• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya

 • Rais wa China asisitiza hakuna nguvu yoyote duniani inayoweza kuzuia watu wa China kutimiza ndoto yao
  More>>
  Habari
  • Jumuiya ya kimataifa yasifu hotuba muhimu aliyotoa rais Xi Jinping wa China katika Mkutano wa kwanza wa Bunge la 13 la Umma la China 2018-03-21
  • Waziri mkuu wa China asema China daima haitafanya upanuzi 2018-03-20
  • Rais wa China asisitiza hakuna nguvu yoyote duniani inayoweza kuzuia watu wa China kutimiza ndoto yao 2018-03-20
  • Marais wa China na Russia wapongezana kwa ushindi wa uchaguzi mkuu 2018-03-20
  • Mkutano wa kwanza wa Bunge la 13 la Umma la China wafungwa leo 2018-03-20
  More>>
  Maelezo
  • China yaimarisha hatua za kuzuia kuingia kwa virusi vya Corona kutoka nje kwa raia wote bila tofauti

  China yaimarisha hatua za kuzuia kuingia kwa virusi vya Corona kutoka nje kwa raia wote bila tofauti. Taratibu zinazochukuliwa na China za kupambana na virusi vya Corona zina lengo moja tu, yaani kulinda usalama wa watu wote

  • Mkutano wa Baraza la mashauriano ya kisiasa wafungwa

  Mkutano wa kwanza wa awamu ya 13 ya Baraza la mashauriano ya kisiasa la China CPPCC unafungwa mjini Beijing. Viongozi wa China akiwemo rais Xi Jinping wa China wanahudhuria sherehe ya kufungwa kwa baraza hilo.

  • China yapendekezwa kuhimiza ushirikiano wa kupambana na umaskini kati ya nchi za "Ukanda Mmoja na Njia Moja"

  Mjumbe wa Bunge la Umma la China Zhao Wanping amesema kuondoa umaskini ni changamoto inayoikabili dunia nzima, na nyingi zilizo katika "Ukanda Mmoja na Njia Moja" ni nchi na sehemu zinazoendelea, ambazo zinakabiliwa na tatizo la umaskini, kwa hivyo kuna kazi nyingi za kufanywa katika ushirikiano wa kupambana na umaskini chini ya mpango huo, ambao utainua uwezo wa nchi hizo kupunguza umaskini na kupata maendeleo kwa pamoja.

  • Viongozi wa China wasisitiza kuendeleza vijiji na maendeleo ya ngazi ya juu
  Rais Xi Jinping wa China jana alishiriki kwenye majadiliano na wajumbe kutoka mkoa wa Shandong kwenye mkutano wa kwanza wa Bunge la 13 la Umma la China unaoendelea hapa Beijing. Amesema mkakati wa kuendeleza vijiji ni ajenda kuu ya kazi za serikali katika sekta ya kilimo, maeneo ya vijijini na wakulima, na serikali za mitaa zinatakiwa kutambua vya kutosha umuhimu na ulazima wake na kuutekeleza kwa makini.
  • Ije jua ama mvua, China-Afrika ipo sana

  China imetangaza rasmi. Imesisitiza. Imeeleza tena. Mahusiano yake na nchi za Afrika, bado yapo sana. Ije mvua, ije jua. Yaje mabadiliko ya aina gani, hakuna kitakachobadili. Ahadi zake kwa Afrika ziko palepale.

  • China yasema itaendelea kuisaidia Afrika kwa nyakati zote, itahimiza amani na mapatano baina ya pande mbalimbali za Afrika

  Waziri wa Mambo ya Nje wa China Bwana Wang Yi amesema Serikali yake itaendelea kuimarisha ushirikiano wake na mataifa ya Afrika wa wakati wote bila kujali mabadiliko yoyote na nyakati, ili kufanikisha suala la maendeleo ya kiuchumi kwa pamoja na kuboresha maisha ya watu.

  • Sera ya kidiplomasia ya nchi kubwa yahimiza maendeleo ya urafiki kati ya China na nchi nyingine

  Waziri wa mambo ya nje wa China Bw. Wang Yi, amekutana na waandishi wa habari mjini Beijing kuelezea utekelezaji wa sera ya mambo ya nje ya China katika mwaka uliopita, na mipango ya mwaka huu ya utekelezaji wa sera hiyo.

  • Bunge la China lakutana kujadili utendaji wa serikali, mageuzi ya katiba
  Mikutano miwili mikubwa ya mwaka, yaani Baraza la mashauriano ya Kisiasa, na bunge la umma la China, inafanyika. Hii ni mikutano ya uwakilishi wa wananchi, ambayo wajumbe wake wanawakilisha maoni ya wananchi kwa chama na serikali.
  • Ripoti ya serikali China, muelekeo imara wa kujiimarisha

  NCHI ya China inayoongozwa na chama cha kikomunisti cha CPC kinachoongozwa na Rais wake Xi Jinping inaelezwa kuwa taifa la pili duniani kwa kuwa na uchumi mkubwa, wiki hii imekuwa na mkutano wa kwanza wa bunge la 13 la umma la China.

  • China inavyotekeleza Diplomasia ya Uchumi kwa vitendo

  Bunge la Umma la China linaendelea na vikao vyake. Pamoja na mambo mengine yanayojadiliwa, suala la mahusiano yake na mataifa mengine duniani linapewa msisitizo na uzito unaosatahili. Hivi karibuni, Baraza la Mashauriano la Kisiasa la China, ikitoa ripoti ya kazi kwa kipindi kilichopita, limeweka bayana kuwa limefanyia tathmini mfumo wa mahusiano yake na mataifa mengine na kuangalia namna ya kuboresha mahusiano hayo ili yawe bora zaidi.

  More>>
  Picha

  Rais wa China asisitiza hakuna nguvu yoyote duniani inayoweza kuzuia watu wa China kutimiza ndoto yao

  Mkutano wa kwanza wa Bunge la 13 la Umma la China wafungwa leo

  Mkutano wa kwanza wa awamu ya 13 ya Baraza la mashauriano ya kisiasa wafungwa

  Rais Xi Jinping akikutana na wawakilishi kutoka mkoa wa Shandong
  More>>
  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako