• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (11 Novemba-17 Novemba) 2017-11-17

  1.Jeshi lamzuilia rais wa Zimbabwe nyumbani

  2.Australia yapiga kura kwa wingi kuhalalisha ndoa za jinsia moja

  3.Watu 11 wafariki katika ajali ya ndege kwenye hifadhi ya Ngorongoro Tanzania

  4. Ajali ya treni yaua 30 DRC

  5.Mahakama kuu ya Kenya kusikiliza mashauri matatu ya pingamizi la uchaguzi wa urais

  6.Marekani yaongoza mashambulizi ya anga dhidi ya Kundi la IS na Al-Shabaab Somalia

  7.Waziri wa mambo ya kibinadamu wa Somalia ajiuzulu

  8.Tetemeko la ardhi lauwa zaidi ya watu 400 Iran na Iraq

  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (6 Novemba-10 Novemba) 2017-11-10

  1.Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe amfuta kazi makamu wake Emmerson Mnangagwa

  2.UN yaonya hali mbaya ya binadamu Yemen

  3.Kiongozi wa upinzani Kenya apendekeza serikali ya muda

  4.Donald Trump wa Marekani afanya ziara yake ya kitaifa nchini China.

  5.Mwendesha mashtaka wa ICC ahimiza kupelekwa kwa kamanda wa Libya mahakamani

  6.Mahakama ya juu Liberia yasimamisha mchakato wa uchaguzi

  7.Waziri wa Maendeleo ya Kimataifa wa Uingereza, Priti Patel, ajiuzulu

  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (30 Oktoba-3 Novemba) 2017-11-03

  1.Mawaziri wa Catalonia wawekwa kizuizini

  2.Wauguzi wa Kenya wamaliza mgomo uliodumu miezi 5

  3.Kikosi cha Somalia chavikomboa vijiji kutoka kwa kundi la Al-Shabaab

  4.Marekani kutoa dola milioni 60 kusaidia kikosi cha kikanda cha G5 Sahel

  5.Russia yasema uchunguzi kuhusu matumizi ya silaha za kemikali nchini Syria si wa kitaalamu

  6.Rais wa Marekani kufanya ziara ya kitaifa nchini China

  7.Kenyatta atangazwa mshindi katika uchaguzi mpya wa urais nchini Kenya

  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (21 Oktoba-27 Oktoba) 2017-10-27
  1.Rais wa Catalonia afuta nia yake ya kuitisha uchaguzi wa haraka
  2.Korea Kaskazini kuiachilia meli ya uvuvi ya Korea Kusini .
  3.Uchaguzi wa urais Kenya wafanyika huku kukiwa na maandamano ya upinzani
  4.Waasi wa kikosi cha ADF wafanya shambulizi huko Beni, mashariki mwa DRC
  5.Watu 10 wauawa katika mlipuko wa bomu la ardhini Somalia
  6.Mkutano mkuu wa 19 wa Chama cha Kikomunisti cha China umefungwa jana hapa Beijing
  7.Ethiopia yatuma walinzi 200 wa amani Sudan Kusini
  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (14 Oktoba-20 Oktoba) 2017-10-20

  1.Zaidi ya watu 270 wauwawa kwenye shambulizi Somalia

  2.Mkutano wa 18 wa chama cha CPC wafanyika

  3.Wanne wauawa katka maandamano Togo

  4.Kamishena wa tume ya uchaguzi Kenya ajiuzulu

  5. Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, aamuru kuimarisha kikosi cha kulinda amani CAR

  6.Jeshi la SDF laukomboa mji wa Raqqa kutoka kwa kundi la IS

  7.IGAD yasema itafufua mazungumzo ya amani ya Sudan Kusini yaliyokwama ndani ya miezi miwili

  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (8 Oktoba-13 Oktoba) 2017-10-13

  1.Marekani na Israel zajiondoa UNESCO

  2.Ndege ya  Uturuki yatua ghafla Kenya

  3.George Opong Weah aongoza, katika matokeo ya awali ya uchaguzi mkuu Liberia.

  4.Jeshi la Pakistan laokoa  familia iliotekwa na Taliban miaka 5 iliopita

  5.Serikali ya Kenya yapiga marufuku maandamano ya upinzani katika miji mikuba

  6.Boko Haram yawau watu 5 Nigeria

  7.China yakabidhi msaada wa dharura kwa Sudan Kusini
  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (2 Oktoba-6 Oktoba) 2017-10-06

  1.Watu 58 wauwawa Las Vegas, Marekani

  2.Watu 20 wauwawa na kimbunga Nate Amerika ya Kati

  3.Familia ya Tundu Lissu yatafuta msaada wa wapelelezi wa kimataifa

  4.Jeshi la Iraq latwaa tena mji wa Hawijah kutoka kwa IS

  5.Serikali ya Hispania yakataa wito wa Catalonia, juu ya matakwa ya uhuru wa jimbo hilo.

  6.WFP yatoa msaada wa tani zaidi ya laki 1.5 za chakula kwa wakimbizi nchini Tanzania

  7.Niger na Marekani wapoteza askari wao kwenye mpaka wa Mali

   

  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (25 Septemba-29 Septemba) 2017-09-29

  1.Alshabaab washambulia kambi ya jeshi Somalia

  2.Muungano wa Upinzani Kenya waitisha maandamano

  3.Wapiganaji 13 wa kundi la IS wauawa mashariki mwa Afghanistan

  4.Asilimia 92 wapiga kura katika jimbo la wakurd waunga mkono kujitenga na Iraq

  5.Russia yateketeza silaha zote za kemikali

  6.Hali ya utulivu yarejea mjini Uvira, DRC

  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (16 Septemba-22 Septemba) 2017-09-22

  1.Tetemeko la ardhi Mexico lauwa zaidi ya watu 220

  2.Kimbunga Maria charindima Puerto Rico

  3.Hamas yajiandaa kurejesha mazungumzo na Fatah

  4.Mahakama kuu ya Iraq yaliagiza jimbo la wakurd lisimamishe upigaji kura za maoni

  5.Russia yaamua kufanya uchaguzi mkuu Machi 18 mwaka kesho

  6.Mahakama ya upeo Kenya yatoa umamuzi wa kina kuhusu kutupiliwa mbali kwa matokeo ya uchaguzi

  7.Airbus yazindua kituo cha kutengeneza ndege nchini China

  8.Serikali ya Tanzania imelifungia gazeti la Mwanahalisi kwa miaka miwili zuio hilo pia linahusisha machapisho ya mtandaoni.

  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (9 Septemba-15 Septemba) 2017-09-15
  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (4 Septemba-8 Septemba) 2017-09-08

  1.Kimbunga Irma chasababisha maafa Caribbean.

  2.Tetemeko kubwa la ardhi lakumba Mexico.

  3.Mwanasiasa wa upinzani Tanzania Tundu Lissu apigwa risasi

  4.Burundi yapokea kundi la kwanza la wakimbizi kutoka Tanzania

  5.Tani 1000 za msaada wa kibinadamu zafikishwa Deir ez-Zor, Syria

  6.Amnesty International yasema Boko Haram yaua watu 400 tangu mwezi Aprili

  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (19 Agosti-25 Agosti) 2017-08-25

  1.Rais Buhari awasili nyumbani baada ya miezi mitatu London

  2.Watu kumi na mmoja wauawa katika shambulio la Daech

  3.Chad yakata uhusiano na Qatar

  4.Ubalozi wa Marekani nchini Russia kusimamisha utoaji viza

  5.Korea Kusini na Marekani zaanza luteka ya pamoja ya mwaka huu

  6. Vikosi vya Iraq vyakomboa vijiji 12 kaskazini mwa nchi hiyo

  7.Rais wa Venezuela ahusishwa na rushwa

  8.Wanajeshi 99 wa China wa kulinda amani wafunga safari ya kwenda Sudan

  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii ( 7 Agosti-11 Agosti) 2017-08-11

  1.Trump asema Korea Kaskazini wanafaa kuwa na wasiwasi sana

  2. Paul Kagame ashinda kura ya urais Rwanda

  3.Rais Jacob Zuma bado aungwa mkono na ANC

  4.Raia 235 wa Afghanistan waliotekwa nyara na kundi lenye siasa kali waokolewa

  5.Msukosuko wa kibinadamu wa Mosul Iraq bado kwisha

  6. Askari sita wajeruhiwa baada ya kugongwa na gari nchini Ufaransa

  7.Mayai yenye sumu yaendelea kuzua wasiwasi barani Ulaya

  8.Mamia ya raia wakimbia mapigano Saudia

  9.Polisi DRC waonyesha wafuasi wa Bundu wanaotuhumiwa mauaji

  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (29 Julai-4 Agosti) 2017-08-04
  Rais wa Marekani asema uhusiano wa nchi hiyo na Urusi uko hatarini
  Chama tawala chapata viti vingi bungeni nchini Senegal
  Serikali ya Syria na upinzani zasitisha vita Homs
  Mvutano wa kisiasa waendelea kushuhudiwa DRC
  Italia kukabiliana na wahamiaji wanaotokea Libya
  COMESA kutuma ujumbe wa uangalizi kwenye uchaguzi mkuu wa Kenya
  Uganda yaomboleza vifo vya walinzi wake wa amani waliouawa Somalia
  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (22 Julai-28 Julai) 2017-07-28

  1.Zaidi ya watu 40 wauawa na Boko Haram Nigeria

  2.Iran yafanikiwa kwenye jaribio la roketi

  3.Vikwazo dhidi ya Urusi, Iran na Korea Kaskazini vyapitishwa na senate

  4.Ethiopia kufungua kambi mpya kwa wakimbizi wa Sudan Kusini

  5.Tume ya uchaguzi ya Kenya yakamilisha maandalizi ya uchaguzi wa Agosti

  6.Watu milioni saba wanakabiliwa na njaa Yemen

  7.Kenya na Tanzania zakubaliana kuondoa vikwazo vya biashara

  8.Mawaziri wa nchi za IGAD wakutana kuhimiza amani Sudan Kusini

  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (15 Julai-21 Julai) 2017-07-21
  1.Vijana sita wa Burundi watoweka Marekani
  2.MONUSCO kufunga kambi zake tano Kivu Kaskazini
  3.Riek Machar, sasa ataka mazungumzo mapya
  4.Mahakama ya ICC kujadili kuachiwa kwa dhamana kwa Laurent Gbagbo
  5.Marekani yawekea raia wa Iran vikwazo vipya
  6.Mhakama Kenya yatoa uamuzi makaratsi ya uchaguzi ya Urais yachapishwe na Al Ghurair
  7.UN na AU wazindua mafunzo ya pamoja ya doria kwa polisi mjini Mogadishu
  8.Rais wa Burundi Piere Nkurunziza afanya ziara nchini Tanzania
  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (10 Julai-14 Julai) 2017-07-14

  1.Rais wa Sudan Kusini awafukuza kazi majaji wa ngazi ya juu wakati mgomo ukiendelea

  2.Chama tawala Rwanda kuanza kampeni za urais

  3.Rwanda yashutumiwa kwa kuwaua 37 wenye makosa madogo

  4.Rais wa Somalia atoa mwito kwa bunge kuharakisha kazi ya kupitia katiba

  5.UN yagundua makaburi 38 katika mkoa wa Kasai

  6.Aliyekuwa rais wa Brazil Lula da Silva ahukumiwa miaka tisa jela

  7.Rais wa zamani Abdulaye Wade arejea nyumbani kuwania ubunge

  8.Jeshi la Marekani lasema bado haliwezi kuthibitisha kifo cha kiongozi wa kundi la IS

  9.Uingereza yaulaumu Umoja wa Ulaya kwa kudai malipo makubwa ya Brexit

  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (1 Juni-7 Juni) 2017-07-10
  Jeshi la Niger laua raia 14 kimakosa
  Wanane wauwawa kwenye mkanyagano Malawi
  Afrika Kusini ilistahili kumkamata Bashir
  Somalia kuwakagua wapiganaji waliojitenga na kundi la Al-Shabaab
  Mawaziri wa mambo ya nje wa Afrika na Umoja wa Ulaya waanzisha mpango mpya wa uhamiaji mjini Rome
  Watu 80 wapoteza maisha katika ajali ya barabarani Jamhuri ya Afrika ya Kati
  Tanzania yaiomba DRC kusaidia raia wake 21 waliotekwa nyara waachiwe
  Syria yaishutumu Uturuki kuweka kituo cha kijeshi kaskazini mwa Syria
  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (24 Juni-30 Juni) 2017-06-30

  1.Botswana yaomboleza kifo cha Ketumile Masire kwa siku 3

  2.Kiongozi wa upinzani Zambia amesema anaendelea vema kuzuizini

  3.Jeshi la Iraq latwaa msikiti wa Al-Nuri mjini Mosul

  4.Scotland yasema haitapiga kura za maoni kuhusu kujitenga na Uingereza kabla ya Brexit

  5.Waziri mkuu wa zamani wa Israel kuachiliwa

  6.Umoja wa Ulaya waongeza muda wa vikwazo vya kiuchumi dhidi ya Russia kwa miezi sita

  7.Trump na Putin kukutana wiki ijayo G20

  8.Jeshi la Somalia lawaua wapiganaji 6 wa Al-Shabaab

   

  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (16 Juni-23 Juni) 2017-06-23

  1-Shambulizi la Kigaidi Somalia

  2-Baraza la binadamu lapitisha azimio la China

  3-Watu 3 wauwawa na Al sahabaab Somalia

  4-Donald Trumb akutana na Yang Jiechi wa China

  5-Nchi za kiarabu zaipatia Qatar masharti

  6-Korea Kusini yafanya tena jaribio la silaha zake

  7-Umaskini kupungua Duniani

  SearchYYMMDD  
  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako