Tamasha hili la filamu la kimataifa la Beijing ni la awamu ya tano. Katika miaka mitano iliyopita toka lianzishwe, tamasha hilo limepevuka na kuimarisha nafasi yake kama soko la kwanza la filamu barani Asia, na limekuwa jukwaa muhimu la mawasiliano kati ya wadau wa setka za filamu za China na za nchi za nje. |
Jumamosi iliyopita ilikuwa ni siku ya kimataifa ya mabaki ya kale, na mwaka huu iumetimia miaka 30 tangu China ikujiungea na makubaliano ya uritdhi wa dunia, kwa hiyo katika kipindi hiki, tutazungumzia kuhusu kazi ya kuhifadhi urithi wa dunia hapa China na vilevile barani Afrika, haswa nchini Kenya. |
Baada ya majira ya baridi kumalizika, China kwa sasa imeingia katika majira ya mchipuko, ambayo ni mazuri kwa watu kutoka nje na kuwa katika mazingira ya kijani huku wakijiburudisha na tiara. Katika kipindi cha leo, tutazungumzia Tiara na historia yake. |
Katika kipindi cha leo, tutazungumzia ngoma za kiafrika nchini China. kama tunavyojua, katika lugha yetu ya Kiswahili ngoma ina maana mbili, moja ni ala ya kupiga, nyingine ni maonesho ya usanii, na zote hizo mbili zimependwa sana na watu wa China na kuvutia mashabiki wengi. |
Kwa muda mrefu watazamaji wa vibonzo ama katuni Afrika mashariki wamezoea kuona katuni za kiingeeza, lakini siku hizi vibonzo vya Kiswahili vimeanza kupenya kwenye runinga. Hivi karibuni kampuni ya kutoa huduma za televisheni ya Startimes iliweka sauti ya Kiswahili katuni moja kwa ajili ya channeli yake ya Kiswahili na inalenga watazamaji wa Afrika mashariki. Katuni hiyo inayoitwa Poppycat ina zaidi ya wahusika 7 na inahusu hali ya kawaida ya michezo ya watoto kucheza jamii. |
Kila mwaka serikali ya China inatoa msaada wa masomo kwa mamia ya wanafunzi wa Afrika kuja kusomea China. Hii inamaanisha wengi wao watakaa mbali na nyumbani ama familia kwa muda mrefu. Lakini ili kujiweka katika hali ya jamii baadhi yao wanaunda vikundi na kuandaa mikutano mara kwa mara na kubadilishana mawazo kuhusu masomo na hali ya maisha. |
Kazi ya DJ mara nyingi inachukuliwa kuwa ya wanaume. Lakini aghalabu kwenye karne hii ya 21 wanawake wameanza kuonyesha ubabe wao kwenye kazi hiyo ya burudani. |
Kila mwaka wanafunzi wengi wa Afrika wanapata msaada wa masomo kujiunga na vyuo mbali mbali nchini China. Lakini katika kipindi cha miezi michache ya kwanza wanakabiliwa na changamoto ya kujumuika kwenye utamaduni na desturi za watu wa China. |
Huku ushirikiano wa kibiashara kati ya Afrika na China ukiendelea kuongezeka, maingiliano na mawasiliano ya utamaduni kati ya watu wa pande zote mbili pia unakua siku hadi siku. Ndoa ni aina mojawapo ya mifano ya kuonyesha jinsi wachina na waafrika wanatangamana. |
Nchini Tanzania kuna zaidi ya vikundi 40 vya ustadi wa Kungfu. Lakini sio wote ambao wanafahamu vyema historia ya sanaa hiyo ya China kwani hawajahi kwenda nchini China. |
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |