Wafanyakazi wa Idhaa ya Kiswahili ya CRI
China Radio International
China
Dunia
 
  • Mito na Milima nchini China
  •  2005/09/29
    Nchini China kuna mito mingi, miongoni mwao mito zaidi ya 1500 ambayo kila mto ni wenye eneo la kilomita za mraba 1000. Mito hiyo inagawanyika katika mito ambayo maji yake yanatiririka na kuingia baharini na mito isiyoingia baharini.
  • Mamlaka ya Bahari na Visiwa
  •  2005/09/08
    Mwambao wa nchi kavu ya China unaanzia mlango wa Mto Yalu wa Mkoa wa Liaoning wa kaskazini hadi Mlango wa Mto Beilun wa Mkoa wa Guangxi wa kusini, urefu wake ni kilomita 1,800. Hali ya kijiografia ya pwani za bahari ni tambarare
  • China yachukua hatua kuhifadhi maliasili ya misitu
  •  2005/08/19
    Serikali ya China imeongeza zaidi mkakati na sera kuhusu hifadhi ya mazingira, ili kuhakikisha binadamu na mazingira vinaishi kwa kupatana wakati China inapotimiza maendeleo mazuri ya kasi ya uchumi na jamii.
  • Mfereji Ling wenye historia ndefu
  •  2005/07/28
    Mfereji Ling wenye urefu wa kilomita 34 uko katika wilaya ya Xing'an ambayo iko umbali wa kilomita 66 kusini mashariki ya mji wa Guilin. Mfereji huo ulijengwa katika Enzi ya Qin (221k.k.-206k.k.) wakati Mfalme Qinshihuang aliposhika madaraka
  • Maelezo mafupi kuhusu Tibet
  •  2005/07/07
    Mkoa unaojiendesha wa Tibet ni sehemu ambayo wako watu wa kabila la Tibet. Mkoa huo uko sehemu ya kusini magharibi mwa uwanda wa juu wa Qinghai-Tibet.
  • Sehemu muhimu za ardhi oevu nchini China
  •  2005/06/16
        Hifadhi ya kimaumbile ya Zhalong yenye eneo la hekta laki 2.1 iko katika mji wa Qiqihar mkoani Heilongjiang. Katika hifadhi hiyo kuna aina tatu za ardhi oevu, yaani maziwa, vinamasi na malisho, na kuna aina 468 za mimea, aina 46 za samaki, aina 260 za ndege. Korongo ni ndege muhimu wanaohifadhiwa huko.
  • Maliasili za kimaumbile nchini China
  •  2005/05/26
    China ni nchi yenye maliasili nyingi na inazalisha bidhaa nyingi za maliasili duniani. Katika muda mrefu China inatimiza lengo lake la kuendeleza uchumi kwa kutegemea maliasili zake.
  • Mbuga za majani nchini China
  •  2005/04/28
    Nchini China kuna hekta milioni 320 za mbuga za majani. Eneo hilo ni mara tatu ya eneo la mashamba, na linachukua nafasi ya kwanza katika maliasi ya ardhi nchini China.
  • Mto Zhujiang
  •  2005/04/07
    Mto Zhujiang ulioko kusini mwa China ni mmoja kati ya mito saba mikubwa nchini China.
    Maliasili ya maji katika mto huo ni nyingi ambayo ni ya pili baada ya Mto Changjiang nchini China na ni mara 6 kuliko maliasili ya maji katika Mto Manjano.
  • Hifadhi ya kimaumbile ya Xishuangbanna nchini China
  •  2005/03/17
    Jina la Xishuangbanna lilianza kutumika kuanzia mwaka 1570 katika Enzi ya Ming. Wakati huo serikali ya huko ililigawanya eneo hilo katika sehemu 12 ambazo kila sehemu iliitwa qiantian (eneo la utawala).
  • Ziwa Taihu
  •  2005/02/24
    Katika enzi za kale Ziwa Taihu liliitwa Zhenze, pia liliitwa Wuhu. Ziwa hilo ni ziwa kubwa la tatu lenye maji baridi nchini China, na eneo lake ni zaidi ya kilomita za maraba 2000. Kuna visiwa 48 na milima 72 katika eneo la ziwa hilo.
  • Wanyama na mimea nchini China
  •  2004/12/30
    Ili kulinda maliasili ya wanyama na mimea adimu, China imeanzisha hifadhi 1146 za misitu na wanyama pori zenye eneo la hekta milioni 88.13.
  • Mfereji wa Jinghang
  •  2004/12/09
    Mfereji wa Jinghang unaojulikana duniani ni mfereji mrefu kabisa uliochimbwa zamani kabisa duniani
  • Mto Manjano
  •  2004/12/02
    Mto Manjano ni mto wa pili kwa urefu nchini China. Chanzo chake kiko kwenye bonde la Yueguzonglie lililoko kaskazini ya mlima Bayankela kwenye uwanda wa juu wa Qinghai.
  • Mto Changjiang
  •  2004/11/25
    Chanzo cha Mto Changjiang kiko kusini magharibi ya kilele cha Geladandong cha safu ya mlima wa Tanggula katika uwanda wa juu wa Qinghai na Tibet
  • "Njia ya hariri ya zamani" na mpya
  •  2004/05/07
        "Njia ya Hariri" ya zamani ya kibiashara iliyopitia Asia na kuungana na Ulaya imekuwa na historia ya miaka zaidi ya elfu mbili. Ili kuridhisha mahitaji ya kibiashara kati ya Ulaya na Asia, Umoja wa Barabara wa Kimataifa ulitoa ushauri wa "kufufua njia ya hariri". "Njia mpya ya hariri" inaanzia mji wa Lianyugang wa China uliopo kwenye ukingo wa magharibi wa Pasifiki ikifuata "njia ya hariri ya zamani" kupitia nchi za Asia na Ulaya mpaka Bahari ya Atlantiki, ikawa kama daraja la kuunganisha bara la Asia na Ulaya na kutoa mchango mkubwa kwa ajili ya ustawi wa biashara katika mabara hayo mawili.