Wafanyakazi wa Idhaa ya Kiswahili ya CRI
China Radio International
China
Dunia
 
  • Naibu waziri wa habari wa Kenya azungumzia uwezekano wa Kiswahili kutumika Umoja wa Mataifa
  •  2006/05/24
    Leo tumeweza kuzungumza na naibu waziri wa habari nchini Kenya mheshimiwa Koigi Wamwere ambaye alihudhuria kongamano moja nchini Marekani ambapo lugha ya Kiswahili ilizungumziwa. Kwanza anaeleza jinsi yeye mwenyewe anavyokikuza Kiswahili.
  • Mfumo wa makazi ya kisasa wenye uwezo wa kujiendesha ni mtunza nyumba mpya wa wachina
  •  2006/05/24
    Hivi sasa wachina wengi wameanza kuzingatia kuinua ubora wa maisha yao, wanaona kuwa kujenga nyumba nzuri hakutegemei mapambo mazuri tu. Mfumo wa kisasa wa makazi yenye uwezo wa kujiendesha umekuwa mtunza nyumba mpya wa wachina na kurahisisha maisha ya watu.
  • Hadithi ya mtangazaji mmoja wa radio, ambaye pia ni mwanamuziki
  •  2006/05/17
    "Mimi naitwa Lolani Kalu, mimi ni mwanahabari katika kituo kimoja cha Radio hapa Nairobi, nilianza kufanya kazi kama mwanahabari tangu 1985 KBC"
  • Jinsi utamaduni wa Mswahili unavyozidi kukuzwa katika kisiwa cha Lamu nchini Kenya.
  •  2006/05/10
    Msomi-mtaalamu-mtafiti wa Kiswahili Bw. Ahmed Shekhe Nabahan, ni miongoni mwa wasomi adimu na tunu kubwa katika eneo la Afrika Mashariki na Afrika nzima kwa ujumla, ambaye kila leo hutafutwa kwa udi na uvumba na wapenzi wa lugha ya Kiswahili na utamaduni wa Mswahili
  • Satelaiti ya kuchunguza rasilimali za dunia iliyosanifiwa kwa pamoja kati ya China na Brazil yatumika kwenye sekta mbalimbali
  •  2006/05/10
    Satelaiti ya kuchunguza rasilimali za dunia iliyosanifiwa kwa pamoja kati ya China na Brazil hivi sasa inatumika kwenye sekta mbalimbali
  • Chakula chenye jine iliyohamishwa ni salama ?
  •  2006/05/03
    Kamati ya Umoja wa Ulaya tarehe 19 mwezi May iliidhinisha rasmi mauzo ya mahindi yaliyoingizwa kutoka nje yenye jin (gene) iliyohamishwa aina ya Bt-11 pamoja na chakula cha makopo kilichotengenezwa kutokana na mahindi hayo.
  • Chuo kikuu cha Fudan chajaribu kupata wanafunzi wapya kwa njia ya usahili
  •  2006/05/03
    Hivi karibuni wahitimu 300 wa sekondari ya juu wa mji wa Shanghai wamesajiliwa na chuo kikuu cha Fudan cha Shanghai kwa njia ya usahili bila kushiriki kwenye mtihani wa kitaifa wa China wa kujiunga na vyuo vikuu. hii ni mara ya kwanza kufanya usahili huo katika historia ya elimu ya China.
  • China yazingatia uanzishaji wa elimu ya uzazi kwa vijana
  •  2006/04/26
    Hivi sasa nchini China idadi ya vijana wenye umri wa miaka ya kutoka 10 hadi 24 pamoja na vijana ambao hawajaoa, imefikia kiasi cha milioni 300, pamoja na maendeleo ya kasi ya jamii na uchumi wa China na kuinuka kwa kiwango cha maisha ya watu, vijana wanabalehe wakiwa na umri mdogo zaidi kuliko vijana wa zamani, lakini wanachelewa kuoa au kuolewa wakilinganishwa na vijana wa zamani.
  • Chuo kikuu cha Nairobi Kenya chaendeleza lugha ya kiswahili
  •  2006/04/19
    Mwandishi wetu wa habari aliyeko Nairobi Kenya hivi karibuni amefanya mahojiano na Bwana Abud Bashir Mchangamwe ambapo walizungumzia ukuaji wa lugha ya kiswahili nchini Kenya.
  • Jumuiya ya kimataifa yaimarisha ushirikiano ili kutimiza malengo ya maendeleo ya milenia
  •  2006/04/05
    Mkutano wa elimu na mafunzo na malengo ya maendeleo ya milenia ya Umoja wa Mataifa ulifunguliwa hivi karibuni mjini Beijing.
    1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13 14 15 16