Wafanyakazi wa Idhaa ya Kiswahili ya CRI
China Radio International
China
Dunia
 
v Meneja wa duka la keki anayetoka Korea ya Kusini 2006/04/06
Katika siku za karibuni limejitokeza duka moja la mikate na keki ya aina ya Ufaransa liitwalo "Paris Baquette" katika mtaa wa biashara ulioko mashariki ya mji wa Beijing.
v Mradi wa kujenga "lambo la maji ya mama" wawanufaisha watu katika maeneo kame nchini China  2006/03/23
Ingawa upatikanaji maji safi ya kunywa na kuoga ni hali ya kawaida katika maisha ya watu wengi duniani, lakini kuna maeneo ambayo bado yanakabiliwa na hali mbaya ya ukosefu wa maji.
v Wahitimu wa vyuo vikuu wa China wapenda kuwa maofisa wa vijijini 2006/03/16
Awali kwa mtizamo wa Wachina, wahitimu wa vyuo vikuu na msaidizi wa mkuu wa kijiji walikuwa watu wawili wasiolingana, kwa kuwa wanafunzi wengi wa vyuo vikuu walikwepa maeneo ya vijiji, wakisema maeneo hayo yanakosa mustakabali mzuri. Lakini hatua kwa hatua mtizamo wa namna hii unabadilika.
v Wafugaji wa China watembelea barani Ulaya  2006/03/09
Bw. Ilatu mwenye umri wa miaka 37 ni mfugaji wa kabila la Wamongolia, anaishi katika uwanda wa juu wa Erdos, magharibi ya mkoa unaojiendesha wa Mongolia ya ndani wa China.
v Kijana Mjerumani na maisha yake nchini China 2006/02/23
Bw. Andreas Fulda ni Mjerumani, anafahamu kuongea Kichina. Hata Wachina wenyewe waliosikia maelezo yake hawakuamini mgeni alikuwa anaongea Kichina sanifu namna hii. Mgeni huyo Bw. Andreas Fulda ni kijana mwenye umri wa miaka 28.
v Kijana wa Bangladesh anayevutiwa na Utamaduni wa China  2006/02/16
Wageni wengi wanaokuja kuitembelea China wanavutiwa sana na utamaduni wake unaong'ara ambao umetia mizizi katika ardhi yake tangu enzi na dahari. Kijana mmoja kutoka Bangladesh Bw.Mahmud Hossain Taufiqe ni miongoni mwa wageni hao
v Mwanamke anayefuatilia mitindo ya kisasa  2006/02/09
Mzee Bao Qian ni mwanamke anayefuatilia mitindo ya kisasa. Yeye ni mkazi wa mji wa Hangzhou, mkoani Zhejiang, mashariki mwa China.
v Wakazi wa Beijing wapenda kuteleza kwenye theluji katika majira ya baridi 2006/02/09
Kituo cha kuteleza kwenye theluji cha Longfengshan cha wilaya ya Mentougou kilichoko kwenye sehemu ya magharibi ya Beijing kina kilomita 30 hivi kutoka sehemu ya mjini.
v Wachina wafanya maandalizi ya kusherehekea sikukuu ya Spring kwa furaha 2006/01/26
Tarehe 29 Januari ni sikukuu ya Spring-yaani sikukuu ya mwaka mpya wa jadi wa kichina, ambayo ni sikukuu muhimu kabisa nchini China.
v Wanawake wa China wapenda vitu vya anasa vyenye chapa maarufu 2006/01/19
Katika miaka ya karibuni, kutokana na kuongezeka kwa mapato, baadhi ya Wachina ambao wengi wao ni wanawake vijana wameanza kufuatilia vitu vya anasa vyenye chapa maarufu. Na mwenendo huo umeleta faida kubwa kwa uuzaji wa bidhaa nyingi zenye chapa maarufu duniani kwenye soko la China.
1 2 3 4 5 6 7 8 9 10