• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Maelewano ni muhimu katika juhudi za kueneza lugha na utamaduni wa China kwa nje
  •  2016-03-03

    Semina ya kwanza ya walimu wanaofundisha lugha ya kichina nchini Ubelgiji ambayo iliandaliwa na chuo cha Confucious cha Liège, ilifanyika Jumamosi iliyopita, ambapo wataalamu wa mafunzo ya lugha ya kichina kutoka Ufaransa, Hispania, Japan, China na Ubelgiji, pamoja na walimu wapatao 60 wa lugha ya kichina kutoka shule na vyuo mbalimbali nchini Ubelgiji, walijadiliana kwa kina namna ya kueneza utamaduni wa China kwa ufanisi, ili kuwafahamisha wageni kwa urahisi na kwa kina kuhusu utamaduni huo.
  • Tamasha la ngonjera za jadi za kichina la Majie lenye historia ya miaka 700
  •  2016-02-26

    Ijumaa iliyopita wakati sherehe za mwaka mpya zilipokaribia kumalizika kwenye sehemu nyingi nchini China, tamasha kubwa la ngonjera za jadi za kichina la kusherehekea mwaka mpya lilizinduliwa kwenye wilaya ya Baofeng mkoani Henan, katikati ya China.
  • Maandamano makubwa ya kusherehekea Sikuku ya Mwaka mpya wa jadi wa kichina yaliyofanyika huko Brussles, Ubelgiji
  •  2016-02-18

    Maandamano ya kwanza ya kusherehekea Sikukuu ya mwaka mpya wa jadi wa kichina yaliyoandaliwa kwa pamoja na Ubalozi wa China nchini Ubelgiji na serikali ya mji wa Brussles, yalifanyika hivi karibuni mjini Brussles. Kampuni za China na wanafunzi wanaosoma nchini humo, pamoja na wachina wanaoishi nchini Ubelgiji walishiriki kwenye maandamano hayo. Shughuli hizo zimeleta furaha ya mwaka mpya wa jadi wa kichina mjini humo.
  • Mweledi wa tiba ya akupancha ya kichina anayetoka Iran
  •  2016-02-04

    China na Iran zote ni nchi zenye historia ndefu, na urafiki kati ya nchi hizo mbili umedumu tangu zamani. Kutokana na kuongezeka kwa mawasiliano kati ya nchi hizo, watu wengi zaidi wa Iran wamekuja China, wakienea miji mbalimbali na kwenye sekta mbalimbali. Tiba ya akupancha ambayo ni moja ya matibabu ya jadi ya kichina, pia iwamevutia madaktari wa Iran.
  • Kijana wa Iran aliyeanzisha familia yake mjini Beijing
  •  2016-02-02

    China na Iran ni nchi zenye ustaarabu wa siku nyingi, na zimejenga urafiki mkubwa kupitia mawasiliano kwenye njia ya hariri ya kale. Kutokana na kuimarishwa kwa maingiliano kati ya nchi hizo mbili, katika miaka ya hivi karibuni, watu wengi zaidi kutoka Iran wamekuja China kufanya kazi au kuendelea na masomo, na kijana Abuo Bakr Ravand ni mmoja kati yao. Wakati akiwa masomoni hapa Beijing, Bw. Ravand si kama tu amependa maisha ya Beijing, na pia amepata mpenzi wake na kuanzisha familia yake hapa nchini China.
  • Wilaya ya Jixi, chimbuko la utamaduni wa mkoa wa Anhui
  •  2016-01-25

    Wilaya ya Jixi iko kusini mwa mkoa wa Anhui, umbali wa saa moja kwa gari kutoka mlima Huangshan. Wilaya hiyo ni moja ya wilaya sita za kale za Anhui, na moja ya vyanzo vya utamaduni wa Anhui, na inasifiwa kuwa ni "chimbuko la chakula cha kianhui, na chimbuko la wino wa kianhui".
  • Xidi na Hongcun, "vijii vya kale vilivyo kwenye michoro"
  •  2016-01-18

    Katika kipindi cha leo, tutatembelea kwa pamoja vijiji vya kale Xidi na Hongcun, vilivyoko wilaya ya Yi, mashariki mwa mkoa wa Anhui, ambavyo vinasifiwa kuwa ni "vijiji vilivyoko kwenye michoro".
  • Kijana wa Misri anayetimiza ndoto yake mkoani Ningxia, China
  •  2016-01-13

    Bw. Ahmed Saeed kutoka Misri mwanzoni alikuja China kutokana na makubaliano ya kazi ya miezi mitatu tu, lakini miaka mitano imepita, na bado hana mpango wa kurudi Misri. Labda hata yeye mwenyewe hakufikiria kwamba mkoa wa Ningxia si kama tu umekuwa maskani yake ya pili, bali pia umekuwa mahali ambapo amejitahidi kutimiza ndoto yake.
  • Sherehekea mwaka mpya pamoja na vijana wanaojitolea kufundisha Kichina nchini Romania
  •  2016-01-07

    Chuo cha Confucious katika chuo kikuu cha Bucharest nchini Romania kilianzishwa mwaka 2013, na watu wanaojitolea kufundisha kichina kwenye chuo kicho wote ni wanafunzi wa vyuo vikuu au watihimu wapya. Ingawa wana sababu mbalimbali za kujitolea kufanya kazi hiyo, lakini lengo lao ni moja, kuwafahamisha watu wa Romania kuhusu China na utamaduni wake.
  • Filamu mpya ya Kongfu "Master" yaonesha uhalisi wa jamii ya wastadi wa Kongfu
  •  2016-01-02

    Mwongozaji wa filamu hiyo Bw. Xu Shaofeng amesema, filamu hiyo inalenga kuadhimisha tabaka la wastadi wa Kongfu lililotoweka kwa kupitia kueleza hadithi za mashindano ya ustadi na undugu kati yao zilizotokea katika tabaka hilo mjini Tianjin karibu miaka mia moja iliyopita.
    prev 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 next
    SearchYYMMDD  
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako