Wafanyakazi wa Idhaa ya Kiswahili ya CRI
China Radio International
China
Dunia
 
v Masuala yanayohusu maisha ya wananchi yafuatiliwa zaidi 2008/03/13
Bi. Wei Wei mwenye umri wa miaka 60 anatoka chama cha umoja wa demokrasia cha China, tawi la mkoa wa Shanxi. Yeye amekuwa mjumbe wa Baraza la mashauriano ya kisiasa la China kwa awamu tatu za mfululizo.
v Maisha ya kijana wa India nchini China 2008/02/28
Kijana Chaudhari Dilip Giridhar kutoka India anapenda sana mji wa Taiyuan mkoani Shanxi, China. Katika miaka kadhaa iliyopita, sio tu kijana huyo aliwafundisha Kiingereza wanafunzi wa chuo kikuu cha huko, bali pia amejifunza Gongfu, na kuwa shabiki halisi wa Gongfu ya kichina.
v Wakorea Kusini wanaoishi kwa furaha mjini Qingdao nchini China  2008/02/14
Kadiri makampuni mengi ya Korea ya Kusini yanayowekeza mjini Qingdao mkoani Shandong, China yanavyoongezeka zaidi, ndivyo mji wa Qingdao unavyokuwa sehemu wanakoishi Wakorea Kusini wengi kabisa nchini China. Watu hao kutoka Korea Kusini wanaishi kwa furaha na kufanya kazi kwa bidii nchini China
v Shirika la kuhudumia watoto la Umoja wa Mataifa kupunguza kiasi cha vifo vya watoto wenye umri chini ya miaka mitano 2008/01/31
Shirika la kuwahudumia watoto la Umoja wa Mataifa  limesema, kujenga na kuimarisha mpango wa utunzaji wa afya kwenye maeneo ya mitaa ni hatua muhimu ya kupunguza idadi ya vifo vya watoto hasa watoto wenye umri wa chini ya miaka mitano
v Maisha mazuri ya wakulima wanaofanya kazi za vibarua mjini Shanghai 2008/01/17
Hivi sasa nchini China kuna wakulima milioni 120 wanaofanya kazi za vibarua mijini, ambao wanashughulikia kazi za ujenzi, uhifadhi wa mazingira na afya, utengenezaji, na utoaji wa huduma za nyumbani.
v Wageni wanavyotimiza ndoto zao nchini China  2008/01/03
Tangu China ianze kufanya mageuzi na kufungua mlango, maendeleo ya kasi ya uchumi wa China na utamaduni wanaong'ara wa Mashariki unawavutia wageni kutoka nchi mbalimbali. Wageni hao wanakuja nchini China kufanya kazi, kusoma, kutalii na hata kuweka makazi yao nchini China.
v Baiskeli katika maisha ya watu wa China  2007/12/13
Watu wa China wanaifahamu sana baiskeli, njia hiyo ya mawasiliano iliwahi kukuwa na hadhi muhimu katika maisha ya watu wa China. Lakini kutokana na kuinuka kwa kiwango cha maisha na kupanuka kwa maeneo ya miji mbalimbali, hadhi muhimu ya baiskeli ilianza kuchukuliwa na magari
v Je, Wachina wana burudani gani baada ye kazi? 2007/11/22
Miaka zaidi ya 20 iliyopita, wakati ambapo watu wa China walikuwa wanajitahidi kujikimu katika maisha, burudani katika jamii ya China zilikuwa chache. Wakati huo watu wengi wakimaliza kazi, walikuwa wanakaa nyumbani kusoma vitabu au kusikiliza vipindi vya radio, na marafiki walikuwa wanakaa pamoja na kucheza karata na chesi tu.
v Mke na mume wanaosimamia kituo cha mabasi mjini Beijing  2007/11/01
Katika vituo vya mabasi vilivyoko katikati ya mji wa Beijing, kuna watu wanaovaa kofia nyekundu na fulana za rangi ya malai, na wanaoshika vibendera. Wao ni wasimamizi wa vituo vya mabasi, ambao kazi yao ni kuyaelekeza mabasi yanapoingia vituoni, kusimamia utararibu vituoni, kusafisha vituo hivyo na kuwasaidia abiria.
v Kiwango cha ufundishaji cha walimu vijijini nchini China kimeinuka 2007/10/11
Tarehe 10, mwezi Septemba ilikuwa ni siku ya walimu. Habari kutoka wizara ya elimu ya China zinasema, katika miaka ya hivi karibuni, China imekuwa inaimarisha kazi ya kuandaa walimu hasa wa vijijini, ili kuboresha hali ya nguvu za walimu vijijini na kuinua uwezo wao wa ufundishaji. Maofisa wa wizara ya elimu wa China wanasema katika siku za usoni serikali ya China itaendelea kuinua kwa nguvu uwezo wa ufundishaji wa walimu vijijini.
1 2 3 4 5 6 7 8 9 10