Wafanyakazi wa Idhaa ya Kiswahili ya CRI
China Radio International
China
Dunia
 
  • Sayansi na teknolojia zitatoa mchango muhimu katika shughuli za utoaji habari kwenye michezo ya Olimpiki ya Beijing
  •  2007/07/04
    Mwaka 2008 unakaribia siku hadi siku, shughuli za maandalizi ya michezo ya Olimpiki ya Beijing zimeendelea hatua kwa hatua. Ili kuandaa vizuri michezo hiyo, kamati ya maandamizi ya michezo ya Olimpiki ya Beijing ilitoa kauli mbiu ya "Olimpiki ya kisayansi na kiteknolojia".
  • Sayansi na teknolojia mpya zakaribia maisha ya watu
  •  2007/06/27
    Roboti inayoweza kupika chakula, msala unaojisafisha kwa kutumia lita moja ya maji, ubao wa kuandikia wa kitarakimu ambao unaweza kuonesha maandishi na michoro moja kwa moja kwenye kompyuta, teknolojia hizo zote zimeoneshwa kwenye maonesho ya bidhaa za teknolojia ya Beijing, China.
  • Mtandao wa Internet wa njia pana zinastawi nchini China
  •  2007/06/20
    Kutokana na maendeleo ya kasi ya teknolojia ya mtandao wa Internet na mahitaji ya watu kufanya kazi nyingi zaidi kwenye mtandao, mtandao wa Internet wa njia pana ambao unaweza kukidhi vizuri zaidi mahitaji hayo umechukua nafasi ya mtandao wa zamani, na teknolojia hiyo imekuwa inafuatiliwa zaidi katika sekta ya upashanaji wa habari.
  • China yaanzisha mpango wa taifa wa uungaji mkono wa sayansi na teknolojia
  •  2007/06/13
    Hivi karibuni, China ilianzisha mpango mpya wa taifa wa sayansi na teknolojia ili kuinua kikamilifu uungaji mkono wa sayansi na teknolojia kwa maendeleo ya uchumi na jamii ya China.
  • Kuimarisha ushirikiano wa elimu na kufaidika kwa pamoja na busara za ndugu wa China bara na Taiwan za mlango bahari wa Taiwan
  •  2007/05/30
    Sekta ya elimu ni moja ya sekta ambazo shughuli nyingi zaidi zimefanyika katika ushirikiano na mawasiliano kati ya China bara na Taiwan za mlango bahari wa Taiwan, na shughuli za kutembeleana kwa wasomi na kubadilishana kwa wanafunzi kutoka China bara na Taiwan zimeongezeka siku hadi siku.
  • Mji wa Baoding wajitahidi kujenga mji unaotumia nishati ya mionzi ya jua
  •  2007/05/23
    Hivi sasa, China inajitahidi kuendeleza nishati mpya zikiwemo nishati ya upepo, jua na joto la ardhi, ili kubadilisha hali ya kutegemea nishati za kawaida kama vile makaa ya mawe, mafuta na gesi za kimaumbile. Mji wa Baoding ulioko kaskazini mwa mkoa wa Hebei, nchini China, ni mfano mmoja wa juhudi hizo, kwani unajenga mji unaotumia nishati ya mionzi ya jua.
  • Chuo kikuu cha Nankai chafungua mlango kwa wataalamu wa nje
  •  2007/05/16
    Chuo kikuu cha Nankai ambacho ni chuo kikuu maarufu nchini China hivi karibuni kilifanya sherehe ya kuajiri wataalamu na kuwakabidhi mwaliko wa ajira. Wataalamu hao waliochaguliwa kutoka kote duniani watashika nyadhifa za wakurugenzi wa vitivo vya udaktari, sayansi ya uhai na fizikia.
  • Usalama kwenye mtandao wa Internet kuwa suala linalofuatiliwa nchini China
  •  2007/05/09
    Mtandao wa Internet unaleta mabadiliko katika maisha ya kila mtu. Nchini China, asilimia 10 ya idadi ya jumla ya watu, yaani watu milioni 130 wanatumia mtandao wa Internet. Teknolojia hiyo inapoleta urahisi kwa kazi na maisha ya watu, pia imeleta usumbufu kadha wa kadha.
  • CPU za Loongson zilizotengenezewa na China zaingia kwenye soko la kimataifa
  •  2007/05/02
    Kutokana na maendeleo ya teknolojia ya upashanaji wa habari, bidhaa mbalimbali za upashanaji wa habari kama vile kompyuta na simu za mkononi zinatumiwa na watu wengi, na zimekuwa vyombo muhimu kwa kazi na maisha ya watu.
  • Wataalamu wa usingaji wenye ulemavu wa macho wafundisha wanafunzi
  •  2007/03/21
    Hivi karibuni sherehe moja ya kumkaribisha mwalimu ilifanyika kwenye hospitali ya usingaji ya Beijing ambayo ni hospitali kubwa kabisa ya usingaji wa matibabu ya kichina nchini China. Madaktari vijana 10 walitoa heshima kwa madaktari wazee watano, na kukabidhiwa nyaraka na vitabu vilivyorekodi maarifa na utaalamu wao wa miaka mingi.
    1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13 14 15 16