• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (2 Oktoba-6 Oktoba) 2017-10-06

  1.Watu 58 wauwawa Las Vegas, Marekani

  2.Watu 20 wauwawa na kimbunga Nate Amerika ya Kati

  3.Familia ya Tundu Lissu yatafuta msaada wa wapelelezi wa kimataifa

  4.Jeshi la Iraq latwaa tena mji wa Hawijah kutoka kwa IS

  5.Serikali ya Hispania yakataa wito wa Catalonia, juu ya matakwa ya uhuru wa jimbo hilo.

  6.WFP yatoa msaada wa tani zaidi ya laki 1.5 za chakula kwa wakimbizi nchini Tanzania

  7.Niger na Marekani wapoteza askari wao kwenye mpaka wa Mali

   

  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (25 Septemba-29 Septemba) 2017-09-29

  1.Alshabaab washambulia kambi ya jeshi Somalia

  2.Muungano wa Upinzani Kenya waitisha maandamano

  3.Wapiganaji 13 wa kundi la IS wauawa mashariki mwa Afghanistan

  4.Asilimia 92 wapiga kura katika jimbo la wakurd waunga mkono kujitenga na Iraq

  5.Russia yateketeza silaha zote za kemikali

  6.Hali ya utulivu yarejea mjini Uvira, DRC

  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (16 Septemba-22 Septemba) 2017-09-22

  1.Tetemeko la ardhi Mexico lauwa zaidi ya watu 220

  2.Kimbunga Maria charindima Puerto Rico

  3.Hamas yajiandaa kurejesha mazungumzo na Fatah

  4.Mahakama kuu ya Iraq yaliagiza jimbo la wakurd lisimamishe upigaji kura za maoni

  5.Russia yaamua kufanya uchaguzi mkuu Machi 18 mwaka kesho

  6.Mahakama ya upeo Kenya yatoa umamuzi wa kina kuhusu kutupiliwa mbali kwa matokeo ya uchaguzi

  7.Airbus yazindua kituo cha kutengeneza ndege nchini China

  8.Serikali ya Tanzania imelifungia gazeti la Mwanahalisi kwa miaka miwili zuio hilo pia linahusisha machapisho ya mtandaoni.

  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (9 Septemba-15 Septemba) 2017-09-15
  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (4 Septemba-8 Septemba) 2017-09-08

  1.Kimbunga Irma chasababisha maafa Caribbean.

  2.Tetemeko kubwa la ardhi lakumba Mexico.

  3.Mwanasiasa wa upinzani Tanzania Tundu Lissu apigwa risasi

  4.Burundi yapokea kundi la kwanza la wakimbizi kutoka Tanzania

  5.Tani 1000 za msaada wa kibinadamu zafikishwa Deir ez-Zor, Syria

  6.Amnesty International yasema Boko Haram yaua watu 400 tangu mwezi Aprili

  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (19 Agosti-25 Agosti) 2017-08-25

  1.Rais Buhari awasili nyumbani baada ya miezi mitatu London

  2.Watu kumi na mmoja wauawa katika shambulio la Daech

  3.Chad yakata uhusiano na Qatar

  4.Ubalozi wa Marekani nchini Russia kusimamisha utoaji viza

  5.Korea Kusini na Marekani zaanza luteka ya pamoja ya mwaka huu

  6. Vikosi vya Iraq vyakomboa vijiji 12 kaskazini mwa nchi hiyo

  7.Rais wa Venezuela ahusishwa na rushwa

  8.Wanajeshi 99 wa China wa kulinda amani wafunga safari ya kwenda Sudan

  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii ( 7 Agosti-11 Agosti) 2017-08-11

  1.Trump asema Korea Kaskazini wanafaa kuwa na wasiwasi sana

  2. Paul Kagame ashinda kura ya urais Rwanda

  3.Rais Jacob Zuma bado aungwa mkono na ANC

  4.Raia 235 wa Afghanistan waliotekwa nyara na kundi lenye siasa kali waokolewa

  5.Msukosuko wa kibinadamu wa Mosul Iraq bado kwisha

  6. Askari sita wajeruhiwa baada ya kugongwa na gari nchini Ufaransa

  7.Mayai yenye sumu yaendelea kuzua wasiwasi barani Ulaya

  8.Mamia ya raia wakimbia mapigano Saudia

  9.Polisi DRC waonyesha wafuasi wa Bundu wanaotuhumiwa mauaji

  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (29 Julai-4 Agosti) 2017-08-04
  Rais wa Marekani asema uhusiano wa nchi hiyo na Urusi uko hatarini
  Chama tawala chapata viti vingi bungeni nchini Senegal
  Serikali ya Syria na upinzani zasitisha vita Homs
  Mvutano wa kisiasa waendelea kushuhudiwa DRC
  Italia kukabiliana na wahamiaji wanaotokea Libya
  COMESA kutuma ujumbe wa uangalizi kwenye uchaguzi mkuu wa Kenya
  Uganda yaomboleza vifo vya walinzi wake wa amani waliouawa Somalia
  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (22 Julai-28 Julai) 2017-07-28

  1.Zaidi ya watu 40 wauawa na Boko Haram Nigeria

  2.Iran yafanikiwa kwenye jaribio la roketi

  3.Vikwazo dhidi ya Urusi, Iran na Korea Kaskazini vyapitishwa na senate

  4.Ethiopia kufungua kambi mpya kwa wakimbizi wa Sudan Kusini

  5.Tume ya uchaguzi ya Kenya yakamilisha maandalizi ya uchaguzi wa Agosti

  6.Watu milioni saba wanakabiliwa na njaa Yemen

  7.Kenya na Tanzania zakubaliana kuondoa vikwazo vya biashara

  8.Mawaziri wa nchi za IGAD wakutana kuhimiza amani Sudan Kusini

  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (15 Julai-21 Julai) 2017-07-21
  1.Vijana sita wa Burundi watoweka Marekani
  2.MONUSCO kufunga kambi zake tano Kivu Kaskazini
  3.Riek Machar, sasa ataka mazungumzo mapya
  4.Mahakama ya ICC kujadili kuachiwa kwa dhamana kwa Laurent Gbagbo
  5.Marekani yawekea raia wa Iran vikwazo vipya
  6.Mhakama Kenya yatoa uamuzi makaratsi ya uchaguzi ya Urais yachapishwe na Al Ghurair
  7.UN na AU wazindua mafunzo ya pamoja ya doria kwa polisi mjini Mogadishu
  8.Rais wa Burundi Piere Nkurunziza afanya ziara nchini Tanzania
  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (10 Julai-14 Julai) 2017-07-14

  1.Rais wa Sudan Kusini awafukuza kazi majaji wa ngazi ya juu wakati mgomo ukiendelea

  2.Chama tawala Rwanda kuanza kampeni za urais

  3.Rwanda yashutumiwa kwa kuwaua 37 wenye makosa madogo

  4.Rais wa Somalia atoa mwito kwa bunge kuharakisha kazi ya kupitia katiba

  5.UN yagundua makaburi 38 katika mkoa wa Kasai

  6.Aliyekuwa rais wa Brazil Lula da Silva ahukumiwa miaka tisa jela

  7.Rais wa zamani Abdulaye Wade arejea nyumbani kuwania ubunge

  8.Jeshi la Marekani lasema bado haliwezi kuthibitisha kifo cha kiongozi wa kundi la IS

  9.Uingereza yaulaumu Umoja wa Ulaya kwa kudai malipo makubwa ya Brexit

  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (1 Juni-7 Juni) 2017-07-10
  Jeshi la Niger laua raia 14 kimakosa
  Wanane wauwawa kwenye mkanyagano Malawi
  Afrika Kusini ilistahili kumkamata Bashir
  Somalia kuwakagua wapiganaji waliojitenga na kundi la Al-Shabaab
  Mawaziri wa mambo ya nje wa Afrika na Umoja wa Ulaya waanzisha mpango mpya wa uhamiaji mjini Rome
  Watu 80 wapoteza maisha katika ajali ya barabarani Jamhuri ya Afrika ya Kati
  Tanzania yaiomba DRC kusaidia raia wake 21 waliotekwa nyara waachiwe
  Syria yaishutumu Uturuki kuweka kituo cha kijeshi kaskazini mwa Syria
  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (24 Juni-30 Juni) 2017-06-30

  1.Botswana yaomboleza kifo cha Ketumile Masire kwa siku 3

  2.Kiongozi wa upinzani Zambia amesema anaendelea vema kuzuizini

  3.Jeshi la Iraq latwaa msikiti wa Al-Nuri mjini Mosul

  4.Scotland yasema haitapiga kura za maoni kuhusu kujitenga na Uingereza kabla ya Brexit

  5.Waziri mkuu wa zamani wa Israel kuachiliwa

  6.Umoja wa Ulaya waongeza muda wa vikwazo vya kiuchumi dhidi ya Russia kwa miezi sita

  7.Trump na Putin kukutana wiki ijayo G20

  8.Jeshi la Somalia lawaua wapiganaji 6 wa Al-Shabaab

   

  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (16 Juni-23 Juni) 2017-06-23

  1-Shambulizi la Kigaidi Somalia

  2-Baraza la binadamu lapitisha azimio la China

  3-Watu 3 wauwawa na Al sahabaab Somalia

  4-Donald Trumb akutana na Yang Jiechi wa China

  5-Nchi za kiarabu zaipatia Qatar masharti

  6-Korea Kusini yafanya tena jaribio la silaha zake

  7-Umaskini kupungua Duniani

  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (12 Juni-18 Juni) 2017-06-16

  1. Zaidi ya wahamiaji 1000 waokolewa Libya

  2.Shambulizi lauwa 25 mkahawani Mogadishu

  3.Bosco Ntaganda atoa ushahidi Mahakama ya ICC

  4.Mazungumzo ya Brexit kuanza rasmi jumatatu ijayo

  5.Watu 12 wafariki wafariki baada ya moto kuteketeza jengo refu London

  6.Korea Kaskazini yaendelea kurusha makombora

  7.Tanzania yapoteza matrilioni ya pesa kupitia usafirishaji mchanga wa madini

  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (3 Juni-9 Juni) 2017-06-09
  1.Mataifa sita yavunja uhusiano na Qatar
  2.Watu 43 wafariki katika ajali Zimbabwe
  3.Rais Buhari anaendelea kupata nafuu
  4.Rais wa Togo achaguliwa kuongoza ECOWAS
  5.DRC yasema imedhiti ebola
  6.Watu 10,000 wakimbia moto pwani ya Afrika Kusini
  7.Raia 31 wa China wanaoshikiliwa nchini Zambia hawajaachiwa huru
  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (27 Mei-2 Juni) 2017-06-02

  1.Zaidi ya watu 80 wauwawa kwenye mlipuko Kabul

  2.Polisi Venezuela watumia mabomu ya kutoa machozi kuwasambaratisha maelfu ya waandamanaji

  3.Rais wa Marekani aondoa nchi yake katika makubaliano ya Paris juu ya mabadiliko ya tabia nchi

  4.Serikali ya Libya yatwaa uwanja wa ndege wa Tripoli

  5.Watu 36 wauawa katika kituo cha kuchezea kamari mjini Manila, Ufilipino

  6.Serikali ya Nigeria yaanza kuwarudisha maisha ya kawaida wasichana wa Chibok waliookolewa

  7.Sudan Kusini yaanza kusikiliza kesi ya askari wanaotuhumiwa kuwabaka wafanyakazi wa misaada

  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (13 Mei-19 Mei) 2017-05-19

  1.Rais mpya wa Ufaransa, Emmanuel Macron, ameapishwa

  2.Zaidi ya watu 60 wauwawa kwenye mapigano Libya

  3.Shirika la afya duniani laonya kusambaa kwa Ebola DRC

  4.Wanajeshi waliokuwa wanagoma Cote Dvoire wamekubali kurudi kazini

  5.Zaidi ya wafungwa 4,600 watoroka jela ya Makala nchini DRC

  6.Kikosi cha Kulinda Amani cha Umoja wa Mataifa nchini Mali chashambuliwa tena

  7.Air Zimbabwe yapigwa marufuku kuruka katika anga ya Ulaya

  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (8 Mei-12 Mei) 2017-05-12
  Rais wa Burundi akutana na makamu wa rais wa China
  China yasaini makubaliano ya ushirikiano wa kiutamaduni na nchi zaidi ya 60 za "Ukanda mmoja na njia moja" 
  Brazil atangaza kumalizika kwa hali ya dharura ya kitaifa ya ugonjwa wa Zika
  Korea Kaskazini kutuma ujumbe kuhudhuria Mkutano wa Baraza la Ukanda mmoja na Njia moja
  Marekani yasitisha msaada kwa sekta ya afya nchini Kenya
  China na Burundi zaahidi kuunganisha mikakati ya maendeleo na kuimarisha ushirikiano
  Umoja wa Ulaya kutoa dola milioni 53 kwa ajili ya elimu Somalia
  Marekani na Uchina zatia saini mkataba wa kibiashara
  Hoteli yafungwa kwa madai ya kuuza nyama ya ng'ombe India
  Shule zafungwa Zanzibar zote zafungwa kwa mafuriko
  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (1 Mei-7 Mei) 2017-05-05

  1. Ndege ya China aina ya C919 kuruka kwa mara ya kwanza

  2. Rais wa Marekani asema makubaliano ya amani kati ya Palestina na Israel yaweza kufikiwa

  3.Mawaziri wakutana Kigali kujadili Umoj wa Afrika

  4.Rais wa Afghanistan atoa mwito kwa kundi la Taliban kujiunga na mchakato wa amani

  5. Bunge la Uingereza lavunjwa na kutoa nafasi ya kampeni za uchaguzi

  6. Marais wa Marekani na Russia wajadili mgogoro wa Syria

  7. Balozi mteule wa Marekani nchini China aahidi "kuleta athari chanya" kwa uhusiano kati ya Marekani na China

  8. Trump afutilia mbali Obamacare

  9.Waziri mwenye umri mdogo zaidi Somalia auwawa na kuzikwa

  10. Mwanajeshi ajipiga picha katika mlipuko

  prev 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 next
  SearchYYMMDD  
  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako