• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (Juni 13-Juni19 ) 2020-06-19
    1.Matangazo ya kampeni ya Trump yaondolewa na Facebook 'kwa kuchochea chuki'
    2.Rais mpya wa Burundi aapishwa rasmi
    3.Mkutano wa Focac kwa mara ya kwanza wafanywa kwa njia ya video
    4.Kenya yapata kiti kwenye baraza la umoja wa mataifa
    5.Raia mwengine mweusi wa Marekani afariki mikononi mwa polisi
    6.Nigeria yasitisha mpango wa kufungua viwanja vya ndege
    • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (Mei 30-Juni5 ) 2020-06-12
    1Wakenya kuchangia ufadhili wa bajeti ya mwaka 2020/21
    2Kiwango cha umaskini kupungua- Kwa mujibu wa bajeti mpya.
    3Mkuu wa majeshi aomba msamaha kwa kuenda kanisani na Trump.
    4WHO yasema maambukizi ya virusi vya Corona yanaongezeka Afrika.
    5Msaada wa China umewasili Sudan
    6Zimbwabwe yafaidi kutoka kwa msaada wa China
    7Washukiwa wa Boko Haram wauawa Nigeria
    • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (Mei 30-Juni5 ) 2020-06-05

    1.Rais Donald Trump ashtakiwa

    2.Kiongozi wa kutetea haki za binadamu Al Sharpton ameapa kuwa maandamano makubwa

    3.Tanzania yasimamisha shughuli katika mpaka wa Namanga

    4.DENI la Kenya sasa limeongezeka kwa asilimia 15 na kufika Sh6.28 trilioni

    • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (Mei 23-Mei 29) 2020-05-29
    1.Baada ya kuukwepa mkono wa sheria kwa zaidi ya miaka 25, mtuhumiwa wa mauaji ya kimbari, Kabuga aomba dhamana Ufaransa
    2.Bunge la umma la China lapitisha azimio la kujenga mfumo wa sheria na utaratibu wa utekelezaji wa kulinda usalama wa taifa wa mkoa wa Hong Kong
    3.IRANI: Baba amuua binti yake kisa kafunga ndoa kwa siri, Adai ni mauaji ya heshima
    4.Hotuba ya kwanza ya Rais mteule Burundi, Ndayishimiye amtaja Nkurunziza na Jumuiya ya kimataifa "Ushindi wangu ni wa raia wote"
    5.WHO "Dawa ya Corona anayopendekeza Trump Hydroxychloroquine ni hatari kiafya"
    • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (Mei 16-Mei 22) 2020-05-22
    1.Mawaziri wengi zaidi waambukizwa Corona Sudan Kusini
    2.Kenya yasema kilele cha ugonjwa wa COVID-19 ni katika miezi ya Agosti na Septemba
    3.Mkutano wa tatu wa Awamu ya 13 ya Bunge la Umma la China wafunguliwa rasmi Beijing
    4.Serikali ya Marekani kujitoa kwenye Mkataba wa Anga huru.
    5.Burundi yakamilisha uchaguzi wa urais salama licha ya changamoto za janga la Corona
    • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (Mei 9-Mei 15) 2020-05-15
    1.Shirika la Afya Duniani "Virusi vya Corona vitaendelea kuwepo kama vilivyo virusi vya Ukimwi"
    2.MAFURIKO: 237 wafa huku 800,000 wakiachwa bila makao
    3.Zaidi ya wabunge 300 duniani waitaka IMF, Benki ya Dunia kufuta madeni ya nchi masikini
    4.Wafanyakazi Twitter waruhusiwa kufanyia kazi nyumbani daima
    5.Afisa aliyetemewa mate na mtu mwenye Covid-19 afariki
    6.Virusi vya Corona: Kituo cha kudhibiti magonjwa cha AU chaitaka Tanzania kutoa takwimu
    7.Uchaguzi wa Burundi 2020: Kwanini Burundi imewatimua maafisa wa WHO?
    8.Obama aibuka kuwa mtu muhimu uchaguzi 2020, Marekani
    • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (Mei2-Mei 8) 2020-05-08

    1.Umoja wa Mataifa umetoa wito kwa Serikali zenye uwezo mkubwa wa kipato kuchangia dola bilioni 6.7 kusaidia mataifa masikini

    2. CHUO cha Jomo Kenyatta ( JKUAT kimeonyesha ubunifu wa kuunda mitambo miwili tofauti aina ya sola.

    3.Eastleigh na Mji wa Kale hakuna kuingia wala kutoka kwa muda wa siku 15 zijazo

    4.Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema mlipuko wa virusi vya Corona unaweza kusababisha vifo kwa Waafrika wapatao 190,000 ndani ya mwaka mmoja

    5.Kundi la kwanza la Wakenya 232 laiingia nchini kutoka India na ndege maalum ya Kenya Airways kutoka Mumbai.

    6.Wakenya waliorudi nyumbani watalazimika kwenda karantini kwa siku 14.

     

    • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (Aprili 25-Mei 1) 2020-05-01
    1.IRC yasema watu bilioni 1 huenda wakaambukizwa Corona Duniani
    2.Nusu ya wafanyakazi duniani waathiriwa na Corona
    3.China na Afrika zashirikiana kwenye mapambano dhidi ya Corona
    4.China yasema lawama dhidi yake ni kinyume cha hali halisi
    5.Kenya imeanza kuwaruhusu watu kula migahawani kwa masharti.
    6.Uzinduzi wa makubaliano ya eneo la biashara huria la Afrika waahirishwa kutokana maambukizi ya Corona
    • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (Aprili 11-Aprilii 17) 2020-04-17
    1.Rais Trump adaia Marekani imefika kilele ya maambukizi mapya ya corona.
    2.Wanaofadhili WHO, na athari za Trump kulinyima ufadhili shirika hilo.
    3.Kenya yamwomboleza mwandishi stadi
    4.Wakenya wengi wakwama ughaibuni
    5.Jamaa  amdanganya Waziri Ummy ana Corona, akamatwa na Polisi
    6.Uhispania: Maelfu waanza kurejea kazini
    7.China yapitisha majaribio ya chanjo mbili za corona, mchakato wa muda mrefu kuepukwa
    • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (Aprili 4-Aprilii 10) 2020-04-10
    1.Kenya Faini ya sh 20,000 kwa yeyote yule atavaa maski
    2.Kenya USAMBAZAJI wa chakula dawa na maji, bila malipo, kwa wakazi masikini  na wenye mahitaji maalum
    3.Kenya Serikali inasema itatuma ndege ya Kenya Airways kwenda China kukusanya vifaa vya matibabu kupambana na virusi vya corona.
    4.Rais wa Botswana Mokgweetsi Masisi, Mawaziri wake pamoja na Wabunge wote wamewekwa karantini kwa siku 14
    5.New York sasa ina visa vingi vya virusi vya corona zaidi ya taifa lolote duniani
    6.Benki ya dunia imesema uchumi wa bara la Afrika, Kusini mwa jangwa la Sahara utaporomoka kwa kiwango ambacho hakijashuhudiwa tangu miaka 25 iliyopita
    • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (Machi 21-Machi 27) 2020-03-27
    1.Afrika Kusini yaongoza kwa idadi ya wagonjwa wa Corona
    2.Marekani yaongoza duniani kwa visa vya maambukizi ya corona
    3.Jack Ma aahidi kusaidia vita dhidi ya Corona Afrika
    4.Mwanariadha wa Kenya asema kuahirishwa kwa Olimpiki ni pigo kwa wanariadha wengi
    5.Idadi ya maambukizi corona Rwanda yafika 50
    • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (Machi 14-Machi 20) 2020-03-20
    1.Leo ni siku ya maombi Kenya:
    2.Shule, makanisa, misikiti na sehemu za burudani zimefungwa Afrika Mashariki.
    3.China: Shughuli zaanza kurejea upya, tangu kuibuka kwa janga la Corona
    4.Mgonjwa wa kwanza wa Corona Tanzania aomba radhi, aizungumzia hali yake.
    5.Msanii kutoka Congo Aurlus Mabele afariki dunia kwa ugonjwa wa Kiharusi akiwa jijini Paris.
    6.Premier League waja nampango mkakati dhidi ya Corona, mechi 92 zilizobaki lazima zipigwe.
    • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (Machi 7-Machi 13) 2020-03-13
    1.Kocha wa Arsenal, Mikel Arteta na mchezaji wa Chelsea wakutwa na Virusi vya Corona
    2.Raia wa Ulaya wapigwa marufuku kuingia Marekani
    3.Coronavirus: Wafanyakazi wa serikali wapigwa marufuku kusafiri ng'ambo
    4.Kisa cha kwanza cha virusi vya corona chathibitishwa Kenya
    5.kundi la wasichana kutoka Shule ya Upili ya Wasichana ya Kisumu wameshtua wengi kwa kuunda programu ambayo inaweza kusaidia katika mapambano dhidi ya ukeketaji wa uke (FGM)
    • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (February 29-Machi 6) 2020-03-06
    1.Marekani wamalizana na Wanamgambo wa Taliban
    2.Cipriano Cassama, ajiuzulu Urais baada ya siku moja tu kupita tangu kukaa madarakani
    3.Kwanini Guinea-Bissau ina marais wawili?
    4.Cassamá amesema nini?
    5.White House yakiri Marekani haina vifaa vya kutosha vya kupima Virusi vya Corona
    6.China yaahidi kuimarisha ushirikiano wa kimataifa katika kupambana na maambukizi ya COVID-19 duniani
    7.Wasimamizi wa sekta ya fedha wazindua daftari la kudumu la watoa huduma za kifedha (FSR)
    • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (February 22-February 28) 2020-02-28

    1Askari 33 wa Uturuki wauawa
    2Raia wa Italia nchini Nigeria athibitishwa kuambukizwa virusi vya corona.
    3Marekani yaonya huenda Kenya ikashambuliwa na magaidi
    4Shirika la ndege la China Southern laanza safari kwenda Nairobi
    5Ethiopia yakabiliwa na wakati mgumu wa kupambana na Nzige wa jangwani

    • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (February 15-February 21) 2020-02-21

    1.Waziri mkuu wa Lesotho Thomas Thabane kushtakiwa kwa mauaji ya mkewe.

    2. Serikali ya Kenya yataka maoni ya Wakenya kuhusu sheria ya Data

    3. Watoto wafariki kwa kula vitafunwa vilivyopikwa kwa dawa ya kuulia wadudu

    4. Viongozi wa Sudan Kusini wakubaliana kuunda serikali ya muungano

    5.Maisha ya baadae ya watoto wa sasa yamo hatarini. Yasema WHO.

    6.Mwanamume kutoweka na hongo ya polisi Embu, Kenya.

    • :Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (February 8-February 14) 2020-02-14

    1Ommy Dimpoz apata mwaliko kushuhudia mchezo wa NBA ALL STAR nchini Marekani, Hawa ndio mastaa watatu tu kutoka Afrika walioalikwa 2Mazishi ya Kobe Bryant na binti yake Gianna 'GiGi' yafanyika kimya kimya
    3China: Rais Xi Jinping awatembelea wagonjwa wa virusi vya Corona
    4Rungu la Moi sasa launganisha 'vitoto vya kifalme' nchini
    5Baada ya Cardi B kusema ataomba uraia wa Nigeria Lil Wayne naye atangaza kuwa na asili ya taifa hilo

    • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (February 1-February 7) 2020-02-07

    1Rais Mstaafu wa Kenya,Daniel Moi aaga dunia

    2Maadhimisho ya siku ya ukeketaji dhidi ya wanawake Duniani

    3Jumuiya ya kimataifa yaiunga mkono China katika vita dhidi ya virusi vya korona

    4Waziri mkuu Li Keqiang aongoza mkutano wa kikundi cha uongozi cha kukabiliana na mlipuko wa virusi vya korona

    5Rais Trump afutiwa mashtaka, mchakato wa kumuondoa wagonga mwamba

    6Mikoa 9 kukumbwa na Mvua kubwa nchini Tanzania, TMA yatoa tahadhari na athari zitakazo jitokeza

    7FIFA yamfungia maisha nyota wa Uganda, wengine watatu wapigwa miaka kwa upangaji matokeo

    8Hatimaye mashabiki wa soka nchini Korea walipwa fidia baada ya Ronaldo kutocheza

    • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (Januari 25-Januari 31) 2020-01-31

    1Jumla ya watu wawili wanadaiwa kupatikana na virusi vya corona nchini Uingereza

    2Kenya Airway yasitisha safari zake China

    3Sauti Sol lasaini mkataba na kampuni ya Kimataifa ya Universal

    4Mazungumzo ya pande tatu kuhusu GERD kwenye mto Nile kuendelea

    5Mafuriko yawaua watu 14 Lindi

    • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (Januari 18-Januari 24) 2020-01-24
    1.Mkurupuko wa ugonjwa China. Usafiri wasitishwa Wahun, uwanja wa ndege na vituo vya treni kufungwa
    2.Uingereza yaahidi kukoma kutoa tahadhari ya usafiri Kenya.
    3.Mwanamke tajiri zaidi Afrika afunguliwa mashtaka ya ulaghai
    4.Lionesses waalikwa kushiriki raga za dunia Canada
    5.Nkurunziza kupata donge nono atakapostaafu mwezi Mei
    prev 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 next
    SearchYYMMDD  
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako