Wafanyakazi wa Idhaa ya Kiswahili ya CRI
China Radio International
China
Dunia
 
v Chaguo kubwa la usafiri lasaidia kupanua upeo wa macho wa wachina  2004/09/30
    Watalii wengi wakitaka kwenda Lhasa, mkoani Tibet, hawana chaguo lingine ila tu kupanda ndege, lakini kutokana na ujenzi wa reli ya Qinghai-Tibet, muda si mrefu baadaye, watu wataweza kufika Lhasa kwa kupanda gari moshi. Wakati huo, watu wataweza kuutembelea mji wa Lhasa, ambao huitwa mji wa mwangaza wa jua kwa kuendesha magari binafsi, kupanda ndege na gari moshi. Kutokana na kuongezeka kwa chaguo la usafiri, upeo wa wachina utapanuka siku hadi siku.
v "Chumba Chekundu" Chashuhudia Mabadiliko Makubwa 2004/09/03
v Mwaka mpya wa Kichina 2004/01/20
Tarehe 22, Januari ni siku ya kawaida kama siku nyingine katika nchi za Afrika, lakini kama mungekuwa nchini China au kama mnakaa katika mahali ambapo kuna Wachina, mtaona shamrashamra kubwa ajabu. Kumbe, siku hiyo ni mwaka mpya wa Kichina, kwa maneno ya Kichina, ni Sikukuu ya Spring.
1 2 3 4 5 6 7 8 9 10