Wafanyakazi wa Idhaa ya Kiswahili ya CRI
China Radio International
China
Dunia
 
v Kununua zawadi ya gazeti kumfurahisha rafiki yako 2005/04/14
Msichana Zhang Xue mwenye umri wa miaka 23 anayefanya kazi katika kampuni moja ya mjini Beijing, siku moja alipata zawadi ya siku ya kuzaliwa. Alipofungua kasha la zawadi lenye rangi ya waridi aliona gazeti la Beijingribao lililochapishwa katika siku aliyozaliwa, zawadi hiyo ilimfurahisha sana.
v Mtindo wa maisha ya Pudong Shanghai-Ufanisi, mtundo na namna ya kimataifa 2005/04/06
Mchana, wafanyabiashara wanafanya kazi kwenye kampuni au kufanya mikutano kwenye hoteli za nyota tano; usiku wanakutana na marafiki kwenye baa au kwenda kwenye bustani zilizo kando ya mto kunywa chai na kahawa, ambapo wanajiburudika katika madhari nzuri ya usiku
v Haki na Maslahi ya wafanyakazi wanawake wa China yahakikishwa siku hadi siku 2005/03/10
Kwa mujibu wa sheria za China, wanawake wana haki sawa na wanaume katika kupata kazi na mshahara. Lakini katika maisha ya kila siku, shughuli za kuingilia haki na maslahi ya wafanyakazi wanawake zinatokea hapa na pale.
v Wachina wa leo watafuta mapenzi ya dhati 2005/02/24
Katika miaka ya hivi karibuni, kutokana na kuinuka kwa kiwango cha maisha ya wachina, matarajio ya wachina juu ya mapenzi na ndoa yameonesha matumaini ya aina mbalimbali.
v Wanawake wa China wafuatilia kupunguza mwili 2005/01/27

Kutokana na kuinuka kwa hali ya maisha, wanawake wa China wanafuatilia sura zao siku hadi siku. Wanawake wengi wanaona kuwa, mwili mwembamba na wenye afya ni ishara ya urembo, hivyo wanawake wengi zaidi na zaidi wanafuatilia kupunguza mwili wao.

v "Super-market ya upendo"unapendwa na watu 2005/01/20
Tarehe 14 mwezi Januari mkazi wa wilaya ya Kunwen, mji wa Weifang akichukua cheti alichopewa na serikali ya wilaya alifika "Super-market ya upendo" iliyoko katika wilaya hiyo kuchagua vitu alivyotaka kununua, baada ya kutembelea humo ndani alinunua mfuko mmoja wa unga wa ngano wa kilo 25
v Mafanikio makubwa yamepatikana katika kusukuma mbele maendeleo ya uwiano ya idadi ya watu na jamii, lakini pia yanakabiliwa na changamoto kubwa  2004/12/09
Wataalamu wa idadi ya watu duniani wanaohudhuria mkutano wa wakuu kuhusu familia duniani wa mwaka 2004 hapa Beijing wanaona kuwa, China ikiwa nchi yenye idadi kubwa zaidi na familia nyingi zaidi kuliko nchi nyingine duniani, imepata mafanikio yanayofurahisha katika kusukuma mbele maendeleo ya uwiano ya idadi ya watu na jamii
v Wachina wanapenda michezo ya kujiburudisha inayofanyika nje siku hadi siku 2004/12/02
    Hivi sasa wachina wanaofanya kazi ofisini wanapenda sana michezo ya kujiburudisha inayofanyika nje. Huwa wanasafiri kwa kuendesha magari yao wenyewe, au kupanda majabali, kupanda mlima, au kutembea kwa miguu nje ili kujionea uzuri wa mazingira ya kimaumbile.
v Wakazi wa Beijing wafuatilia ununuzi wa vitu visivyo na uchafuzi  2004/11/25
Katika miaka ya hivi karibuni, wakazi wa Beijing wanafuatilia sana kununua vitu visivyo na uchafuzi.
v Mtandao wa inernet waboresha maisha ya wachina  2004/11/04
Ripoti iliyotolewa hivi karibuni na kituo cha upashanaji habari cha mtandao wa internet cha China imedhihirisha kuwa, ilipofika mwishoni mwa mwezi Juni mwaka huu, kompyuta zilizounganishwa na mtandao wa internet nchini China zilifikia milioni 87.     
1 2 3 4 5 6 7 8 9 10