• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mtaalam wa akiolojia kutoka Kenya asaidia wanafunzi wa China kufahamu zaidi historia ya china na Afrika mashariki.
  •  2014-11-05

    Huyu ni mfanya biashara wa kichina akiuza bidhaa mjini Mombasa pwani ya kenya-amejifunza lugha ya Kiswahili ambayo inazungumzwa na wengi mjini hapa ili kumwezesha kuwasiliana vyema na wateja wake.

  • Liang Zi kutoka china alitaka zaidi kufahamu utamaduni na desturi za Afrika
  •  2014-11-04

    "Unajua mwanzoni nilidhania watu barani Afrika wanaishi uchi-yaani bila nguo na pia watu wengi waliniambia watu wengi wa afrika ni wabaya hata wanaweza kunivamia na kunipiga, na pia wengi wao wana magonjwa mengi. Lakini nikasema nataka kujionea ukweli wa mambo kuhusu Afrika. Nikaenda kwenye kijiji kimoja nchini Lesotho kusini mwa Afrika-watu walinikaribisha kwa tabasamu, ni wakarimu sana na hakuna aliyetaka kunidhuru"
  • Msanii wa Kenya: Tamasha za maonyesho ya sanamu ya Changsha zilinisaidia kufahamu umuhimu wa kutumia mashine
  •  2014-11-04

    Tamasha za kimataifa za maonyesho ya sanamu zimekamilika mjini Changsha katika mkoa wa Hunan hapa nchini China. tamasha hizo ziliwaleta pamoja zaidi ya wachonga sanamu 20 maarufu kutoka nchi kama vile za Afrika, China, Marekani, Ujerumani na Italia.

  • Utamaduni wa mkoa wa Guangdong
  •  2013-08-05

    Kwanza kabisa, mkoa wa Guangdong uko kusini mwa China. Kwa kuwa sehemu nyingi za mkoa huo ziko pwani, watu wengi walihamia nchi za nje kwa sababu mbalimbali. Takwimu zinaonesha kuwa idadi ya wenyeji wa Guangdong wanaoishi nchi za nje zaidi ya 160, ni zaidi ya milioni 30, ikiwa ni theluthi mbili ya wachina wanaoishi nchi za nje.
  • Wilaya ya Jixi, mkoani Anhui
  •  2013-07-15

    "unapoingia kwenye kijiji kimoja, ni kama umefungua ukurasa wa historia, na ukikanyaga jiwe, ni kama umegusa enzi moja ya kale." Hayo ni maneno yanayosemwa na wenyeji wa wilaya ya Jixi wanapojaribu kutufahamisha kuhusu maskani yao. Wanapozungumzia uzuri wa wilaya ya Jixi, huwa wanaielezea kwa fahari. Mwenyeji wa wilaya hiyo Bw Yang Shuangji ambaye alizaliwa na kukulia katika wilaya hiyo alipoeleza kuhusu mvuto wa wilaya ya Jixi.
  • Xidi na Hongcun, vijii vilivyo kwenye michoro
  •  2013-07-10

    Katika kipindi cha leo, tutatembelea kwa pamoja vijiji vya kale Xidi na Hongcun, vilivyoko wilaya ya Yi, mashariki mwa mkoa wa Anhui, ambavyo vinasifiwa kuwa ni "vijiji vilivyoko kwenye michoro".
  • Thamani ya kisasa ya mali za urithi za utamaduni mjini Xi'an
  •  2013-07-01

    Baadhi ya watu wanaona kuwa historia ya mji mmoja ni historia ya kabila moja. Mji wa Xi'an wa mkoa wa Shaanxi ulioko magharibi mwa China ulikuwa mji mkuu wa enzi 13 za China, na hivi sasa mji huo unajulikana kama ni mmoja kati ya miji minne mikubwa ya ustaarabu wa binadamu, pamoja na miji ya Athens, Cairo na Rome. Mji huo pia ni kituo cha kwanza cha "Njia ya Hariri" ambayo ni njia ya kibiashara inayounganisha mabara ya Asia, Afrika na Ulaya. Hivi sasa kwa kutegemea mambo ya utamaduni mkubwa, mji huo wenye historia ndefu sasa una unastawi mpya.
  • Guangzhou, mji wa milenia wenye opera na muziki maalumu
  •  2013-06-24

    Katika sehemu ya kusini mwa China kuna mji mmoja wenye historia ya zaidi ya miaka 2200, unaoitwa Guangzhou. Mji huo uliwahi kuwa mji mkuu wa enzi tatu katika historia, na uliwahi kuwa ni kituo cha kwanza kwa meli za kigeni kutia nanga nchini China, na sasa umekuwa ni mji wa bandari ya biashara na nje iliyo kubwa kabisa na yenye historia ndefu zaidi nchini China. Kwa hiyo mji wa Guangzhou kwa sasa unasifiwa kuwa ni "mji wa biashara wa milenia".
  • Xi'an--Mji wenye vivutio maalumu vya historia na utamaduni
  •  2013-06-24

    Mali za urithi za utamaduni ni mlango wa binadamu kufahamu historia, na pia ni kumbukumbu ya hadithi za maisha ya binadamu na maendeleo ya jamii. Mji wa Xi'an mkoani Shaanxi ulioko katikati mwa China una historia ya miaka zaidi ya 3,000, na una mali nyingi za urithi za utamaduni. Katika kipindi cha leo, tunakuongoza kutembelea mji huo wenye vivutio maalumu vya historia na utamaduni.
  • Michezo ya sanaa yachangia kuleta mvuto kwenye maonesho ya kimataifa ya Shanghai
  •  2010-06-01

    Kwenye eneo la maonesho hayo yanayowavutia walimwengu, mbali na majumba mbalimbali yenye maonesho ya aina tofauti, maonesho zaidi ya 100 ya michezo ya sanaa yanafanyika kila siku. Iwe mchana au usiku, watalii wanapotembea kwenye eneo hilo, wakichoka wanaweza kukaa na kuburudishwa na michezo ya sanaa inayooneshwa nje ya majumba, pia wanaweza kupata burudani kwa kuingia majumbani ambapo michezo ya ngoma inaweza kuoneshwa.
    prev 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 next
    SearchYYMMDD  
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako