-27

  1.Watu 14 wafariki baada ya ndege kuanguka

  2.Wanawake 31 wauawa kwenye shambulio la waasi Burkinafaso

  3. Mapambano kati ya wafanya biashara na waasi yasababisha vifo vya watu 40

  4.Uturuki kutuma vikosi vya jeshi nchini Libya

  5.Misri, Sudan na Ethiopia kutatua tofauti zao juu yam to Nile

   

  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (Desemba 7-Desemba 13) 2019-12-13
  1.TZ: Mfungwa mmoja baada ya kupata msamaha wa Rais, alifanya tukio la wizi na kurejeshwa tena gerezani.
  2.Waziri Mkuu wa Ethiopia ashinda tuzo ya amani ya Nobel
  3.Mabaki ya ndege ya kijeshi kutoka Chile iliyopotea na abiria 38 yakutwa yakielea kwenye maji
  4.Slovenia: Nyota wa Nigeria atimuliwa klabuni baada ya kumpa ujauzito mtoto wa rais wa timu
  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (Novemba 30-Desemba 6) 2019-12-06
  1.Iran yatakiwa kutotengeneza silaha za masafa marefu
  2.AU yataka mizigo wa ugonjwa wa ukimwi kupunguzwa
  3.Ufaransa yashuhudia mgomo mkubwa wa wafanya kazi
  4.Wahamiaji 58 wafa maji baada ya boti kuzama
  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (Novemba 23-Novemba 29) 2019-11-29

  1.Kundi la waasi limewaua watu katika vituo vya kutibu Ebola DRC

  2.Ripoti ya BBI yazinduliwa rasmi nchini Kenya

  3.Watu 36 wafariki kutokana na mvua kunywa DRC

  4.Rwanda na Tanzania zafanya mazungumzo ya kujenga reli ya SGR ya pamoja

  5.Karibu watu 20 wauawa na waasi DRC

  6.

   

  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (Novemba 16-Novemba 22) 2019-11-22
  1.Netanyahu akataa kuondoka madarakani
  2.Watoto 5000 wafariki kutokana na ugonjwa wa ukambi DRC
  3.Watu 7,000 wahanga wa mabomu ya ardhini
  4.Sri Lanka yamuapisha rais mpya
  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (Novemba 9-Novemba 15) 2019-11-15
  1.Kongamano la Kimataifa la Idadi ya Watu na Maendeleo ICPD25 lafunguliwa rasmi leo jijini Nairobi
  2.Bunge la Tanzania lapitisha sheria ya mtu kujipima VVU mwenyewe
  3.Benki Kuu ya Zimbabwe yashindwa kutoa pesa mpya
  4.Jimbo la Kano,Nigeria laanzisha malipo ya kodi ya harusi
  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (Oktoba 26-Novemba 1) 2019-11-01
  1.Uganda kutuma kikosi zaidi Somalia
  2.IS yamteua kiongozi mpya baada ya Badhdadi kufariki
  3.Kundi la wadukuzi lakamatwa Rwanda
  4.China yaungwa mkono katika vita dhidi ya ugaidi
  5.Wanaharakati wamtaka Imran Khan ajiuzulu
  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (Oktoba 19-Oktoba 25) 2019-10-25
  1.Mwanariadha Eliud Kipchoge atunukiwa tuzo ya juu ya Rais
  2.Mahakama ya juu Tanzania yabatilisha sheria ya ndoa za utotoni
  3.Mahakama nchini Bangladesh yatoa hukumu ya kifo kwa watu 16 waliomuua mwanafunzi kwa kumchoma moto
  4.Tanzania yapanda nafasi tatu kwenye orodha ya nchi 190 zenye mazingira mazuri ya kufanya biashara
  5.Tembo 55 wafa kutokana na ukame Zimbabwe
  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (Oktoba 12-Oktoba 18) 2019-10-18
  1.DRC: Yadaiwa takribani wafungwa 45 wamefariki kwa kukosa matibabu.
  2.Tanzania: Mfanyabiashara aliyetajwa kuiibia Tanzania Tsh. Milioni 7 kila dakika, aachiliwa huru
  3.Syria yaziba njia muhimu iliyokusudiwa kutumiwa na Uturuki, kuondoka kwa wanajeshi wa Marekani kwazua mjadala.
  4.AS Roma imekuwa timu ya kwanza Ulaya kufungua akaunti ya Twitter kwa lugha ya Kiswahili.
  5.Bondia Patrick Day aliyepigwa na kupoteza fahamu afariki dunia
  6.Uzinduzi wa reli mpya ya SGR awamu ya pili.
  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (Oktoba 5-Oktoba 11) 2019-10-11

  1.Ethiopia kurushiwa satelaiti ya kwanza mwezi Disemba kutokana na msaada wa China

  2.WHO yasema ugonjwa wa Ebola sasa umedhibitiwa vijijini nchini DRC

  3.Baraza la utawala la Sudan lateua jaji mkuu na mwanasheria mkuu

  4.Rais Magufuli wa Tanzania asema fedha zitakazorudishwa kutoka wahalifu wa kiuchumi zitatumika kujenga mitandao ya barabara

  5.UNICEF yatoa chanjo milioni 1.6 za kipindupindu Sudan

  6.Mtoto wa aliyekuwa rais wa Afrika Kusini akana tuhuma dhidi yake

  7.China na Marekani zaanza mazungumzo ya raundi mpya ya biashara mjini Washington

  8.Operesheni ya Uturuki yasababisha watu 70,000 kukimbia makazi kaskazini mwa Syria

  9.Idadi ya vifo yafikia 104 kwenye maandamano nchini Iraq

  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (Septemba 28-Oktoba 4) 2019-10-04
  1.Watu 13 wafariki kwa ajali Kenya
  2.Marekani yafungua tena ubalozi wake nchini Somalia
  3.Tanzania yasema bado haijawasilisha vipimo vya Ebola WHO
  4.George Weah afuta mpango wa kuuunda Mahakama maalum
  5.Rwanda yatoa mwito wa uwajibikaji wa pamoja kupambana na wanaokanusha kutokea kwa mauaji ya halaiki
  6.Nabil Karoui asalia jela
  7.China yaadhimisha miak 70 ya jamuhri
  8.Wakimbizi wa Burundi 600 warejea nyumbani
  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (Septemba 21-Septemba 27) 2019-09-27
  1.Sudan Kusini kuridhia mkataba wa biashara ya silaha ili kupunguza migogoro na uhalifu
  2.Zaidi ya watu 500 wakamatwa Misri
  3.Georgieva wa Bulgaria ateuliwa mkurugenzi wa IMF
  4.Iran yasisitiza tena kukataa mazungumzo na Marekani mpaka nchi hiyo itakapoondoa vikwazo
  5.Waziri wa mambo ya nje wa China akutana na mwenyekiti wa kamati ya Umoja wa Afrika
  6.Mkutano wa kilele wa malengo ya maendeleo endelevu ya Umoja wa Mataifa wapitisha azimio la kisiasa
  7.Nancy Pelosi atangaza kuanza uchunguzi dhidi ya Donald Trump
  8.Boris Johnson akosolewa na Mahakama ya Juu
  1 2 3 4 5 6 7 8 9 next
  SearchYYMMDD  
  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako