• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (Januari 11-Januari 17) 2020-01-17
    1.Mbunge wa Embakasi Babu Owino amekamatwa baada ya kumpiga risasi na kumjeruhi vibaya DJ katika Klabu moja jijini Nairobi
    2.Rais wa Iran Hassan Rouhani amesema wale waliohusika katika kuidungua ndege Ukraine ni lazima waadhibiwe
    3.Baba adaiwa kumuua mtoto wake mwenye miaka miwili baada ya kujisaidia kitandani
    4.Akon athibitisha kufikia makubaliano ya kuanza kujenga mji wake nchini Senegal ' Akon City'
    5.Kiongozi mstaafu wa Kanisa Katoliki Papa Benedict wa 16 ametetea suala la makasisi kutofunga ndoa
    • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (Januari 4-Januari 10) 2020-01-10
    1.Serikali ya Kenya yatumia ndege kunyunyiza dawa za kukabiliana na nzige
    2.Waziri Mkuu Tanzania,Kassim Majaliwa afuta mnada wa nafaka
    3.Bunge la Kongresi la Marekani lapiga kura kuzuia vita dhidi ya Iran
    4.Bei ya mafuta  yapanda kutokana na shambulizi la Iran
    5.Rais wa Marekani Donald Trump asema Iran yaacha kushambulia ngome za Marekani
    6.Ndege ya Ukraine yaanguka Iran na kuua watu 176
    7.Kijana aliyebaka watu 136 Uingereza ahukumiwa kifungo cha maisha jela
    • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (Decemba 28-Januari 3) 2020-01-03
    1.Qasem Soleimani: Marekani imemuua mkuu wa Iran wa vikosi maalum, Pentagon yathibitisha
    2.Lakini je, nini kilichofanyika?
    3.Mahakama yamnyima kibali Kabendera kwenda kushiriki mazishi ya mama yake
    4.Papa Francis aomba radhi kwa kukosa uvumilivu usiku wa mwaka mpya baada ya kumchapa kofi mwanamke
    5.Nzige Wavamia eneo la Kaskazini mwa Kenya na kuharibu mimea
    6.Tanzania: Wanaotaka kujinyonga kukamatwa
    7.Orodha ya matajiri duniani
    • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (Decemba 21-Decemba 27) 2019-12-27

    1.Watu 14 wafariki baada ya ndege kuanguka

    2.Wanawake 31 wauawa kwenye shambulio la waasi Burkinafaso

    3. Mapambano kati ya wafanya biashara na waasi yasababisha vifo vya watu 40

    4.Uturuki kutuma vikosi vya jeshi nchini Libya

    5.Misri, Sudan na Ethiopia kutatua tofauti zao juu yam to Nile

     

    • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (Desemba 7-Desemba 13) 2019-12-13
    1.TZ: Mfungwa mmoja baada ya kupata msamaha wa Rais, alifanya tukio la wizi na kurejeshwa tena gerezani.
    2.Waziri Mkuu wa Ethiopia ashinda tuzo ya amani ya Nobel
    3.Mabaki ya ndege ya kijeshi kutoka Chile iliyopotea na abiria 38 yakutwa yakielea kwenye maji
    4.Slovenia: Nyota wa Nigeria atimuliwa klabuni baada ya kumpa ujauzito mtoto wa rais wa timu
    • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (Novemba 30-Desemba 6) 2019-12-06
    1.Iran yatakiwa kutotengeneza silaha za masafa marefu
    2.AU yataka mizigo wa ugonjwa wa ukimwi kupunguzwa
    3.Ufaransa yashuhudia mgomo mkubwa wa wafanya kazi
    4.Wahamiaji 58 wafa maji baada ya boti kuzama
    • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (Novemba 23-Novemba 29) 2019-11-29

    1.Kundi la waasi limewaua watu katika vituo vya kutibu Ebola DRC

    2.Ripoti ya BBI yazinduliwa rasmi nchini Kenya

    3.Watu 36 wafariki kutokana na mvua kunywa DRC

    4.Rwanda na Tanzania zafanya mazungumzo ya kujenga reli ya SGR ya pamoja

    5.Karibu watu 20 wauawa na waasi DRC

    6.

     

    • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (Novemba 16-Novemba 22) 2019-11-22
    1.Netanyahu akataa kuondoka madarakani
    2.Watoto 5000 wafariki kutokana na ugonjwa wa ukambi DRC
    3.Watu 7,000 wahanga wa mabomu ya ardhini
    4.Sri Lanka yamuapisha rais mpya
    • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (Novemba 9-Novemba 15) 2019-11-15
    1.Kongamano la Kimataifa la Idadi ya Watu na Maendeleo ICPD25 lafunguliwa rasmi leo jijini Nairobi
    2.Bunge la Tanzania lapitisha sheria ya mtu kujipima VVU mwenyewe
    3.Benki Kuu ya Zimbabwe yashindwa kutoa pesa mpya
    4.Jimbo la Kano,Nigeria laanzisha malipo ya kodi ya harusi
    • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (Oktoba 26-Novemba 1) 2019-11-01
    1.Uganda kutuma kikosi zaidi Somalia
    2.IS yamteua kiongozi mpya baada ya Badhdadi kufariki
    3.Kundi la wadukuzi lakamatwa Rwanda
    4.China yaungwa mkono katika vita dhidi ya ugaidi
    5.Wanaharakati wamtaka Imran Khan ajiuzulu
    • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (Oktoba 19-Oktoba 25) 2019-10-25
    1.Mwanariadha Eliud Kipchoge atunukiwa tuzo ya juu ya Rais
    2.Mahakama ya juu Tanzania yabatilisha sheria ya ndoa za utotoni
    3.Mahakama nchini Bangladesh yatoa hukumu ya kifo kwa watu 16 waliomuua mwanafunzi kwa kumchoma moto
    4.Tanzania yapanda nafasi tatu kwenye orodha ya nchi 190 zenye mazingira mazuri ya kufanya biashara
    5.Tembo 55 wafa kutokana na ukame Zimbabwe
    • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (Oktoba 12-Oktoba 18) 2019-10-18
    1.DRC: Yadaiwa takribani wafungwa 45 wamefariki kwa kukosa matibabu.
    2.Tanzania: Mfanyabiashara aliyetajwa kuiibia Tanzania Tsh. Milioni 7 kila dakika, aachiliwa huru
    3.Syria yaziba njia muhimu iliyokusudiwa kutumiwa na Uturuki, kuondoka kwa wanajeshi wa Marekani kwazua mjadala.
    4.AS Roma imekuwa timu ya kwanza Ulaya kufungua akaunti ya Twitter kwa lugha ya Kiswahili.
    5.Bondia Patrick Day aliyepigwa na kupoteza fahamu afariki dunia
    6.Uzinduzi wa reli mpya ya SGR awamu ya pili.
    • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (Oktoba 5-Oktoba 11) 2019-10-11

    1.Ethiopia kurushiwa satelaiti ya kwanza mwezi Disemba kutokana na msaada wa China

    2.WHO yasema ugonjwa wa Ebola sasa umedhibitiwa vijijini nchini DRC

    3.Baraza la utawala la Sudan lateua jaji mkuu na mwanasheria mkuu

    4.Rais Magufuli wa Tanzania asema fedha zitakazorudishwa kutoka wahalifu wa kiuchumi zitatumika kujenga mitandao ya barabara

    5.UNICEF yatoa chanjo milioni 1.6 za kipindupindu Sudan

    6.Mtoto wa aliyekuwa rais wa Afrika Kusini akana tuhuma dhidi yake

    7.China na Marekani zaanza mazungumzo ya raundi mpya ya biashara mjini Washington

    8.Operesheni ya Uturuki yasababisha watu 70,000 kukimbia makazi kaskazini mwa Syria

