• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya

 • Mkutano wa Bunge la Umma la China wafungwa
  More>>
  Habari
  • China kuendelea kutoa hatua mpya za kufungua mlango 2019-03-15
  • China kuendelea kuhimiza mageuzi ya mazingira ya biashara
   2019-03-15
  • Li Keqiang asema mwelekeo wa maendeleo ya uhusiano kati ya China na Marekani haubadiliki 2019-03-15
  • Uchumi wa China kuwa nanga ya kudumisha utulivu wa uchumi wa dunia 2019-03-15
  • Mkutano wa Bunge la Umma la China wafungwa 2019-03-15
  More>>
  Maelezo
  • China yaeleza matumaini ya muafaka katika mgogoro wake wa kibiashara na Marekani
  Serikali ya China imeelezea kuwa changamoto zilizojitokeza katika biashara baina yake na Marekani haziwezi kuathiri mahusiano ya kibiashara na mataifa mengine.
  • Waziri mkuu wa China aonesha imani kubwa kuhusu uchumi wa China katika siku za baadaye
  Mkutano wa Pili wa Bunge la Awamu ya 13 la Umma la China uliofungwa leo mjini Beijing umepitisha ripoti ya kazi ya serikali ya awamu hiyo, na sheria ya uwekezaji wa kigeni inayolenga kuhimiza ufunguaji mlango katika kiwango cha juu zaidi. Katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika baada ya kumaliza kwa mkutano huo, waziri mkuu wa China Bw. Li Keqiang ameeleza kuwa, China itafuata hali ilivyo hivi sasa, kutupia macho siku za baadaye, kudumisha ongezeko lenye utulivu la uchumi na mwelekeo mzuri wa ongezeko hilo.
  • Tutafaulu kwa mazungumzo yetu na Marekani, Uchina yasema
  Uchina unatarajia matakeo bora kwenye mazugumzo yao na Marekani kuhusu ushirikiana wa kibiashara kati ya nchi hizo mbili unayo endelea, waziri mkuu Li Keqiang atangaza siku ya Ijumaa.
  • Sheria ya Uwekezaji wa Wafanyabiashara kutoka nje Yasaidia China kufungua mlango kwa duru mpya kwenye kiwango cha juu
  Siku chache zilizopita, Kampuni ya Airbus imetangaza kuwa, itatumia rasmi kituo chake cha kufanya uvumbuzi kilichoko Shenzhen, China ambacho ni kituo pekee kilichoanzishwa nayo barani Asia, ambapo itawatumia wataalamu wanyeji, teknolojia na nguvu bora za wenzi wa ushirikiano, ili kuogeza zaidi uwezo mpya wa Kampuni ya Airbus, na kujenga siku za baadaye za usafiri wa ndege.
  • Namna China ilivyojidhatiti kuboresha uchumi katika mwaka 2019

  SERIKALI ya China, Jumanne iliwasilisha mswada wa wa bajeti na ripoti ya kazi inazotarajia kuzifanya mwaka 2019 huku ikiweka vipaumbele katika ukukuza uchumi, biashara ajira, kujenga miundombinu pamoja na kuendeleza ushiriakno wa kimataifa.

  • China yatangaza mikakati ya mambo ya utawala ya mwaka 2019

  Mkutano wa mwaka wa Bung la Umma la China ambalo ni chombo cha ngazi ya juu cha kutunga sheria cha China umefunguliwa leo asubuhi mjini Beijing, ambapo waziri mkuu wa China Bw. Li Keqiang ametoa ripoti ya kazi ya serikali ya mwaka uliopita na mikakati ya mambo ya utawala ya nchi ya mwaka huu.

  • Bunge la China Katika Jicho la Mwanahabari wa Afrika

  CHINA ni nchi yenye jumla ya watu takribani bilioni 1.4, inayopatikana Asia ya Mashariki na inabaki kuwa nchi yenye siasa za kipekee duniani.

  • CPC na CPPCC taswira ya Maendeleo China na mahusiano baina ya Afrika na Ushirikiano kimataifa

  MACHI 3 mpaka 15 mwaka huu kunafanyika Mikutano Miwili Mikubwa kwa mustakabari wa nchi ya China ambapo serikali itatoa ripoti ya utendaji kazi wake, mafanikio na mipango yake kwa mwaka huu.

  • Bunge la Umma na mustakabali wa FOCAC

  MWEZI Septemba mwaka jana, 2018, viongozi mbalimbali na Marais wa nchi za Afrika walikutana na viongozi wa China, chini ya uenyekiti was Rais Xi Jinping, jijini Beijing.

  • Afrika yapaswa kufwatilia kwa karibu matukio katika mikutano miwili ya kisiasa nchini China

  Kila mwaka, vyombo vikuu vya kisheria nchini China huitisha mikutano kwa kile ambacho ni kongamano lenye shughuli nyingi hasa katika kuweka ajenda ya mwaka unaofuata. Hii ni pamoja na ajenda ya Rais kwa China na ulimwengu.

  More>>
  Picha

  • Mkutano wa Bunge la Umma la China wafungwa

  • Mkutano wa mwaka wa CPPCC wamalizika Beijing
  More>>
  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako