• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii ( Agusti 13-Agusti 19) 2016-08-19
  1.Machar yupo DRC wasema Umoja wa Mataifa
  2.Mujuru asema ataungana na MDC kumuondoa Mugabe
  3.Polisi Rwanda wamuua mshukiwa wa ugaidi
  4.Serikali ya DRC yatangaza amri ya kutotoka nje usiku Beni na Butembo
  5.Kongamano la nchi za Kiarabu linalolenga kupinga ugaidi lafanyika nchini Sudan
  6.IGAD yaonya Al-Shabaab inafanya mipango kushambulia Kenya na Ethiopia  
  7.Boko Haram yatoa video ya wasichana waliotekwa 2014
  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii ( Agusti 6-Agusti 12) 2016-08-12

  1. Erdogan aahidi ushirikiano na Urusi

  2. Wapiganaji wa IS watimuliwa Sirte

  3. Uchaguzi wa Somalia kufanyika mwisho wa mwezi Oktoba

  4. Kundi la Boko Haram lawaua wachungaji 1,900 wa Nigeria ndani ya miaka 4

  5. Watumishi 76,000 wa Uturuki wasimamishwa kazi tangu kutokea kwa jaribio la mapinduzi

  6. Umoja wa Afrika waanza tena mchakato wa kuteua wajumbe wa kamati yake

  7. Serikali ya Sudan yaupongeza muungano wa vyama vya upinzani nchini humo kwa kusaini makubaliano ya amani

  8. Ujerumani yachukua hatua kali zaidi za kupambana na ugaidi

  9. UN kuchunguza mauaji Oromia na Amharia Ethiopia

  10. Clinton atoa mpango wake wa uchumi

  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (30 Julai-5 Agusti) 2016-08-05
  1.Abubakar Shekau asema bado ndiye kiongozi wa Boko Haram
  2.Chama cha ANC chaongoza katika matokeo ya kura nchini Afrika Kusini
  3.Watu wa Zimbabwe waandamana kupinga mpango wa serikali kutoa noti mpya
  4.Rais wa Sudan Kusini awatimua mawaziri sita wa upinzani
  5.Burundi yalikataza Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kutuma kikosi nchini humo
  6.Mashindano ya Olimpik yaanza mjini Rio De Janeiro Brazil.
  7.Rais Kabila azuru Uganda, usalama mashariki mwa DRC kuwa ajenda ya mazungumzo
  8.Umoja wa Afrika watuma waangalizi nchini Zambia kufuatilia uchaguzi mkuu wa Agosti 11
  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (23 Julai-29 Julai) 2016-07-29
  1.Ujerumani kuchukua hatua kuimarisha usalama
  2.Hillary Clinton akubali uteuzi wa chama cha Democratic
  3.Wafanyakazi wa UN washambuliwa Nigeria
  4.UNHCR lawarudisha nyumbani wakimbizi 18,000 wa Somalia kutoka Kenya
  5.Jaji nchini DRC asema alishinikizwa kumhukumu jela Katumbi
  6.Rais wa Syria atoa msamaha kwa waasi watakaojisalimisha ndani ya miezi mitatu
  7.Salva Kiir amuapisha Jenereli Taban Deng Gai kuwa Makamu wa wa rais
  8.Rwanda yateketeza tani 55 za silaha
  9.Jeshi la DRC laanza operesheni dhidi ya kundi la wapiganaji wenye silaha
  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (18 Julai-22 Julai) 2016-07-22
  1.Trump akubali rasmi uteuzi wa Republican
  2.Salva Kiir, ametoa wito kwa Riek Machar kurejea Juba.
  3.Serikali ya Nigeria yafanya mazungumzo na kundi la upinzani la Niger Delta
  4.Upinzani walalamikia makaratasi ya Kura Zambia
  5.Theresa May afanya ziara yake ya kwanza nje ya nchi
  6.Watu 10 wakamatwa kwa tuhuma za ugaidi Brazil
  7.Kundi la waasi la Uganda la LRA laonekana kufufua shughuli zake nchini Afrika ya Kati
  8.Erdogan atangaza kulifanyia mageuzi jeshi la Uturuki
  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (9 Julai-15 Julai) 2016-07-15
  1.Afisa wa polisi auwa wenzake 6 kwenye kituo cha polisi Kapenguria, Kenya
  2.Zaidi ya watu 85 wauwawa Ufaransa baada ya lori kuparamia umati wa watu  
  3.Rwanda yakataa wito wa kumkamata Omar al-Bashir
  4.Uganda yapeleka Jeshi Susan Kusini
  5.Theresa May ndiye waziri mkuu wa Uingereza
  6.Rais Salva Kiir aamuru kusitishwa haraka kwa mapigano
  7.Carter atangaza kupelekwa Iraq mamia ya askari wa ziada
  8.Serikali ya Tanzania yafuta usajili wa magazeti 473
  9.Aliyekuwa waziri wa Afrika Mashariki kutoka Burundi auwawa
  10.Umoja wa Afrika wafuatilia hali ya Sudan Kusini
  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (4 Julai-8 Julai) 2016-07-08
  Maafisa wanne wa polisi wauwa mjini Dallas, Marekani
  UN yawatia hatiani askari wa Burundi kwa ubakaji
  Uingereza kuwa na Waziri Mkuu mwanamke
  Sudan Kusini kuadhimisha miaka 5 ya uhuru
  Watu 9 wauawa katika sherehe ya Eid Ghana
  Katumbi asema atarudi nyumbani hivi karibuni kuongoza maandamano
  Narendra Modi azuru Msumbiji
  Rwanda yafurahia kuhukumiwa kwa mameya
  Wayahudi 6,000 kuhamishiwa israel
  FBI kutomfungulia mashitaka Bibi Hillary Clinton
  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (27 Juni-1 Julai) 2016-07-01
  Watano wajitokeza kugombea nafasi ya waziri mkuu wa Uingereza
  Rodrigo Duterte aapishwa kuwa rais mpya wa Ufilipino
  Watu 44 wauwawa kwenye shambulizi dhidi ya uwanja wa ndege Uturuki
  Mabaki yaliyopatikana kwenye kisiwa cha Pemba Tanzania ni ya ndege ya Boeing 777
  Takriban wahamiaji 10 wafa maji pwani ya Libya
  Rais wa zamani matatani Argentina
  Uhaba mkubwa wa chakula waikumba Sudan Kusini
  Jeshi la Kenya laua wanamgambo 4 Lamu
  Gesi ya Helium yagunduliwa Tanzania
  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (18 Juni-24 Juni) 2016-06-24

  1.Uingereza yajitoa kwenye Umoja wa Ulaya katika kura ya maoni ya kihistoria

  2.Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa laongeza muda wa vikwazo dhidi ya makundi ya wapiganaji ya DRC

  3.Obama aongea na Kenyatta kuhusu wakimbizi

  4.Makabiliano kati ya raia katika wilaya mbalimbali Burkina Faso

  5.Jean-Pierre Bemba ahukumiwa kifungo cha miaka 18 jela

  6.Burundi yachukua hatua kupambana na homa ya manjano

  7.Wapalestina wanne wahukumiwa kifungo cha maisha kwa kuwaua wanandoa wa Israel

  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (11 Juni-17 Juni) 2016-06-17

  1. Polisi wakamata waasi 26 kusini mwa Burundi

  2.Mwanajeshi awaua watu 8 kwenye kambi Uganda

  3.Wasomali 18 wafa ndani ya bohari nchini DRC kwa kukosa hewa

  4.Umoja wa Mataifa wakubali kambi ya wakimbizi ya Daadab, ifungwe

  5.Rais wa Afrika Kusini asema kuna matumaini kwenye eneo la maziwa makuu

  6.Jeshi la Nigeria lawaokoa mateka 57 kutoka kundi la Boko Haram

  7.Afrika Kusini yaadhimisha maandamano dhidi ya ubaguzi wa rangi

  8.CIA yaonya kuhusu mashambulizi zaidi kutoka kwa kundi la IS

  9.Kisanduku cha ndege ya EgypAir chapatikana

  10.Mbunge wa chama cha Leba auawa Uingereza

  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (6 Juni-10 Juni) 2016-06-10

  1.Nchi za Afrika Mashariki zatangaza bajeti ya mwaka 2016-2017

   2.Wapiganaji wa kundi la Al-Shabaab washambulia makao makuu ya kikosi cha Umoja wa Afrika nchini Somalia

  3.Obama amuidhinisha Clinton kuwania urais kwa chama cha democrat

  4.Takriban watu 30 wauawa Iraq

  5.Kampeni ya kura ya maoni yashika kasi Uingereza

  6.Upinzani DRC wakubali kushiriki mazungumzo kwa masharti

  7.Mashirika mawili ya ndege yafuta safari Nigeria

  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (30 Mei - 3 Juni) 2016-06-03
  1.Miili ya wahamiaji yapatikana-Libya
  2.Rais wa Burundi awapa waasi makataa ya wiki mbili kujisalimisha
  3.Mtu aliyepanga shambulio la chuo cha Garissa auawaAliyekuwa Rais wa Chad Hissene Habre afungwa miaka 20
  4.Walioshambulia ndege ya Somalia wahukumiwa maisha
  5.Jeshi la Sudan latwaa tena eneo la kimkakati kwenye mkoa wa Blue Nile
  6.Kundi la waasi la M23 la DRC lakubaliwa kuwa chama cha siasa
  7.Sudan yakataa kujiunga na kamati ya kikanda ya kupambana na kundi la LRA
  8.Ndege iliyoanguka ya Misiri yaripotiwa kutua kwa dharura mara tatu ndani ya saa 24 kabla ya ajali
  prev 1 2 3 4 5 6
  SearchYYMMDD  
  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako