Wafanyakazi wa Idhaa ya Kiswahili ya CRI
China Radio International
China
Dunia
 
v Li Xianhui, kijana anayejitolea kutoa mchango kwa maendeleo ya Tibet 2006/09/07
Mkoa unaojiendesha wa Tibet, China unajulikana kwa mandhari nzuri ya uwanda wa juu na utamaduni wa kabila la Watibet. Kutokana na watu wanaoishi kwenye sehemu za tambarare hawajisikii vizuri kwenye uwanda wa juu, watu wengi wanafanya matembezi ya muda mfupi tu mkoani Tibet.
v Siku ya wapendanao ya China yasaidia kueneza utamaduni wa jadi wa kimapenzi 2006/08/17
Siku ya wapendanao ya China, ambayo kwa Kichina inaitwa siku ya Qixi, ni siku ya tarehe 7 ya mwezi wa 7 kwenye kalenda ya Kichina.
v Bw. Su Erdong, mwimbaji wa Kabila la Wahui 2006/08/03
"Huaer" ni aina ya nyimbo za kienyeji, ambazo zinaimbwa sana na watu wa kabila la Wahui wanaoishi katika sehemu ya kaskazini magharibi ya China. Nyimbo hizo hujulikana kwa sauti kubwa ya kuvuma na maneno rahisi ya nyimbo, zina umaalumu wa kikabila na kikanda.
v Uzinduzi wa reli ya Qinghia-Tibet waleta maisha mapya 2006/07/20
Reli ya Qinghai-Tibet ambayo ni ipo kwenye uwanda wa juu wenye mwinuko mkubwa kabisa duniani ilizinduliwa tarehe mosi Julai, ambapo Tibet ikamaliza historia ya kutounganishwa na reli.
v Wageni waeleza picha waliyoipata kuhusu wanachama wa Chama cha kikomunisti cha China  2006/07/06
Chama cha kikomunisti cha China ni chama tawala nchini China. Katika miaka ya hivi karibuni, wageni wengi wamekuwa wanakuja China kufanya kazi, kusoma au kutembelea, ambapo wamewasiliana moja kwa moja na Wachina wa kawaida wakiwemo wanachama wa chama cha kikomunisti cha China.
v Reli ya Qinghai-Tibet yazungumziwa sana na wakazi wa Tibet 2006/06/29
Katika mkahawa wa chai uliopo kando ya barabara ya Jiangsu, mjini Lahsa, ambao ni mji mkuu wa mkoa unaojiendesha wa Tibet, China, wanandugu watano walikuwa wamekaa kwenye meza moja, wakinywa chai huku wakizungumza, ambapo kitu kilichotajwa mara kwa mara kwenye mazungumzo yao ni reli ya Qinghai-Tibet
v Bibi Katysha anayefundisha lugha ya Kirussia nchini China 2006/06/15
Bi. Katysha mwenye umri wa miaka 24 hutoka Russia, hivi sasa anafundisha lugha ya Kirussia katika chuo kimoja cha ualimu mjini Hegang, mkoani Heilongjiang, kaskazini mashariki mwa China. Kutokana na mradi wa kubadilishana walimu kati ya China na Russia, Bi. Katysha alikuja China kutoka maskani yake iliyopo mkoa wa mashariki ya mbali, nchini Russia.
v Madhara ya afya yanayotokana na chakula cha haraka cha kimagharibi yafuatiliwa nchini China 2006/05/25
Hivi sasa nchini China chakula cha haraka cha kimagharibi, mfano kinachopatikana katika mikahawa ya Mcdonalds na KFC, kinawavutia watu wengi na wakati huo huo kinapingwa na watu wengi.
v Kijana aliyetunukiwa medali ya juu kwa wafanyakazi wa China  2006/05/18
Tarehe mosi May kila mwaka ni siku ya wafanyakazi duniani. Sikuhiyo mwaka huu ilikuwa na maana sana kwa Bw. Zhu Zhisheng ambaye ni mfanyakazi wa kampuni ya chuma na chuma cha pua ya Hangzhou iliyopo mkoani Zhejiang
v Watoto wa China wakabiliwa na changamoto ya kushughulikia mahusiano na wengine  2006/04/20
Familia kubwa ilikuwa ni sehemu ya utamaduni wa China, ambapo wanafamilia wa vizazi vitatu hata vinne kuishi kwa pamoja ilikuwa hali ya kawaida.
1 2 3 4 5 6 7 8 9 10