    9.Idadi ya vifo yafikia 104 kwenye maandamano nchini Iraq

    • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (Septemba 28-Oktoba 4) 2019-10-04
    1.Watu 13 wafariki kwa ajali Kenya
    2.Marekani yafungua tena ubalozi wake nchini Somalia
    3.Tanzania yasema bado haijawasilisha vipimo vya Ebola WHO
    4.George Weah afuta mpango wa kuuunda Mahakama maalum
    5.Rwanda yatoa mwito wa uwajibikaji wa pamoja kupambana na wanaokanusha kutokea kwa mauaji ya halaiki
    6.Nabil Karoui asalia jela
    7.China yaadhimisha miak 70 ya jamuhri
    8.Wakimbizi wa Burundi 600 warejea nyumbani
    • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (Septemba 21-Septemba 27) 2019-09-27
    1.Sudan Kusini kuridhia mkataba wa biashara ya silaha ili kupunguza migogoro na uhalifu
    2.Zaidi ya watu 500 wakamatwa Misri
    3.Georgieva wa Bulgaria ateuliwa mkurugenzi wa IMF
    4.Iran yasisitiza tena kukataa mazungumzo na Marekani mpaka nchi hiyo itakapoondoa vikwazo
    5.Waziri wa mambo ya nje wa China akutana na mwenyekiti wa kamati ya Umoja wa Afrika
    6.Mkutano wa kilele wa malengo ya maendeleo endelevu ya Umoja wa Mataifa wapitisha azimio la kisiasa
    7.Nancy Pelosi atangaza kuanza uchunguzi dhidi ya Donald Trump
    8.Boris Johnson akosolewa na Mahakama ya Juu
    • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (Septemba 14-Septemba 20) 2019-09-20
    1.Kuuawa kwa kiongozi wa FDLR, ishara tosha ya uhusiano mzuri kati ya Kigali na Kinshasa
    2.Serikali ya Malawi yawaondoa raia wake waliopoteza makazi kutokana na vurugu Afrika Kusini
    3.Saudi Arabia yaonesha mabaki ya droni kwenye miundombinu ya mafuta iliyoshambuliwa
    4.Boris Johnson asubiri hukumu yake kwa kusitisha bunge, huku Jean-Claude Junker akisema makubaliano ya Brexit yanawezekana
    5.Iran yasema haitafanya mazungumzo na Marekani kabla ya
    6.Rais wa zamani wa Tunisia Zine el-Abidine Ben Ali aaga dunia
    7.Ofisi ya wizara ya mambo ya nje ya China yalaani uingiliaji wa Marekani katika mambo ya Hong Kong
    • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (Septemba 7-Septemba 13) 2019-09-20
    1.Nigeria yaanza kuondoshwa raia wake kutoka Afrika Kusini
    2.Mugabe kuzikwa Jumapili
    3.Serikali ya Sudan na makundi ya wapiganaji wakubaliana kufanya mazungumzo ya amani mwezi ujao
    4.Rais wa Kenya asema KDF kuimarisha juhudi za kulinda amani
    5.Rwanda kupokea wakimbizi 500 wa Afrika kutoka Libya hivi karibuni
    6.Misaada zaidi yahitajika kwa ajili ya kukabiliana na wakimbizi wa Somalia
    7.China yatetea utaratibu wa pande nyingi, mazungumzo na ushirikiano kwenye Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa
    8.Waziri mkuu wa Uingereza apata uungaji mkono baada ya kura tatu tofauti za maoni kukipa chama chake ushindi
    • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (August 31-Septemba 6) 2019-09-06
    1.Waziri wa mambo ya nje wa China akutana na naibu mkuu wa kamati kuu ya chama tawala cha Korea Kaskazini
    2.Robert Mugabe afariki
    3.Rais wa Iran atangaza Iran itaendelea kusimamisha utekelezaji wa makubaliano ya nyuklia
    4.China yasema wazo la wanasiasa husika wa Marekani la kuivuruga Hong Kong laonekana wazi
    5.Umoja wa Mataifa waonya kuwa hali ya usalama wa chakula inazidi kuwa mbaya nchini Sudan na Somalia
    6.Nigeria yasusia mkutano wa kiuchumi Afrika Kusini huku wito ukitolewa kukomeshwa mashambulizi dhidi ya wageni
    7.Wabunge Uingereza wambana waziri mkuu
    8.WHO yapeleka dozi 300 za chanjo ya Ebola magharibi mwa Uganda
    9.Watu sita wafariki kwenye mafuriko katika hifadhi ya hells gate kenya
    • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (August 24-August 30) 2019-08-30
    1Umoja wa mataifa yaomba kuhahirishwa kwa mpango wa kurejesha wakimbizi
    2Mkutano wa kilele wa G7 wafungwa
    3Malkia wa Uingereza aidhinisha kusitishwa kwa bunge
    4Kikosi cha Somalia chamtia mbaroni mkuu wa al-Shabab anayehusika na mlipuko mjini Mogadishu
    5Serikali ya Zimbabwe yaelemewa na wingi wa wafungwa magerazani
    6Askari 25 wauawa katika shambulizi la kundi la Houthi kaskazini mwa Yemen
    7China yaitaka Marekani kusimamisha hatua ya makosa ya kuongeza ushuru
    • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (August 17-August 23) 2019-08-23

    1.Rwanda na Uganda zasaini makubaliano kumaliza mgogoro

    2.Kenya yashinda kura ya Afrika kutafuta kuwa mjumbe asiye wa kudumu kwenye Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa

    3.Waziri mkuu mpya wa Sudan aapishwa

    4.Ajali yauwa 18 DRC

    5.Maduro asema yupo kwenye mazungumzo na utawala wa Donald Trump

    6.Uingereza yatoa masharti ya mazungumzo kwa Umoja wa Ulaya juu ya mkataba mpya wa Brexit

    7.Waziri mkuu wa Italia ajiuzulu

    prev 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 next
    SearchYYMMDD  
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako