Wafanyakazi wa Idhaa ya Kiswahili ya CRI
China Radio International
China
Dunia
 
v Mtu mashuhuri wa China ya kale Cao Cao na mashairi yake 2008/11/20
Kipindi cha Jian An kilichoanzia mwaka 196 hadi mwaka 220 mwishoni mwa Enzi ya Han Mashariki ni kipindi muhimu katika historia ya China. Katika kipindi hicho walijitokeza washairi wakubwa kama Cao Cao, Cao Pi na Cao Zhi, ambao walichangia ustawi wa fasihi ya China na kuipeleka katika kipindi kipya cha maendeleo
v Tamasha la kimataifa la michezo ya sanaa lafanyika mjini Shanghai 2008/11/14
Tamasha la 10 la kimataifa la michezo ya sanaa linafanyika katika mji wa Shanghai, mji mkubwa uliopo mashariki mwa China. Wasanii kutoka Australia, Canada, Japani, Marekani, Ujerumani, Misri na nchi nyingine wamekusanyika huko kwa furaha. Katika muda wa mwezi mmoja wasanii hao watafanya maonesho zaidi ya 52 ya michezo ya sanaa.
v Watu wa fani mbalimbali nchini China wamkumbuka mwongozaji mkubwa wa filamu Bw. Xie Jin 2008/11/06
Hivi karibuni mwongozaji mkubwa wa filamu wa China Bw. Xie Jin amefariki dunia kutokana na ugonjwa akiwa na umri wa miaka 85. Siku hizi watu wa fani mbalimbli nchini China kwa namna moja au nyingine wanafanya maombolezo ya kumkumbuka mwongozaji huyo wa filamu aliyetoa mchango mkubwa katika mambo ya filamu.
v Utenzi wa kwanza katika historia ya fasihi ya China "Tausi Arukia Kusini Mashariki"  2008/10/30
"Tausi Arukia Kusini Mashariki" ni utenzi wa kwanza kabisa katika historia ya fasihi ya China, na ni moja kati ya maandishi maarufu ya fasihi ya China. Utenzi huo ulitokea katika kipindi cha Enzi ya Kusini iliyoanzia mwaka 420 hadi 589, asili yake ilikuwa ni utunzi miongoni mwa wenyeji katika Kipindi cha Jian An kilichoanzia mwaka 196 hadi mwaka 220 na baadaye ulirekebishwa katika muda mrefu. Utenzi huo una beti zaidi ya 350 zenye maneno zaidi ya 1,700, mambo yanayoelezwa ni hadithi ya mapenzi yanayosikitisha iliyotokea katika zama za kale nchini China.
v Nyimbo zakuvutia usitake kuondoka mkoani Ningxia China 2008/10/16
Mliosikia ni wimbo wa kale unaoenea sana mkoani Ningxia nchini China. Wimbo kama huo unapewa jina la "Hua" maana yake ya kichina ni maua. Wimbo huo ambao unaimbwa kwa miaka mingi miongoni mwa wenyeji unawavutia watu wengi.
v Mabadiliko makubwa ya uchapishaji wa vitabu katika miaka 20 iliyopita nchini China  2008/10/09
Kuanzia tarehe mosi mpaka tarehe 4 Septemba tamasha la 15 la kimataifa la vitabu lilifanyika katika mji wa bandari Tianjin. Miaka 22 imepita tangu tamasha hilo lilipoanzishwa mwaka 1986 mpaka sasa, tamasha hilo limekuwa moja ya matamasha manne makubwa ya kimataifa duniani.
v Maendeleo ya utamaduni wa jadi mkoani Tibet 2008/10/06
Mkoa unaojiendesha wa Tibet ni sehemu yenye utamaduni mkubwa wa jadi watu wa makabila madogo madogo wanayoishi. Miaka 50 iliyopita wakati wa Tibet ilipotekeleza mfumo wa wakuilma watumwa na utawala wa kisiasa pamoja na kidini,
v Kitabu kikubwa cha historia ya China "Rekodi ya Historia" 2008/09/25
"Rekodi ya Historia" ni kitabu cha kwanza kabisa cha kueleza historia ya China kwa wasifu. Kitabu hicho kiliandikwa toka mwaka 104 K.K. hadi mwaka 91 K.K.
v Mwongozaji mkuu wa sherehe ya ufunguzi wa Michezo ya Olimpiki ya Walemavu ya Beijing Bw. Zhang Jigang  2008/09/18
Michezo ya Olimpiki ya Walemavu ilifunguliwa Tarehe 6 Septemba, sherehe ya ufunguzi huo iligusa hisia za watu na kuwapa picha nzuri zisizosahauliwa. Mliosikia ni wimbo uitwao "Kwenye eneo la mbinguni" ulioimbwa na mwimbaji mlemavu asiyeweza kuona Bw. Yang Haitao. Mwimbaji huyo alipoimba wimbo huo, ndege aliyemithilisha mwangaza wa jua akiruka angani na kutua kwenye ardhi ya majani,
v Wimbo wa Michezo ya Olimpiki "Beijing" 2008/09/11
Wanamuziki wa Bendi ya The SMU ya Ujerumani walikuja Beijing wakiwa na wimbo wao uitwao "Beijing" walioutunga kwa ajili ya Michezo ya Olimpiki ya Beijing 2008.
v Tamasha la Kimataifa la Ngoma za Jadi lafanyika mkoani Xinjiang China  2008/07/24
Tarehe 8 Tamasha la Kimataifa la Ngoma za Jadi kwa mara ya kwanza lilifanyika huko Urumqi, mji mkuu wa mkoa wa Xinjiang, China. Wasanii 1,300 wa makundi kumi kadhaa kutoka nchini China na nchi za nje walishiriki kwenye tamasha hilo.
v Utamaduni wa kabila la waQiang la China utarudi tena 2008/07/10
Tarehe 12 Mei, tetemeko kubwa la ardhi lilitokea mkoani Sichuan China. Tetemeko hilo licha ya kusababisha watu wengi kupoteza maisha na kujeruhiwa, pia lilileta hasara kubwa ya mali ya urithi wa utamaduni na utamaduni usioonekana.
v China yaadhimisha Siku ya urithi wa utamaduni kwa shughuli mbalimbali 2008/06/19
Tarehe 14 Juni ni Siku ya urithi wa utamaduni katika mwaka wa tatu nchini China. Kila mwaka katika siku hiyo Wizara ya Utamaduni na idara za utamaduni katika ngazi zote zinafanya shughuli za kila aina ili kuwakumbusha wananchi wauthamini na kurithisha utamaduni wao wa jadi.
v Mwigizaji kijana wa mchezo wa opera ya kunqu Kunqu ya China Bw. Yu Jiulin 2008/06/12
Mchezo wa opera ya kunqu Kunqu ambayo hadi sasa imekuwa na historia ya miaka zaidi ya 600 inasifiwa kama ni chimbuko la aina zote za opera za jadi nchini China, ni sanaa iliyoorodheshwa na shirika la elimu, sayansi na utamaduni la Umoja wa Mataifa UNESCO katika urithi wa utamaduni usioonekana duniani
v Opera ya Kunqu yakaribishwa tena nchini China  2008/05/29
Opera ya Kunqu inasifiwa kama ni chimbuko la opera za jadi za aina zote nchini China, lakini opera hiyo ambayo imekuwepo kwa miaka zaidi ya 600 iliwahi kuwa hatarini kutoweka. Katika miaka ya hivi karibuni kutokana na juhudi za pamoja, wasanii wamefufua opera hiyo na mchezo wa opera hiyo uitwao "Kibanda cha Peony" unapata watazamaji wengi bila kupungua, na hata katika jamii imetokea wimbi la watu kupenda utamaduni wa opera ya Kunqu, na vitabu na sahani za DVD kuhusu utamaduni huo zinauzwa kwa wingi.
1 2 3 4 5 6 7 8 9