• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • v Maonesho ya Mwanga wa Internet yaonesha teknolojia za kisasa za akili bandia, AR na 5G
    Maonesho ya mwanga wa Internet yakiwa ni sehemu muhimu ya mkutano wa Internet duniani unaofanyika kila mwaka mjini Wuzhen, mwaka huu kampuni zaidi ya 130 zinazoshiriki kwenye maonesho hayo zimeonesha teknolojia zao za hali ya juu, ikiwemo Akili Bandia, Cloud Computing, Big Data na 5G.
    Afrika
    • Vyombo vya habari na wachumi wa Afrika waona China inaendelea kuongoza ufufukaji wa uchumi wa dunia 2020-10-22
    Mwelekeo mzuri wa ukuaji wa uchumi wa China katika robo ya tatu ya mwaka huu unaendelea kupongezwa na vyombo vya habari na wachumi wa Afrika.
    More>>
    Dunia
    • Ahadi aliyoitoa Rais wa China kwenye mkutano wa Baraza kuu la UM yatia moyo mwitikio wa dunia kwa mabadiliko ya tabianchi 2020-09-24
    Rais Xi Jinping wa China juzi jumanne alitoa hotuba muhimu kwenye mjadala wa kawaida wa kikao cha 75 cha Baraza kuu la Umoja wa Mataifa, na mambo aliyoyataja kuhusu kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi yamefuatiliwa na kujadiliwa na vyombo vya habari vya kimataifa. Baadhi ya wataalamu wa nchi za magharibi wanaona kuwa ahadi ya China imetia moyo kwenye mwitikio wa dunia kwa mabadiliko ya tabianchi.
    More>>
    China
    • Rais Xi Jinping asisitiza kukumbuka ushindi mkubwa na kusonga mbele kwa hatua madhubuti 10-23 18:03
    Rais Xi amewasisitiza wachina kukumbuka mioyoni ushindi mkubwa wa jeshi la China kwenye mapambano dhidi ya uvamizi wa Marekani nchini Korea Kaskazini, wawe na ushupavu na busara kwenye mapambano na kuendelea kusukuma mbele kwa hatua madhubuti jukumu kuu la kuendeleza ujamaa wenye umaalumu wa China katika zama mpya.
    More>>
    Uchumi
    • Misaada ya kukabiliana na Covid 19 yatolewa kwa vituo vya mabasi Tanzania
    Misaada ya kukabiliana na virusi vya Corona imetolewa kwa vituo vya mabasi mkoani Mbezi nchini Tanzania. Msaada huo unatolewa wakati ambapo ujenzi wa kituo cha mabasi ya mkoani Mbezi Mwisho jijini Dar es Salaam, umefika asilimia 79 na unatarajia kukamilika mwaka huu.
    Makala
    • Marekani yapaswa kuchunguzwa na jamii ya kimataifa kwa maambukizi ya COVID-19

    Baadhi ya wanasiasa wa Marekani hivi karibuni wameendelea kusambaza uvumi kwamba, virusi vya Corona vimetengenezwa na China katika maabara ya mjini Wuhan, na kudai kufanya uchunguzi wa kimataifa kuhusu jambo hilo. Lakini ukweli ni kwamba jamii ya kimataifa ikiwemo vyombo vikuu vya habari vya Marekani inaona kuwa, badala ya China, Marekani inapaswa kuchunguzwa kwa maambukizi ya virusi hivyo.

    Wiki hii
    • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (Novemba 7-Novemba 13)
    1.China kuipa kipaumbele Afrika katika utoaji wa chanjo ya covid-19
    2.Vyombo vya habari na wachumi wa Afrika waona China inaendelea kuongoza ufufukaji wa uchumi wa dunia
    3.Bunge lampitisha Kassim Majaliwa kwa kura zote kuwa Waziri Mkuu
    4.Waziri mkuu wa Ethiopia asema operesheni za kijeshi zinalenga kumaliza hali ya kuepuka adhabu
    5.Ethiopia haitatumbukia kwenye machafuko kwasababu ya operesheni ya Tigray
    6.Mfumo wa reli mjini Nairobi kupunguza msongamano wa magari
    7.Uuzaji bidhaa wa Kenya kwa nchi za Afrika waongezekana kufikia kiwango cha kabla ya COVID-19
    8.Nchi mbalimbali zatoa wito kwa jumuiya ya kimataifa kujenga mazingira mazuri kwa wakimbizi wa Syria kurudi nyumbani
    More>>
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako