• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (Oktoba 15-Oktoba 21) 2016-10-21
  Afrika Kusini yaanza mchakato wa kujiondoa ICC,
  Jeshi la Iraq mbioni kuikomboa Mosul,
  Aliyekuwa Makamu wa DRC Jean-Pierre Bemba akutwa na hatia ya kuhonga mashahidi,
  Russia yatangaza kurefusha mpango wa kusimamisha vita huko Aleppo kwa siku moja,
  Trump asema atakubali matokeo ya kura ya Urais ikiwa atashinda,
  Wanafunzi waendelea kuandama Afrika Kusini,
  Waasi washutumiwa kwa kuvunja makubaliano ya amani Yemen,
  Waziri mkuu wa Uingereza,ahudhuria mkutano wa kwanza wa EU,
  Uganda kurefusha muda wa uwepo wa jeshi lake nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati kuisaidia kupambana na kundi la waasi.
  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (Oktoba 8-Oktoba 14) 2016-10-14
  1.Scotland kutangaza mswada mpya ya kura za maoni za uhuru
  2.Meli ya kijeshi ya Marekani yarusha makombora dhidi ya vituo vya rada vya kundi la Houthi nchini Yemen
  3.Mfalme wa Thailand Bhumibol Adulyadej afariki
  4.Wasichana 21 wa Chibok waachiliwa Nigeria
  5.Watu 23 wauawa baada ya kambi ya wakimbizi kushambuliwa CAR
  6.Ethiopia yatangaza hali ya hatari
  7.Umoja wa Afrika wafikiria kutoa fidia kwa raia walioathiriwa na operesheni za vikosi vyake nchini Somalia
  8.Kiongozi wa waasi DRC ajisalimisha baada ya miaka 5
  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (Oktoba 1-Oktoba 7) 2016-10-08
  1.Burudi yachukua uamuzi wa kujiondoa kuwa mwanachama wa ICC
  2.Kibunga chauwa watu 300 Haiti 
  3.Wanajeshi wanaomtii Machar nchini DRC kurudi nyumbani
  4.Antonio Guterres ateuliwa kuchukua wadhfa wa Ban Ki-moon
  5.Jeshi la Syria lakamata kilele cha mlima muhimu huko Aleppo
  6.Kikosi cha usalama cha Afghanistan chamwua kamanda mwandamizi wa kundi la Taliban
  7.Vikosi vya AMISOM vyawaua wapiganaji 7 wa kundi la Al-Shabaab kusini Somalia
  8.Serikali ya Ethiopia yakanusha polisi waliuwa raia kwa risasi
  9.Wananchi wa Colombia wapinga makubaliano ya amani na FARC
  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (Septemba 24-Septemba 30) 2016-09-30

  1. Mdahalo urais wafanyika Marekani

  2. waziri mkuu na rais wa zamani wa Israel Shimon Peres alifariki dunia

  3. Ajali ya kugongana kwa treni yatokea Marekani

  4.Jeshi la Uganda lasema litachukua hatua kumwokoa askari wake aliyetekwa nyara na wapiganaji wa Al Shabaab

  5.Serikali ya Afghanistan na chama cha Hizb-e-Islami wasaidia makubaliano ya amani

  6.Pendekezo la Namibia latolewa kwenye mkutano wa 17 wa CITES mjini Johannesburg

  7.UNHCR yasema wakimbizi zaidi ya elfu 30 wa Somalia wamerejeshwa kwao kwa hiari

  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii ( Septemba 10-Septemba 16) 2016-09-16
  1.Watu 17 wafariki kutokana na tetemeko la ardhi kaskazini mwa Tanzania
  2.Mkutano wa viongozi wa IGAD wafanyika nchini Somalia
  3.Rais Zuma ailipa serikali dola milioni 7.8 za ukarabati uliofanywa kwenye nyumba yake binafsi
  4.Katibu mkuu na mwenyekiti wa Baraza Kuu la UN walaani vikali jaribio la nyuklia la Korea Kaskazini
  5.Waziri wa mambo ya nje wa Ujerumani asema NATO inahitaji kuzungumza na Russia
  6.Zaidi ya waandishi wa habari 95 wauawa katika nchi 25 mwaka huu
  7.China yatoa ripoti kuhusu maendeleo ya ulinzi wa haki za binadamu katika mfumo wa sheria
  8.Naibu waziri mkuu wa China ataka kuongezwa juhudi ili kuendeleza Ukanda Mmoja na Njia Moja
  9.China imefanikiwa kurusha maabara ya anga za juu ya Tiangong-2
  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii ( Septemba 3-Septemba 9) 2016-09-09
  1.Jean Ping wa Gabon akata rufaa
  2.EAC yakubali mapendekezo ya mratibu wa mazungumzo ya Burundi
  3.Israel yaanza kujenga kizuizi kudhibiti mipaka yake
  4.Maaskofu DRC wasisitiza umuhumi wa mazungumzo shirikishi
  5.AU yaahirisha kutuma ujumbe Gabon
  6.Obama akutana na rais wa Ufilipino baada ya sintofahamu
  7.IS yapoteza ngome kwenye mpaka wa Uturuki na Syria
  8. Jaribio kubwa la nyuklia la Korea Kaskazin  lasababisha tetemeko la ardhi
  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii ( Agusti 27-Septemba 2) 2016-09-02
  1.Rais wa Gabon Ali Bongo ametangazwa mshindi wa Uchaguzi wa urais
  2.Maandamano yaendelea Zimbabwe dhidi ya serikali
  3.Waziri wa zamani ahukumiwa Malawi
  4.Wahamiaji 6,500 waokolewa katika pwani ya Libya
  5.Wavenezuela waandamana kupinga utawala
  6.Rousseff aondolewa madarakani
  7.Serikali ya Russia yafuta marufuku ya kwenda Uturuki kwa ndege za kukodi
  8.Msemaji wa IS auawa nchini Syria
  9.Trump azuru Mexico.
  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii ( Agusti 20-Agusti 26) 2016-08-26
  1.Raia kuondoka mji wa Daraya Syria
  2.Watu 250 wafariki baada ya tetemeko la ardhi Italia
  3.Mapogano ya miaka 50 yasitishwa Colombia
  4.Shughuli za rejea kama kawaida Harare
  5.Riek Machar apokea matibabu Sudan
  6.Watu 5000 kuondolewa katika mji wa Daraya uliozingirwa nchini Syria
  7.Marekani yapokea ombi rasmi la Uturuki la kumrejesha nyumbani shehe Gulen
  8.Jeshi la Nigeria latangaza kumjeruhi kiongozi wa Boko Haram
  9.Kiongozi mpya wa chama tawala nchini Burundi achaguliwa
  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii ( Agusti 13-Agusti 19) 2016-08-19
  1.Machar yupo DRC wasema Umoja wa Mataifa
  2.Mujuru asema ataungana na MDC kumuondoa Mugabe
  3.Polisi Rwanda wamuua mshukiwa wa ugaidi
  4.Serikali ya DRC yatangaza amri ya kutotoka nje usiku Beni na Butembo
  5.Kongamano la nchi za Kiarabu linalolenga kupinga ugaidi lafanyika nchini Sudan
  6.IGAD yaonya Al-Shabaab inafanya mipango kushambulia Kenya na Ethiopia  
  7.Boko Haram yatoa video ya wasichana waliotekwa 2014
  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii ( Agusti 6-Agusti 12) 2016-08-12

