Wafanyakazi wa Idhaa ya Kiswahili ya CRI
China Radio International
China
Dunia
 
  • Kipindi maalum cha chemsha bongo kuhusu vivutio vya utalii vya "Mkoa wa Sichuan, maskani ya Panda" (3)
  •  2006/12/26
    Katika kipindi hiki maalum cha chemsha bongo kuhusu vivutio vya utalii vya "Mkoa wa Sichuan, Maskani ya Panda", leo tunawaletea makala ya tatu kuhusu utamaduni wa dini ya kibuddha.
  • Kipindi maalum cha chemsha bongo kuhusu vivutio vya utalii vya "Mkoa wa Sichuan, maskani ya Panda"
  •  2006/11/21
    Tukizungumzia Mkoa wa Sichuan, China, labda marafiki zetu wengi hawaujui, lakini kama tukitaja Panda, huenda watu wote wanaweza kufurahia wanyama hao wanaopendeza. Mkoa wa Sichuan, kusini magharibi ya China ndio maskani ya wanyama Panda.
  • Tangazo
  •  2006/10/03
    Leo kwanza kabisa kwa furaha kubwa tunapenda kuwaarifu wasikilizaji wetu Ras Franz Manko Ngogo wa Klabu ya wasikilizaji wa CRI ya Kemogemba wa huko Tarime Mara Tanzania, na Bw Mutanda Ayub Sharifu wa Bungoma Kenya kupata nafasi ya ushindi maalum kwenye shindano la chemsha Bongo la Mimi na Radio China kimataifa
  • Tangazo 0418
  •  2006/04/18
    Tunapenda kutangaza matokeo ya mashindano ya chemsha bongo kuhusu "Taiwan, kisiwa cha hazina cha China" yaliyofanyika mwaka jana.
  • Tangazo 0906
  •  2005/09/06
    Taiwan ni kisiwa kimoja cha China, lakini kutokana na sababu za vita vya wenyewe kwa wenyewe vilivyofanyika nchini China katika miaka ya 40 ya karne iliyopita, Taiwan na China bara zimekaa katika hali ya uhasama kwa kiasi fulani katika zaidi ya miaka 50 iliyopita, hivyo likatokea ati suala la Taiwan.
  • Tangazo0823
  •  2005/08/23
    Wasikilizaji wapendwa, leo kwanza tunarudia tangazo letu kuhusu shindano la chemsha bongo kuhusu ujuzi wa "Taiwan-kisiwa cha hazina cha China" na mabadiliko ya muda na saa ya matangazo yetu ya Kiswahili yanayopitia shirika la utangazaji la Kenya KBC na mabadiliko ya muda wa matangazo yetu kwenye masafa mafupi.
  • Tangazo 0816
  •  2005/08/16
    Leo kwanza tunapenda kuwaarifu kuwa, shindano la chemsha bongo linaloandaliwa kila mwaka na Radio China kimataifa litaanzishwa hivi karibuni, shindano hilo la chemsha bongo mwaka huu ni kuhusu ujuzi wa "Taiwan?kisiwa cha hazina cha China", Idhaa ya kiswahili ya Radio China kimataifa itatangaza makala 4 za shindano hilo la chemsha bongo kuanzia Tarehe 4 Septemba.
  • Matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya CRI yataongezwa muda
  •  2005/08/09
    Kuanzia tarehe 1 Agosti mkurugenzi mkuu wa Shirika la utangazaji la Kenya KBC Bwana Wachira Waruru alifanya ziara hapa Beijing, China kwa wiki moja, ambapo alitembelea Kituo kuu cha televisheni cha China CCTV, Kampuni ya radio na televisheni ya China na Radio China kimataifa.
  • Wasikilizaji washindi
  •  2005/05/31
  • Tangazo 0524
  •  2005/05/24
    Kwanza tunapenda kuwaarifu wasikilizaji wetu kuwa, Naibu spika wa bunge la umma la China Bwana Xu Jialu tarehe 18 katika Jumba la mikutano ya umma la Beijing alikutana na wasikilizaji wa Radio China kimataifa waliochaguliwa kuwa washindi katika chemsha bongo kuhusu ujuzi wa Miaka 55 ya China mpya, na kuwapa tuzo.
  • Tangazo
  •  2004/12/28
    Mwaka mpya 2005 utawadia hivi karibuni. Tukiwa tunaagana na mwaka 2004, tunapenda kuwashukuru kwa uungaji mkono wenu kwa Idhaa ya Kiswahili ya Radio China Kimataifa.
  • Mashindano ya chemsha bongo kuhusu ujuzi wa "Miaka 55 ya China mpya"
  •  2004/08/10
        Tarehe mosi Oktoba mwaka huu Jamhuri ya watu wa China itatimiza miaka 55 tangu kuzaliwa kwake. Ili kuadhimisha siku hiyo, kuanzia tarehe 15 Agosti mwaka huu Radio China kimataifa itaanzisha mashindano ya chemsha bongo kuhusu ujuzi wa "Miaka 55 ya China mpya", mashindano hayo yataendelea mpaka mwishoni mwa mwezi Novemba.
  • Tangazo kuhusu mashindano ya chemsha bongo
  •  2004/07/06
        Idhaa ya Kiswahili inataka kuwaarifu wasikilizaji wetu kuwa, Mashindano ya chemsha bongo ya mwaka jana kuhusu utamaduni na utalii wa eneo la magharibi la China, yalifanyika mwezi Agosti hadi Desemba mwaka jana kupitia matangazo ya lugha 43 za Radio China ya kimataifa na tovuti za lugha za kigeni kwenye mtandao wa internet yamemalizika rasmi.