• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya

 • Mikoa iliyoko kando ya njia ya hariri ya baharini yatarajia kupata mafanikio mapya
  Habari
  • Waziri mkuu wa China awasili Kyrgyzstan kwa ziara 2016-11-02
  • China yahimiza ushirikiano wa sayansi na teknolojia kwenye Ukanda mmoja na Njia moja 2016-10-04
  • Rais wa China apongeza tamasha la kwanza la kimataifa la utamaduni la Njia ya Hariri 2016-09-20
  • Makampuni ya Tanzania yapenda kushiriki kwenye maonyesho ya biashara ya kimataifa nchini China 2016-07-25
  • Wizara ya biashara ya China yasema biashara ya nje inaendelea kwa utulivu 2016-04-07
  More>>
  Picha

  Mji wa Dongguan wakaribisha nchi inakopitia njia ya hariri ya baharini kufanya biashara

  Mikoa iliyoko kando ya njia ya hariri ya baharini yatarajia kupata mafanikio mapya
  More>>
  Maelezo
  • Mji wa Dongguan wakaribisha nchi inakopitia njia ya hariri ya baharini kufanya biashara
  Mamlaka ya manispaa ya mji wa Dongguan nchini China imekaribisha nchi inakopitia njia ya hariri ya baharini kujinufaisha na nafasi za kibiashara mjiji humo. Mji huu wa Dongguan uko kusini mwa China Katika mkoa wa Guangdong na una wakaazi millioni kumi hivi. Pato lake la jumla ni zaidi ya Dola bilioni 95.
  • Njia ya hariri ya baharini yainua ushirikiano kati ya China na nchi zilizoko kando ya njia hiyo

  Maonesho ya kimataifa ya njia ya hariri ya baharini ya karne 21 yaliyomalizika tarehe 2 huko Dongguan mkoani Guangzhou hapa China, yalitoa ishara wazi kuwa China itatafuta fursa mpya ya ushirikiano na nchi zilizo kando ya njia ya hariri ya baharini ya karne 21 kupitia ujenzi wa njia hiyo.

  • Mikoa iliyoko kando ya njia ya hariri ya baharini yatarajia kupata mafanikio mapya
  Mji wa Quanzhou mkoani Fujian China ukiwa ni mwanzo wa njia ya hariri ya baharini, si kama tu una barabara za zamani zilizojengwa kwa mawe na mnara mrefu wa Liusheng, bali pia una bandari ya kisasa inayostawi sana.
  More>>
  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  Maoni yako