  1. Erdogan aahidi ushirikiano na Urusi

  2. Wapiganaji wa IS watimuliwa Sirte

  3. Uchaguzi wa Somalia kufanyika mwisho wa mwezi Oktoba

  4. Kundi la Boko Haram lawaua wachungaji 1,900 wa Nigeria ndani ya miaka 4

  5. Watumishi 76,000 wa Uturuki wasimamishwa kazi tangu kutokea kwa jaribio la mapinduzi

  6. Umoja wa Afrika waanza tena mchakato wa kuteua wajumbe wa kamati yake

  7. Serikali ya Sudan yaupongeza muungano wa vyama vya upinzani nchini humo kwa kusaini makubaliano ya amani

  8. Ujerumani yachukua hatua kali zaidi za kupambana na ugaidi

  9. UN kuchunguza mauaji Oromia na Amharia Ethiopia

  10. Clinton atoa mpango wake wa uchumi

  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (30 Julai-5 Agusti) 2016-08-05
  1.Abubakar Shekau asema bado ndiye kiongozi wa Boko Haram
  2.Chama cha ANC chaongoza katika matokeo ya kura nchini Afrika Kusini
  3.Watu wa Zimbabwe waandamana kupinga mpango wa serikali kutoa noti mpya
  4.Rais wa Sudan Kusini awatimua mawaziri sita wa upinzani
  5.Burundi yalikataza Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kutuma kikosi nchini humo
  6.Mashindano ya Olimpik yaanza mjini Rio De Janeiro Brazil.
  7.Rais Kabila azuru Uganda, usalama mashariki mwa DRC kuwa ajenda ya mazungumzo
  8.Umoja wa Afrika watuma waangalizi nchini Zambia kufuatilia uchaguzi mkuu wa Agosti 11
  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (23 Julai-29 Julai) 2016-07-29
  1.Ujerumani kuchukua hatua kuimarisha usalama
  2.Hillary Clinton akubali uteuzi wa chama cha Democratic
  3.Wafanyakazi wa UN washambuliwa Nigeria
  4.UNHCR lawarudisha nyumbani wakimbizi 18,000 wa Somalia kutoka Kenya
  5.Jaji nchini DRC asema alishinikizwa kumhukumu jela Katumbi
  6.Rais wa Syria atoa msamaha kwa waasi watakaojisalimisha ndani ya miezi mitatu
  7.Salva Kiir amuapisha Jenereli Taban Deng Gai kuwa Makamu wa wa rais
  8.Rwanda yateketeza tani 55 za silaha
  9.Jeshi la DRC laanza operesheni dhidi ya kundi la wapiganaji wenye silaha
  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (18 Julai-22 Julai) 2016-07-22
  1.Trump akubali rasmi uteuzi wa Republican
  2.Salva Kiir, ametoa wito kwa Riek Machar kurejea Juba.
  3.Serikali ya Nigeria yafanya mazungumzo na kundi la upinzani la Niger Delta
  4.Upinzani walalamikia makaratasi ya Kura Zambia
  5.Theresa May afanya ziara yake ya kwanza nje ya nchi
  6.Watu 10 wakamatwa kwa tuhuma za ugaidi Brazil
  7.Kundi la waasi la Uganda la LRA laonekana kufufua shughuli zake nchini Afrika ya Kati
  8.Erdogan atangaza kulifanyia mageuzi jeshi la Uturuki
  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (9 Julai-15 Julai) 2016-07-15
  1.Afisa wa polisi auwa wenzake 6 kwenye kituo cha polisi Kapenguria, Kenya
  2.Zaidi ya watu 85 wauwawa Ufaransa baada ya lori kuparamia umati wa watu  
  3.Rwanda yakataa wito wa kumkamata Omar al-Bashir
  4.Uganda yapeleka Jeshi Susan Kusini
  5.Theresa May ndiye waziri mkuu wa Uingereza
  6.Rais Salva Kiir aamuru kusitishwa haraka kwa mapigano
  7.Carter atangaza kupelekwa Iraq mamia ya askari wa ziada
  8.Serikali ya Tanzania yafuta usajili wa magazeti 473
  9.Aliyekuwa waziri wa Afrika Mashariki kutoka Burundi auwawa
  10.Umoja wa Afrika wafuatilia hali ya Sudan Kusini
  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (4 Julai-8 Julai) 2016-07-08
  Maafisa wanne wa polisi wauwa mjini Dallas, Marekani
  UN yawatia hatiani askari wa Burundi kwa ubakaji
  Uingereza kuwa na Waziri Mkuu mwanamke
  Sudan Kusini kuadhimisha miaka 5 ya uhuru
  Watu 9 wauawa katika sherehe ya Eid Ghana
  Katumbi asema atarudi nyumbani hivi karibuni kuongoza maandamano
  Narendra Modi azuru Msumbiji
  Rwanda yafurahia kuhukumiwa kwa mameya
  Wayahudi 6,000 kuhamishiwa israel
  FBI kutomfungulia mashitaka Bibi Hillary Clinton
  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (27 Juni-1 Julai) 2016-07-01
  Watano wajitokeza kugombea nafasi ya waziri mkuu wa Uingereza
  Rodrigo Duterte aapishwa kuwa rais mpya wa Ufilipino
  Watu 44 wauwawa kwenye shambulizi dhidi ya uwanja wa ndege Uturuki
  Mabaki yaliyopatikana kwenye kisiwa cha Pemba Tanzania ni ya ndege ya Boeing 777
  Takriban wahamiaji 10 wafa maji pwani ya Libya
  Rais wa zamani matatani Argentina
  Uhaba mkubwa wa chakula waikumba Sudan Kusini
  Jeshi la Kenya laua wanamgambo 4 Lamu
  Gesi ya Helium yagunduliwa Tanzania
  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (18 Juni-24 Juni) 2016-06-24

  1.Uingereza yajitoa kwenye Umoja wa Ulaya katika kura ya maoni ya kihistoria

  2.Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa laongeza muda wa vikwazo dhidi ya makundi ya wapiganaji ya DRC

  3.Obama aongea na Kenyatta kuhusu wakimbizi

  4.Makabiliano kati ya raia katika wilaya mbalimbali Burkina Faso

  5.Jean-Pierre Bemba ahukumiwa kifungo cha miaka 18 jela

  6.Burundi yachukua hatua kupambana na homa ya manjano

  7.Wapalestina wanne wahukumiwa kifungo cha maisha kwa kuwaua wanandoa wa Israel

  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (11 Juni-17 Juni) 2016-06-17

  1. Polisi wakamata waasi 26 kusini mwa Burundi

  2.Mwanajeshi awaua watu 8 kwenye kambi Uganda

  3.Wasomali 18 wafa ndani ya bohari nchini DRC kwa kukosa hewa

  4.Umoja wa Mataifa wakubali kambi ya wakimbizi ya Daadab, ifungwe

  5.Rais wa Afrika Kusini asema kuna matumaini kwenye eneo la maziwa makuu

  6.Jeshi la Nigeria lawaokoa mateka 57 kutoka kundi la Boko Haram

  7.Afrika Kusini yaadhimisha maandamano dhidi ya ubaguzi wa rangi

  8.CIA yaonya kuhusu mashambulizi zaidi kutoka kwa kundi la IS

  9.Kisanduku cha ndege ya EgypAir chapatikana

  10.Mbunge wa chama cha Leba auawa Uingereza

  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (6 Juni-10 Juni) 2016-06-10

  1.Nchi za Afrika Mashariki zatangaza bajeti ya mwaka 2016-2017

   2.Wapiganaji wa kundi la Al-Shabaab washambulia makao makuu ya kikosi cha Umoja wa Afrika nchini Somalia

  3.Obama amuidhinisha Clinton kuwania urais kwa chama cha democrat

  4.Takriban watu 30 wauawa Iraq

  5.Kampeni ya kura ya maoni yashika kasi Uingereza

  6.Upinzani DRC wakubali kushiriki mazungumzo kwa masharti

  7.Mashirika mawili ya ndege yafuta safari Nigeria

  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (30 Mei - 3 Juni) 2016-06-03
  1.Miili ya wahamiaji yapatikana-Libya
  2.Rais wa Burundi awapa waasi makataa ya wiki mbili kujisalimisha
  3.Mtu aliyepanga shambulio la chuo cha Garissa auawaAliyekuwa Rais wa Chad Hissene Habre afungwa miaka 20
  4.Walioshambulia ndege ya Somalia wahukumiwa maisha
  5.Jeshi la Sudan latwaa tena eneo la kimkakati kwenye mkoa wa Blue Nile
  6.Kundi la waasi la M23 la DRC lakubaliwa kuwa chama cha siasa
  7.Sudan yakataa kujiunga na kamati ya kikanda ya kupambana na kundi la LRA
  8.Ndege iliyoanguka ya Misiri yaripotiwa kutua kwa dharura mara tatu ndani ya saa 24 kabla ya ajali
  prev 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10
  SearchYYMMDD  
  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako