Wafanyakazi wa Idhaa ya Kiswahili ya CRI
China Radio International
China
Dunia
 
  • Wizara ya elimu ya China yasukuma mbele vyuo vikuu kushiriki kwenye maendeleo ya uchumi wa kikanda
  •  2006/02/15
    Naibu waziri wa elimu wa China Bw. Zhao Qinping alisema, ni lazima kwa vyuo vikuu vinavyosimamiwa moja kwa moja na wizara ya elimu, kushiriki kwenye utaratibu wa uvumbuzi wa kikanda wenye uwezo mkubwa wa kupata maendeleo na sifa ya kipekee, na kuwa mhimili na kufanya kazi ya uongozi wa kikanda katika maendeleo ya uchumi na jamii.
  • Mwanasayansi Ye Duzheng aliyepata tuzo ya taifa ya sayansi na teknolojia ya juu nchini China
  •  2006/02/15
    Siku chache zilizopita, sherehe ya kutoa tuzo ya taifa ya sayansi na teknolojia ya juu mwaka 2005 ilifanyika mjini Beijing. Katika sherehe hiyo Bw. Ye Duzheng na mwanasayansi mwingine walipata tuzo hiyo.
  • Wizara ya elimu ya China yasukuma mbele vyuo vikuu kushiriki kwenye maendeleo ya uchumi wa kikanda
  •  2006/02/01
    Naibu waziri wa elimu wa China Bw. Zhao Qinping tarehe 21 mwezi Januari kwenye mkutano wa ushirikiano na mawasiliano ya sayansi na teknolojia kati ya vyuo vikuu vinavyosimamiwa moja kwa moja na wizara ya elimu ya China na mkoa wa Guangdong, alisema, ni lazima vyuo vikuu vinavyosimamiwa moja kwa moja na wizara ya elimu kushiriki kwenye utaratibu wa uvumbuzi wa kikanda wenye uwezo mkubwa wa kupata maendeleo na ubora wake, na kuwa mhimili na kufanya kazi ya uongozi katika maendeleo ya uchumi na jamii ya kikanda. 
  • Shule ya sekondari ya kimataifa ya Huiwen mjini Beijing
  •  2006/02/01
    katika miaka ya hivi karibuni, kutokana na kuinuka kwa kiwango cha elimu ya juu ya China na athari ya kimataifa ya China, wageni wengi zaidi wanachagua kuendelea na masomo yao nchini China, wakiwemo wanafunzi wengi wa sekondari wa nchi za nje. Ili kurahisisha maisha na masomo ya wanafunzi hao na kuwawezesha wajiunge na vyuo vikuu vya China, idara ya elimu ya China imeanzisha shule za kimataifa kwenye miji mikubwa kadhaa.
  • Lugha kuendelea kuwa kielelezo cha utamaduni wa Mtanzania?
  •  2006/01/25
    Lugha ni njia kuu ya mawasiliano na hubadilika kadiri jamii inavyobadilika.Ni sehemu ya utamnaduni,ni amali ya jamii inayoizungumza na ina alama ya umoja wa kitaifa.
  • Kusamehe karo za wanafunzi wa shule za msingi na sekondari kumewapunguzia mzigo yuan bilioni 15 nchini China
  •  2006/01/18
    Tarehe 27 ofisa wa Wizara ya Fedha ya China alisema, Baraza la Serikali ya China imetangaza kuwa kuanzia mwaka 2006 wanafunzi wa sehemu ya magharibi ya China wanasamehewa karo za shule za msingi na za sekondari, na sera hiyo itaenea hadi sehemu ya katikati na ya mashariki ifikapo mwaka 2007
  • China kuanzisha ushirikiano wa kimataifa kuhusu elimu ya juu
  •  2006/01/11
    Chuo Kikuu cha Beijing ni moja kati ya vyuo vikuu maarufu vya China vinavyojulikana duniani. Katika miaka ya hivi karibuni, chuo kikuu hicho chenye historia ya zaidi ya miaka 100 kiliimarisha maingiliano ya kimataifa kwa kuingiza vitabu vya kiada kutoka nchi za nje na kufanya utafiti kwa kushirikiana na vyuo vikuu vya nchi nyingine duniani.
  • Mkoa wa Guizhou, China waimarisha utoaji wa elimu ya mafunzo ya kikazi vijijini
  •  2006/01/04
    Hivi sasa theluthi moja ya wanafunzi wa shule za sekondari ya chini za mkoa wa Guizhou, kusini magharibi mwa China, hawawezi kujiunga na shule za sekondari ya juu, na baadhi ya wanafunzi wa shule za sekondari ya juu za mkoa huo hawawezi kujiunga na vyuo vikuu kuendelea na masomo yao, wanafunzi hao hawana chaguo lingine isipokuwa kurudi vijijini.
  • Mikopo yawawezesha wanafunzi maskini elfu 80 kusoma katika vyuo vikuu nchini China
  •  2005/12/28
    Mwezi Septemba mwaka huu, kijana Zhang Tianfu wa familia maskini katika wilaya ya makabila ya Watujia na Wamiao mkoani Guizhou alipopata taarifa ya kukubaliwa kujiunga na chuo kikuu iliyoambatanishwa na maelezo kuhusu mikopo ya serikali uso wake ulioonesha kutokuwa na furaha ulionesha ufuraha.
  • Mafunzo ya kazi za kiufundi yanapamba moto nchini China
  •  2005/12/14
    Katika muda mrefu uliopita, wachina wengi walikuwa wanathamini na kupendelea zaidi elimu ya juu bila sababu yoyote ya msingi na kudharau kazi za kiufundi. Lakini katika miaka ya hivi karibuni, hali hiyo imebadilika, na mafunzo ya kazi za kiufundi yameanza kupamba moto nchini China.
    1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13 14 15 16