Wafanyakazi wa Idhaa ya Kiswahili ya CRI
China Radio International
China
Dunia
 
  • China yachukua hatua mbalimbali ili kuongeza kiwango cha elimu ya sayansi kwa umma
  •  2004/09/29
    Katika miaka ya hivi karibuni, China inafanya uchunguzi kuhusu kiwango cha umati wa watu kuhusu elimu ya sayansi kila baada ya miaka miwili nchini kote. Matokeo ya uchunguzi yalionesha kuwa, kiwango cha umma kuhusu elimu ya sayansi nchini China kinaongezeka mwaka hadi mwaka.
  • Kenya yapenda kuimarisha mawasiliano na maingiliano kati yake na nchi nyingine za Afrika katika eneo la vijana
  •  2004/09/22
        Yafuatayo ni mahojiano kati ya mwandishi wetu wa habari na mkurugenzi mkuu wa idara ya vijana ya Kenya Bwana Japhet Kekie Mwania aliyekuja China kushiriki kwenye tamasha la kwanza la vijana kati ya China na Afrika lililofanyika mwezi Agosti mwaka huu.
  • Siku ya kuondoa ujinga duniani
  •  2004/09/15
    Tarehe 8 mwezi Septemba ni siku ya 39 ya kuondoa ujinga duniani. Mwaka 1966, shirika la Elimu, sayansi na utamaduni la Umoja wa Mataifa liliamua kuweka tarehe 8 mwezi Septemba kama siku ya kuondoa ujinga duniani. lengo lake ni kuhamasisha nchi mbalimbali na jumuiya husika duniani kupambana na ujinga, na kutaka kusukuma mbele kazi za kuondoa ujinga kupitia shughuli za siku ya kuondoa ujinga duniani.
  • Wageni wanaojifunza lugha ya Kichina
  •  2004/09/15
        uchumi wa China umekuwa ukiendelea kuongezeka kwa kasi kubwa ambapo mawasiliano kati ya China na nchi za nje yanazidi kuongezeka. Kutokana na hali hiyo, hadhi ya lugha ya kichina pia inainuka siku hadi siku duniani. Ingawa watu wengi wanaona kuwa, lugha ya kichina ni ngumu, lakini sasa idadi ya watu wanaojifunza lugha ya kichina inaongezeka siku hadi siku.     
  • Shule za kiraia zaongezeka haraka mkoani Zhejiang nchini China
  •  2004/09/08
    Baada ya maendeleo ya miaka 20, shule za kiraia zinaongezeka kwa kasi kubwa katika mkoa wa Zhejiang, Mashariki mwa China, na zimekuwa mandhari nzuri ya kuvutia katika eneo la elimu nchini China. Tangu zamani, watu wa mkoa wa Zhejiang wanafanya biashara vizuri, na sasa shule za raia za Zhejiang pia zinastawi nchini China.
  • Tanzania yatilia maanani kuwaendeleza vijana
  •  2004/09/01
    Tamasha la vijana kati ya China na Afrika limefanyika nchini China kuanzia tarehe 23 Agosti hadi tarehe 2 mwezi Septemba. Hii ni mara ya kwanza kwa serikali ya China kuendesha tamasha kubwa la vijana kati ya China na nchi za Afrika, ambapo vijana zaidi ya 200 kutoka nchi 46 wajumbe wa baraza la ushirikiano kati ya China na Afrika wameshiriki kwenye tamasha hilo.     
  • Sera ya elimu ya China yawanufaisha watoto wa familia maskini
  •  2004/08/04
    China inatekeleza sera ya elimu ya lazima ya miaka 9. Kuhakikisha kila mtoto anapata elimu, ni kazi muhimu kwa idara mbalimbali za wizara ya elimu ya China. Leo tunawajulisha jinsi sera ya elimu ya China inavyowanufaisha watoto wa familia maskini nchini China.
  • Mahojiano na wanafunzi wa Kenya mjini Beijing
  •  2004/07/21
    Wanafunzi wawili Sandra Weche kutoka Jamuhuri ya Kenya na Glory Kitundu kutoka Jamuhuri ya muungano wa Tanzania.Sandra Weche ni mwanafunzi wa uhandisi wa viumbe na Glory Kitundu ni mwanafunzi wa uhusiano wa kimataifa (international realation) kwanza kabisa nikianza na wewe Glory.  
  • Wahitimu wa vyuo vikuu vya China wajitafutia ajira mwaka 2004
  •  2004/06/30
    Mwaka huu idadi ya wanafunzi wa vyuo vikuu watakaohitimu itafikia milioni 2.8. kutokana na mpango uliowekwa na wizara ya elimu ya China, hadi mwezi Septemba kipindi kipya kitakapoanza, wanafunzi watakaokuwa wamepata ajira watafikia milioni 1.96.   
  • China yazingatia kulinda haki-miliki ya kielimu
  •  2004/06/09
     Tarehe 26 mwezi Aprili mwaka huu ni "siku ya kulinda haki-miliki ya kielimu duniani" ya mwaka wa nne. "Siku ya kulinda haki-miliki ya kielimu duniani" ilithibitishwa kwa kauli moja kwenye mkutano mkuu wa 35 wa Shirika la Haki-miliki ya Kielimu Duniani kutokana na pendekezo lililotolewa kwa pamoja na China na Algeria.    
    1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13 14 15 16