Wafanyakazi wa Idhaa ya Kiswahili ya CRI
China Radio International
China
Dunia
 
  • Wazazi wa China wazingatia kuwaelimisha watoto wao
  •  2004/04/28
    Hivi sasa hapa nchini hasa katika miji mikubwa, familia nyingi zina mtoto mmoja tu. Hivyo wazazi wa China wanazingatia sana kumwelimisha watoto wao hata kabla yao kuzaliwa, bila kujali kutumia nyakati nyingi na gharama kubwa. Wazazi wa China wanataka watoto wao kuwa watu wenye elimu na uwezo mkubwa watakapokuwa watu wazima.
  • Elimu na mtandao wa internet nchini China
  •  2004/04/07
    Hivi sasa nchini China, watu wengi zaidi wanapenda kupata elimu kupitia mtandao wa internet. Wanafunzi wanaweza kusoma kwa kutumia kompyuta zenye picha na sauti; na wafanyakazi wanaweza kuendelea masomo yao kupitia mtandao wa internet.
    1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13 14 15 16