Wafanyakazi wa Idhaa ya Kiswahili ya CRI
China Radio International
China
Dunia
 
  • China yawasaidia watoto wa familia maskini waweze kwenda shule
  •  2005/04/13
    Hivi sasa, China inatekeleza sera ya elimu ya lazima ya miaka 9 kuanzia shule ya msingi hadi shule ya sekondari. Ingawa wanafunzi hawatakiwa kulipa gharama za masomo, lakini bado wanatakiwa kulipa yuan mia kadhaa hadi elfu moja kila mwaka kwa ajili ya vitabu vya kiada, mabweni ya shule na huduma nyingine. Gharama hizo ni rahisi kwa familia za mijini, lakini ni mzigo mkubwa kwa familia maskini za vijijini, na baadhi ya wanafunzi wamelazimika kuacha masomo yao kutokana na hali hiyo.
  • Kompyuta yenye mifumo miwili kwa ajili ya watoto na watu wazima
  •  2005/04/06
    Hivi sasa, kompyuta imekuwa mahitaji ya watu katika kazi, elimu na maisha.  Siku chache zilizopita, China imetatua suala hilo kwa kuwa na kompyuta yenye mifumo miwili, mmoja kwa ajili ya watu wazima na mwingine kwa watoto.
  • Maisha ya mwanafunzi mwenye matatizo ya kiuchumi Pan Liling katika chuo kikuu
  •  2005/03/09
    Tutawaletea maelezo jinsi wanafunzi kutoka familia zenye matatizo ya kiuchumi wanavyozoea maisha katika vyuo vikuu kupitia hadithi ya msichana mwingine Pan Lingli.
  • Wachina waliorejea baada ya masomo nje wapata mafanikio makubwa
  •  2005/02/16
        Kutokana na maendeleo makubwa ya uchumi wa China na mazingira mazuri ya kuanzisha shughuli yanayoboreka siku hadi siku, wanafunzi wengi wa China wamerejea na matokeo ya utafiti wao baada ya masomo katika nchi za nje na kuanzisha shughuli zao nchini. Hivi sasa viwanda vyao vinaendelea vipi? Katika siku za karibuni, mwandishi wetu wa habari alifanya mahojiano katika eneo maalum la sayansi na teknolojia la Zhong Guan Cun.
  • Wanafunzi wa nchi za nje wanaojifunza katika chuo kikuu cha Bejing wapata manufaa mengi kutoka chuo hicho
  •  2005/02/09
    Katika miaka ya karibuni, pamoja na maendeleo ya kasi ya uchumi wa China na kuinuka kwa heshima China duniani, wanafunzi wengi zaidi wanakuja China kuendelea na masomo yao.
  • Mwanafunzi mmoja wa China anayetoka kwenye familia masikini kufaulu kusoma katika chuo kikuu
  •  2005/01/05
    Kama ilivyo kwa nchi nyingi, China inatekeleza sera ya wanafunzi wa vyuo vikuu kulipa ada za masomo. Kwa kawaida, katika kila mwaka wa masomo, mwanafunzi mmoja anapaswa kuchungia gharama ya yuan elfu 6, mbali na hayo, matumizi ya maisha ya kila mmoja ni yuan zisizopungua elfu 4 kwa mwaka.
  • Watoto wa China wapenda kufanya utafiti wa saynasi
  •  2004/12/15
    Katika shule ya msingi ya majaribio ya mkoa wa Shangdong, Mashariki mwa China, wanafunzi walifanya maonyesho ya sayansi katika shule hiyo. Kwenye maonyesho hayo, wanafunzi walionesha majaribio mbalimbali ya sayansi ya kufurahisha.
  • Maendeleo makubwa yapatikana katika elimu ya mkoa unaojiendesha wa Tibet
  •  2004/11/24
    Mwaka 1951, Tibet ilipokombolewa kwa amani, watibet waliokuwa na elimu walikuwa ni wachache sana. Katika miaka mingi iliyopita, kutokana na misaada ya serikali kuu ya China, hali ya elimu ya Tibet inabadilika na kuwa nzuri siku hadi siku. Hivi sasa sehemu nyingi za mkoa unaojiendesha wenyewe wa Tibet zilianza kutekeleza sera ya elimu ya lazima ya miaka 9.
  • Shule ya Wushu katika kijiji nchini China
  •  2004/11/17
    Katika miaka ya hivi karibuni, kutokana na maendeleo makubwa ya uchumi wa China, utamaduni wa jadi wa China unazingatiwa siku hadi siku. Mchezo wa Wushu ni mfano halisi wa mchezo unaopendwa sana na watu wengi hasa wanafunzi vijana nchini China.
  • Kujifunza lugha za kigeni utotoni ni bora zaidi
  •  2004/11/03
    Utafiti uliofanywa hivi karibuni na wanasayansi wa Chuo Kikuu cha London, Uingereza umegundua kuwa kufahamu lugha za aina mbili au zaidi kunaweza kubadilisha muundo wa ubongo wa binadamu.     
    1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13 14 15 16