Wafanyakazi wa Idhaa ya Kiswahili ya CRI
China Radio International
China
Dunia
 
  • Kuzuia chanzo cha mito mitatu kisibadilike kuwa bahari ya uchafuzi mweupe
  •  2007/10/10
    Mkoa wa Qinghai ulioko magharibi mwa China unajulikana kama ni "Mnara wa maji wa Asia" duniani. Hali ya mazingira ya kimaumbile ya Ziwa Qinghai na kwenye eneo la chanzo cha pamoja cha mito mitatu ya Changjiang, Huanghe na Lancangjiang linaloitwa "Sanjiangyuan" mkoani humo, inaathiri moja kwa moja maisha ya nusu ya watu kote duniani.
  • Chuo kikuu cha Tongji cha Shanghai chajenga chuo kikuu kinachobana matumizi ya nishati
  •  2007/10/03
    Hivi sasa China inajitahidi kuchukua hatua mbalimbali za kupunguza uchafuzi na kubana matumizi ya nishati ili kuhakikisha kuwa, ifikapo mwaka 2010 nchi nzima inatimiza lengo la kupunguza asilimia 20 ya nishati katika uzalishaj mali wenye thamani ya yuan elfu 10 kuliko ile ya mwaka 2005.
  • China yafufua sera ya kutoa bure elimu ya mafunzo ya ualimu
  •  2007/09/26
    Kuanzia muhula huu wa masomo mwezi Septemba mwaka huu, vyuo vikuu 6 vya ualimu vinavyoongozwa moja kwa moja na wizara ya elimu ya China, kikiwemo chuo kikuu cha ualimu cha Beijing, vitafufua sera ya kutoa bure elimu ya mafunzo ya ualimu. Kwa mujibu wa sera hiyo, wanafunzi wa ualimu wa vyuo vikuu hivyo wanafutiwa ada zote za masomo na pia watapewa ruzuku za maisha.
  • China yaanza kutekeleza utaratibu mpya wa kutoa misaada kwa wanafunzi wenye matatizo ya kiuchumi
  •  2007/09/12
    Vyuo vikuu mbalimbali nchini China vimeanza muhula mpya wa masomo mwezi Septemba, ambapo wanafunzi milioni 5.6 wapya watajiunga na vyuo vikuuu. Miongoni mwao, wanafunzi milioni 1 hivi wanatoka familia zenye matatizo ya kiuchumi.
  • 'Daraja la lugha ya Kichina' linaloonesha upendo wa wageni wanaojifunza Kichina kwa utamaduni wa China
  •  2007/08/29
    Wasikilizaji, je mnachosikiliza sasa hivi ni kipindi cha burudani ambacho wachina wanashiriki? Basi mmekosea. Watu hao si wachina bali ni wagombea walioingia fainali kwenye mashindano ya sita ya lugha ya Kichina duniani.
  • China yaimarisha hatua kwa hatua shughuli za kutoa mafunzo kwa mbwa wanaoongoza watu wasioona
  •  2007/08/22
    Katika miaka miwili iliyopita, shughuli za kutoa mafunzo kwa mbwa wanaoongoza watu wasioona zimekuwa zinaendelea hatua kwa hatua nchini China, na zimerahisisha sana maisha ya watu hao. China ni nchi yenye idadi kubwa kabisa ya watu duniani, pia ni nchi yenye idadi kubwa ya watu wasioona duniani, ikiwa imefikia zaidi ya milioni 12.
  • Mkoa unaojiendesha wa Mongolia ya ndani wa China wafuata njia ya kubana amatumizi ya nishati na kuhifadhi mazingira
  •  2007/08/15
    Maji taka yanayotolewa mijini yanaweza kutumiwa katika kuzalisha umeme baada ya kushughulikiwa, majivu yanaweza kutumiwa katika kutengeneza zege, utararibu kama huo wa kubana matumizi ya nishati na raslimali unatekelezwa katika shughuli mbalimbali katika mkoa unaojiendesha wa Mongolia ya ndani, China.
  • Shughuli za software ya China zafuata njia ya uvumbuzi wa kujitegemea
  •  2007/08/08
    Kutokana na maendeleo ya kasi ya sayansi na teknolojia, teknolojia na shughuli za software zikiwa ni sehemu muhimu katika shughuli za upashanaji wa habari, zimekuwa eneo muhimu linalohusiana na maendeleo ya uchumi na jamii ya China. China ikiwa ni nchi inayoendelea, imethibitisha njia ya kuendeleza shughuli hizo kwa uvumbuzi wa kujitegemea.
  • Teknolojia ya utabiri wa tetemeko la ardhi ya China
  •  2007/08/01
    Katika maafa mbalimbali ya kimaumbile, tetemeko la ardhi linachukua nafasi ya kwanza kwa kusababisha uharibifu mkubwa. Nchi nyingi zimeweka mkazo katika utafiti wa teknolojia ya utabiri wa tetemeko la ardhi, China ni moja ya nchi hizo.
  • Kazi ya kushughulikia simu za mikononi zilizotumika nchini China
  •  2007/07/18
    Kutokana na maendeleo ya kasi ya uchumi wa China, bidhaa mbalimbali za elektroniki zimekuwa zinatumiwa sana na watu, na uchafuzi unaosababishwa na takataka za elektroniki sasa umeanza kufuatiliwa.
    1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13 14 15 16