Wafanyakazi wa Idhaa ya Kiswahili ya CRI
China Radio International
China
Dunia
 
  • Baraza la mawaziri wa elimu wa China na Afrika latoa taarifa ya Beijing
  •  2005/11/30
    Mawaziri wa elimu kutoka nchi 18 waliohudhuria kwenye Baraza la Mawaziri wa Elimu la China na Afrika tarehe 27 walitoa taarifa ya Beijing.
  • Sera ya elimu ya Tanzania
  •  2005/11/30
    Tarehe 27 Novemba mwaka huu mkutano wa mawaziri wa elimu wa China na Afrika ulifanyika hapa Beijing, mawaziri wa elimu kutoka nchi 17 za Afrika akiwemo waziri Joseph J. Mungai wa Tanzania walihudhuria mkutano huo.
  • China yathibitisha malengo ya maendeleo ya elimu ya wakulima wakati wa mpango wa 11 wa miaka mitano
  •  2005/11/16
    Naibu waziri wa kilimo wa China Bwana Zhang Baowen tarehe 15 mwezi Novemba alisema kuwa, wakati wa utekelezaji wa mpango wa 11 wa miaka mitano ya maendeleo ya uchumi na jamii ya China, China itachukua hatua mbalimbali za kutoa mafunzo ya kisayansi na kiteknolojia ili kuandaa aina mpya ya wakulima, na kuwawezesha wakulima milioni moja kupata elimu ya mafunzo ya kazi za kiufundi kwenye shule za sekondari za juu.   
  • Elimu kwa teknolojia za kisasa yaingia kwenye shule za msingi vijijini
  •  2005/11/09
    Hivi sasa, walimu na wanafunzi mijini nchini China wanaweza kujipatia ujuzi na habari kupitia njia mbalimbali, zikiwemo mtandao wa Internet, matangazo ya televisheni na redio, VCD and DVD. Lakini kwenye sehemu za vijijini, njia nyingi kati ya hizo hazipatikani.
  • China yatilia mkazo katika elimu ya vijijini
  •  2005/10/26
    Tarehe 5 Bw. Zhou Ji alikutana na katibu mkuu wa shirika hilo Bw. Koichiro Matsuura na kusema kuwa, China inatilia mkazo elimu ya vijijini.
  • Siku ya kuadhimisha miaka 110 tangu kuanzishwa kwa chuo kikuu cha Tianjin
  •  2005/10/19
    Tarehe 2 mwezi Oktoba ni siku ya kuadhimisha miaka 110 tangu kuanzishwa kwa chuo kikuu cha Tianjin ambacho ni chuo kikuu cha kwanza katika zama ya karibu ya China.
  • China yazingatia elimu vijijini
  •  2005/09/21
    Tarehe 10 mwezi Septemba waziri mkuu wa China Bw. Wen Jiabao na mjumbe wa taifa wa China Bi. Chen Zhili wakifuatana na katibu wa kamati ya chama ya Beijing Bw. Liu Qi na meya wa Beijing Bw. Wang Qishan walitembelea shule za msingi na za sekondari zilizoko kwenye vitongoji vya Beijing
  • China yawasaidia wanafunzi wenye matatizo ya kiuchumi wa vyuo vikuu kumaliza masomo
  •  2005/09/14
    "Njia ya kijani" iliyowekwa na vyuo vikuu ya kujiandikisha kwa wanafunzi wenye shida ya kiuchumi, wanafunzi kutoka familia zenye shida ya kiuchumi wanaweza kujiandikisha na kuanza masomo na kulala bwenini bila kulipa karo na malipo ya bweni.
  • Sherehe ya kwanza ya kupewa cheo cha juu cha masomo ya elimu ya dini ya kibudhaa ya kitivo cha lugha ya kitibet yafanyika
  •  2005/09/14
    Tarehe 12 Septemba, katika Hekalu la Tal la Qinghai, Chuo cha elimu ya ngazi ya juu ya dini ya kibudhaa cha kitivo cha lugha ya kitibet cha China, kilifanya mahafali ya kwanza ya kuhitimu masomo kwa wanafunzi wa darasa la kupewa cheo cha juu cha elimu
  • Watu wengi duniani wajifunza lugha ya Kichina
  •  2005/09/07
    Katika miaka ya karibuni, kadiri China inavyozifungulia mlango nchi za nje na uchumi wa China unavyoendelea kukua kwa kasi, ndivyo mawasiliano na maingiliano kati ya China na nchi nyingine duniani yanavyoendelea kuongezeka kwa kina.
    1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13 14 15 16