• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mwimbaji mashuhuri wa opera wa China Bi. Zhang Liping
  •  2009-06-08

    Opera ya "Tosca" ni tungo muhimu ya mwanaopera mkubwa Puccini, ambayo inaeleza hadithi inayohusu mapenzi, siasa, chuki na hila. Opera hiyo inavutia kiasi kwamba imeoneshwa katika muda wa zaidi ya miaka mia moja, na bado watazamaji hawapungui.
  • Sikukuu ya Duanwu ya jadi ya Wachina
  •  2009-06-01

    Tarehe 28 Mei ambayo kwa kalenda ya kilimo ya China ni tarehe 5 ya mwezi wa 5 ni sikukuu ya Duanwu, hii ilikuwa siku ya Wachina ya kumkumbuka Qu Yuan ambaye ni mshairi mzalendo wa China katika zama za kale.
  • Mchoraji mkubwa wa China Bw. Wu Guanzhong
  •  2009-05-20

    Hivi karibuni majumba matatu ya sanaa ya uchoraji ya Beijing, Shanghai na Singapore kwa ushirikiano yalifanya maonesho ya picha zilizochorwa na mchoraji mkubwa wa China Bw. Wu Guanzhong, picha hizo ni zawadi aliyoitoa kwa ajili ya majumba hayo. Mzee Wu Guanzhong amekuwa na umri wa miaka 90, ni mchoraji aliyechangia sana maendeleo ya uchoraji wa picha nchini China.

  • Mshairi mzalendo Bw. Lu You na ndoa yake ya kusikitisha
  •  2009-05-14

    Bw. Lu You ni mshairi wa kabla ya miaka zaidi ya 800 iliyopita katika Enzi ya Song Kusini nchini China, na ni mshairi ambaye mashairi yake yanapatikana kwa wingi zaidi hivi leo kati ya washiri wote wa kale, Bw. Lu You aliwahi kujisifu kwa kusema ameandika "mashairi elfu kumi katika miaka 60", mashairi yanayopatikana hivi leo yanafikia zaidi ya 9,300. Mashairi yake yanatia moyo wa kizalendo, lakini ndoa yake inasikitisha.

  • "Shakespeare wa nchi za mashariki" Guan Hanqing
  •  2009-05-01

    Mwandishi mkubwa wa michezo ya kuigiza katika zama za kale nchini China Bw. Guan Hanqing anasifiwa kama ni "Shakespeare wa nchi za mashariki".Zama alipoishi Bw. Guan Hanqing zilikuwa mbele kwa miaka 300 kuliko miaka ya Shakespeare,Guan Hanqing ni mwanzilishi wa aina moja ya mchezo wa kuigiza iitwayo Yuanqu ambayo ilistawi sana katika Enzi ya Yuan miaka zaidi ya 700 iliyopita nchini China
  • Mwimbaji wa opera wa China Dai Yuqiang
  •  2009-05-01

    Hivi karibuni "tamasha la kimataifa la opera" limefanyika Beijing China. Mwimbaji Dai Yuqiang licha ya kuwa mwimbaji mkuu katika Opera za Turandot na Tosca bali pia ni balozi wa matangazo ya tamasha hilo.
  • Mkusanyaji wa vitu vya sanaa vya Afrika Bw. Guo Dong
  •  2009-04-20

    Hapa Beijing siku hizi kituo cha sanaa kiitwacho Qiao kinafanya maonesho ya sanaa ya Afrika, vitu vinavyooneshwa katika maonesho hayo karibu vyote vinatolewa na Bw. Guo Dong aliyewahi kuishi nchini Uganda kwa miaka 18.
  • Utamaduni wa chai nchini China
  •  2009-04-20

    Chai ni kitu kisichoweza kukosekana katika maisha ya Wachina, utamaduni wa chai umekuwa na historia ndefu nchini China.
  • Qingming, siku ya jadi kwa Wachina kukaribisha majira ya mchipuko na kuwakumbuka marehemu
  •  2009-04-08

    Siku ya Qingming ni siku ya jadi kwa Wachina kukaribisha majira ya mchipuko na kuwafanyia tambiko marehemu, siku hiyo huwa kati ya tarehe 4,5, na 6 Aprili, mwaka huu siku hiyo ni tarehe 4. Kwa sababu siku hiyo iko katika kipindi cha majani kuchipuka na maua kuchanua, na watu hufanya mandari.
  • "Waandishi chipukizi" mkoani Shaanxi China
  •  2009-04-08

    Mkoa wa Shaanxi ni sehemu yenye rutuba nyingi za utamaduni magharibi mwa China. Tokea katikati ya karne iliyopita waandishi wa vitabu waliozaliwa na kukulia katika sehemu hiyo wanakua kwa nguvu kutokana na mazingira ya utamaduni wa huko na wameandika riwaya nyingi zinazoeleza mabadiliko ya historia huko waliko. Waandishi hao wa vitabu ni hodari ambao kwa kalamu na jasho lao wameandika vitabu vingi vizito ambavyo vinastahili kukumbukwa katika historia. Katika miongo kadhaa iliyopita, waandishi hao ambao pia wanaitwa "waandishi chipukizi" wamekuwa nguvu muhimu katika nyanja ya uandishi wa vitabu.
    prev 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10
    SearchYYMMDD  
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako