• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii ( 9 Desemba-15 Desemba) 2017-12-15

    1.Wanajeshi wa Tanzania waliouawa DRC waagwa rasmi

    2.Umoja wa Ulaya kuwarejesha makwao wahamiaji 15,000 kutoka Libya

    3.Askari wasiopungua 18 wa Somalia wauawa katika shambulio

    4.Mnangagwa aomba Zimbabwe iondolewe vikwazo

    5.Mashirika ya misaada yatafuta dola bilioni 1.72 kwa ajili ya kazi za kibinadamu nchini Sudan Kusini kwa mwaka 2018

    6.Maadhimisho ya kuwakumbuka wahanga wa mauaji ya Nanjing yafanyika

    7.Maonesho ya kwanza ya ushirikiano wa nishati kati ya China na Afrika yatafuta maendeleo ya pamoja

    8.Israel yaendelea kushambulia Hamas

    • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii ( 2 Desemba-8 Desemba) 2017-12-08

    1. Wapalestina waandamana baada ya Trump kutambua Jerusalem kuwa mji mkuu wa Israel

    2. Kiongozi wa upinzani Kenya aonywa dhidi ya kuapishwa

    3. Vladimir Putin kuwania urais 2018.

    4. Cyril Ramaphosa kuwania urais Afrika Kusini

    5. Mkuu wa vita dhidi ya Boko Haram afutwa kazi Nigeria

    6. Zaidi ya raia 12,000 wa DRC wakimbilia Zambia

    7. Rais wa Zimbabwe awaapisha mawaziri wapya

    • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (25 Novemba-1 Desemba) 2017-12-01
    1.Rais mpya wa Zimbabwe ataja baraza lake la mawaziri     
    2.Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya aapishwa
    3.Watu wanne wauawa kwenye mapigano baada ya waasi wa Houthi kudhibiti msikiti mkubwa nchini Yemen
    4.Mshtakiwa anywa sumu na kujiua ICC
    5.Mvutano waendelea kuhusu uchaguzi DRC
    6.Mkutano kati ya Umoja wa Ulaya na Umoja wa Afrika wafanyika kujadili uhamiaji
    7.Watu 50 wauawa katika uvamizi wa kikabila nchini Sudan Kusini
    • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (18 Novemba-24 Novemba) 2017-11-24
    1.Emerson Mnangagwa aapishwa kuwa rais mpya wa Zimbabwe
    2.Kikosi cha nne cha askari wa miguu wa kulinda amani wa China chaanza kutelekeza majukumu Sudan Kusini
    3.Rwanda yakubali kuwapokea wahamiaji 30,000 wa Afrika kutoka Libya
    4.Muse Bihi Abdi ashinda uchaguzi wa urais Somaliland
    5.Palestina yakubali kufanya uchaguzi mkuu mwishoni mwa mwaka 2018
    6.Mahakama kuu ya Kenya yasema matokeo ya uchaguzi wa urais uliofanyika upya ni halali
    7.Dr Slaa aliyekuwa kiongozi wa upinzani ateuliwa kuwa balozi
    • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (11 Novemba-17 Novemba) 2017-11-17

    1.Jeshi lamzuilia rais wa Zimbabwe nyumbani

    2.Australia yapiga kura kwa wingi kuhalalisha ndoa za jinsia moja

    3.Watu 11 wafariki katika ajali ya ndege kwenye hifadhi ya Ngorongoro Tanzania

    4. Ajali ya treni yaua 30 DRC

    5.Mahakama kuu ya Kenya kusikiliza mashauri matatu ya pingamizi la uchaguzi wa urais

    6.Marekani yaongoza mashambulizi ya anga dhidi ya Kundi la IS na Al-Shabaab Somalia

    7.Waziri wa mambo ya kibinadamu wa Somalia ajiuzulu

    8.Tetemeko la ardhi lauwa zaidi ya watu 400 Iran na Iraq

    • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (6 Novemba-10 Novemba) 2017-11-10

    1.Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe amfuta kazi makamu wake Emmerson Mnangagwa

    2.UN yaonya hali mbaya ya binadamu Yemen

    3.Kiongozi wa upinzani Kenya apendekeza serikali ya muda

    4.Donald Trump wa Marekani afanya ziara yake ya kitaifa nchini China.

    5.Mwendesha mashtaka wa ICC ahimiza kupelekwa kwa kamanda wa Libya mahakamani

    6.Mahakama ya juu Liberia yasimamisha mchakato wa uchaguzi

    7.Waziri wa Maendeleo ya Kimataifa wa Uingereza, Priti Patel, ajiuzulu

    • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (30 Oktoba-3 Novemba) 2017-11-03

    1.Mawaziri wa Catalonia wawekwa kizuizini

    2.Wauguzi wa Kenya wamaliza mgomo uliodumu miezi 5

    3.Kikosi cha Somalia chavikomboa vijiji kutoka kwa kundi la Al-Shabaab

    4.Marekani kutoa dola milioni 60 kusaidia kikosi cha kikanda cha G5 Sahel

    5.Russia yasema uchunguzi kuhusu matumizi ya silaha za kemikali nchini Syria si wa kitaalamu

    6.Rais wa Marekani kufanya ziara ya kitaifa nchini China

    7.Kenyatta atangazwa mshindi katika uchaguzi mpya wa urais nchini Kenya

    • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (21 Oktoba-27 Oktoba) 2017-10-27
    1.Rais wa Catalonia afuta nia yake ya kuitisha uchaguzi wa haraka
    2.Korea Kaskazini kuiachilia meli ya uvuvi ya Korea Kusini .
    3.Uchaguzi wa urais Kenya wafanyika huku kukiwa na maandamano ya upinzani
    4.Waasi wa kikosi cha ADF wafanya shambulizi huko Beni, mashariki mwa DRC
    5.Watu 10 wauawa katika mlipuko wa bomu la ardhini Somalia
    6.Mkutano mkuu wa 19 wa Chama cha Kikomunisti cha China umefungwa jana hapa Beijing
    7.Ethiopia yatuma walinzi 200 wa amani Sudan Kusini
    • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (14 Oktoba-20 Oktoba) 2017-10-20

    1.Zaidi ya watu 270 wauwawa kwenye shambulizi Somalia

    2.Mkutano wa 18 wa chama cha CPC wafanyika

    3.Wanne wauawa katka maandamano Togo

    4.Kamishena wa tume ya uchaguzi Kenya ajiuzulu

    5. Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, aamuru kuimarisha kikosi cha kulinda amani CAR

    6.Jeshi la SDF laukomboa mji wa Raqqa kutoka kwa kundi la IS

    7.IGAD yasema itafufua mazungumzo ya amani ya Sudan Kusini yaliyokwama ndani ya miezi miwili

    • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (8 Oktoba-13 Oktoba) 2017-10-13

    1.Marekani na Israel zajiondoa UNESCO

    2.Ndege ya  Uturuki yatua ghafla Kenya

    3.George Opong Weah aongoza, katika matokeo ya awali ya uchaguzi mkuu Liberia.

    4.Jeshi la Pakistan laokoa  familia iliotekwa na Taliban miaka 5 iliopita

    5.Serikali ya Kenya yapiga marufuku maandamano ya upinzani katika miji mikuba

    6.Boko Haram yawau watu 5 Nigeria

    7.China yakabidhi msaada wa dharura kwa Sudan Kusini




    • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (2 Oktoba-6 Oktoba) 2017-10-06

    1.Watu 58 wauwawa Las Vegas, Marekani

    2.Watu 20 wauwawa na kimbunga Nate Amerika ya Kati

    3.Familia ya Tundu Lissu yatafuta msaada wa wapelelezi wa kimataifa

    4.Jeshi la Iraq latwaa tena mji wa Hawijah kutoka kwa IS

    5.Serikali ya Hispania yakataa wito wa Catalonia, juu ya matakwa ya uhuru wa jimbo hilo.

    6.WFP yatoa msaada wa tani zaidi ya laki 1.5 za chakula kwa wakimbizi nchini Tanzania

    7.Niger na Marekani wapoteza askari wao kwenye mpaka wa Mali

     

    • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (25 Septemba-29 Septemba) 2017-09-29

    1.Alshabaab washambulia kambi ya jeshi Somalia

    2.Muungano wa Upinzani Kenya waitisha maandamano

    3.Wapiganaji 13 wa kundi la IS wauawa mashariki mwa Afghanistan

    4.Asilimia 92 wapiga kura katika jimbo la wakurd waunga mkono kujitenga na Iraq

    5.Russia yateketeza silaha zote za kemikali

    6.Hali ya utulivu yarejea mjini Uvira, DRC

    • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (16 Septemba-22 Septemba) 2017-09-22

    1.Tetemeko la ardhi Mexico lauwa zaidi ya watu 220

    2.Kimbunga Maria charindima Puerto Rico

    3.Hamas yajiandaa kurejesha mazungumzo na Fatah

    4.Mahakama kuu ya Iraq yaliagiza jimbo la wakurd lisimamishe upigaji kura za maoni

    5.Russia yaamua kufanya uchaguzi mkuu Machi 18 mwaka kesho

    6.Mahakama ya upeo Kenya yatoa umamuzi wa kina kuhusu kutupiliwa mbali kwa matokeo ya uchaguzi

    7.Airbus yazindua kituo cha kutengeneza ndege nchini China

    8.Serikali ya Tanzania imelifungia gazeti la Mwanahalisi kwa miaka miwili zuio hilo pia linahusisha machapisho ya mtandaoni.

    • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (9 Septemba-15 Septemba) 2017-09-15
    • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (4 Septemba-8 Septemba) 2017-09-08

    1.Kimbunga Irma chasababisha maafa Caribbean.

    2.Tetemeko kubwa la ardhi lakumba Mexico.

    3.Mwanasiasa wa upinzani Tanzania Tundu Lissu apigwa risasi

    4.Burundi yapokea kundi la kwanza la wakimbizi kutoka Tanzania

    5.Tani 1000 za msaada wa kibinadamu zafikishwa Deir ez-Zor, Syria

    6.Amnesty International yasema Boko Haram yaua watu 400 tangu mwezi Aprili

    • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (19 Agosti-25 Agosti) 2017-08-25

    1.Rais Buhari awasili nyumbani baada ya miezi mitatu London

    2.Watu kumi na mmoja wauawa katika shambulio la Daech

    3.Chad yakata uhusiano na Qatar

    4.Ubalozi wa Marekani nchini Russia kusimamisha utoaji viza

    5.Korea Kusini na Marekani zaanza luteka ya pamoja ya mwaka huu

    6. Vikosi vya Iraq vyakomboa vijiji 12 kaskazini mwa nchi hiyo

    7.Rais wa Venezuela ahusishwa na rushwa

    8.Wanajeshi 99 wa China wa kulinda amani wafunga safari ya kwenda Sudan

    • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii ( 7 Agosti-11 Agosti) 2017-08-11

    1.Trump asema Korea Kaskazini wanafaa kuwa na wasiwasi sana

    2. Paul Kagame ashinda kura ya urais Rwanda

    3.Rais Jacob Zuma bado aungwa mkono na ANC

    4.Raia 235 wa Afghanistan waliotekwa nyara na kundi lenye siasa kali waokolewa

    5.Msukosuko wa kibinadamu wa Mosul Iraq bado kwisha

    6. Askari sita wajeruhiwa baada ya kugongwa na gari nchini Ufaransa

    7.Mayai yenye sumu yaendelea kuzua wasiwasi barani Ulaya

    8.Mamia ya raia wakimbia mapigano Saudia

    9.Polisi DRC waonyesha wafuasi wa Bundu wanaotuhumiwa mauaji

    • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (29 Julai-4 Agosti) 2017-08-04
    Rais wa Marekani asema uhusiano wa nchi hiyo na Urusi uko hatarini
    Chama tawala chapata viti vingi bungeni nchini Senegal
    Serikali ya Syria na upinzani zasitisha vita Homs
    Mvutano wa kisiasa waendelea kushuhudiwa DRC
    Italia kukabiliana na wahamiaji wanaotokea Libya
    COMESA kutuma ujumbe wa uangalizi kwenye uchaguzi mkuu wa Kenya
    Uganda yaomboleza vifo vya walinzi wake wa amani waliouawa Somalia
    • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (22 Julai-28 Julai) 2017-07-28

    1.Zaidi ya watu 40 wauawa na Boko Haram Nigeria

    2.Iran yafanikiwa kwenye jaribio la roketi

    3.Vikwazo dhidi ya Urusi, Iran na Korea Kaskazini vyapitishwa na senate

    4.Ethiopia kufungua kambi mpya kwa wakimbizi wa Sudan Kusini

    5.Tume ya uchaguzi ya Kenya yakamilisha maandalizi ya uchaguzi wa Agosti

    6.Watu milioni saba wanakabiliwa na njaa Yemen

    7.Kenya na Tanzania zakubaliana kuondoa vikwazo vya biashara

    8.Mawaziri wa nchi za IGAD wakutana kuhimiza amani Sudan Kusini

    • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (15 Julai-21 Julai) 2017-07-21
    1.Vijana sita wa Burundi watoweka Marekani
    2.MONUSCO kufunga kambi zake tano Kivu Kaskazini
    3.Riek Machar, sasa ataka mazungumzo mapya
    4.Mahakama ya ICC kujadili kuachiwa kwa dhamana kwa Laurent Gbagbo
    5.Marekani yawekea raia wa Iran vikwazo vipya
    6.Mhakama Kenya yatoa uamuzi makaratsi ya uchaguzi ya Urais yachapishwe na Al Ghurair
    7.UN na AU wazindua mafunzo ya pamoja ya doria kwa polisi mjini Mogadishu
    8.Rais wa Burundi Piere Nkurunziza afanya ziara nchini Tanzania
    prev 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 next
    SearchYYMMDD  
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako