• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • v Rais Xi aendesha mkutano wa kujadili kazi za kukinga na kudhibiti nimonia inayosababishwa na virusi vipya vya korona

  Kwenye mkutano huo, rais Xi amezitaka kamati za chama na serikali za ngazi mbalimbali ziweke kipaumbele maisha na afya ya wananchi na kuzifanya kazi za kukinga na kudhibiti maambukizi hayo kuwa kazi za msingi kwa hivi sasa. Pia amezitaka zitambue umuhimu na udharura wa kazi za kukinga na kudhibiti maambukizi hayo, kuhakikisha dawa na rasilimali za kutosha na kuimarisha ulinzi wa usalama wa wauguzi.

  Afrika
  • Kiongozi wa kikundi cha madaktari wa China nchini Namibia Chu Hailin 2020-01-24

  Leo ni mkesha wa mwaka mpya wa jadi wa kichina. Wachina wana desturi ya kukaa pamoja na familia zao ili kusherehekea sikukuu hiyo. Lakini kwa madaktari Wachina wanaotoa msaada wa matibabu barani Afrika, leo ni siku ya kawaida ya kazi.

  More>>
  Dunia
  • WHO yasema maambukizi ya virusi mjini Wuhan hayajawa tukio la dharura la afya ya umma PHEIC 2020-01-24

  Shirika la afya duniani WHO limetangaza kuwa maambukizi ya virusi vipya vya nimonia aina ya 2019-nCoV nchini China, hayajawa tukio la dharura la afya ya umma linalofuatiliwa na dunia PHEIC.

  More>>
  Makala
  • Biashara kati ya China na nchi za nje yadumisha utulivu

  Takwimu zilizotolewa leo na Idara Kuu ya Forodha ya China zinaonesha kuwa, katika nusu ya kwanza ya mwaka huu, thamani ya biashara kati ya China na nchi za nje ilifikia karibu dola trilioni 2.14 za kimarekani, ambalo ni ongezeko la asilimia 3.9 ikilinganishwa na mwaka jana wakati kama huo. Wakati uchumi wa dunia unadidimia na vitendo vya kujilinda kibiashara vinaongezeka, ni vigumu kwa China kupata matokeo hayo mazuri katika biashara ya nje.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako