v Bibi Wang Fang na "familia ya angels" 2008/11/17 Mama huyo anaitwa Wang Fang. Yeye ni mama wa mtoto mwenye ugonjwa wa mtindio wa ubongo mjini Nanning katika mkoa unaojiendesha wa kabila la Wazhuang wa Guangxi, China. Katika miaka mingi iliyopita, alitumia fedha zake zote kuanzisha kituo cha kuwasaidia watoto wenye ugonjwa wa mtindio wa ubongo, yaani "familia ya angels", na kuzisaidia familia maskini zenye matatizo ya kiuchumi kutibu watoto wenye ugonjwa huo.
|
v Mlemavu anayependa kuwasaidia wengine Bw. Shen Fucai 2008/09/11 Katika mji wa Baotou wa mkoa unaojiendesha wa Mongolia ya ndani, kaskazini mwa China, ukimtaja meneja wa kampuni ya biashara ya Aixin Bw. Shen Fucai, watu wanaomfahamu wote wanamsifu sana. Bw. Shen Fucai ni mtu asiyeweza kuona, lakini anapenda kuwasaidia watu wenye hali dhaifu. Katika miaka 6 iliyopita, siku zote anawasaidia walemavu wengine, watu wenye matatizo ya kiuchumi na watoto waliokosa masomo yao.
|
v Kijana anayetunza Panda ateuliwa kuwa mkimbiza mwenge wa michezo ya Olimpiki 2008/07/03 Vileta bahati vya michezo ya Olimpiki ya Beijing ni Fuwa watano, na Fuwa mmoja aitwaye Jingjing, sura yake inayopendeza ilisanifiwa kutokana na Panda mmoja mwenye jina hilo hilo anayeishi mkoani Sichuan, kusini magharibi mwa China. Panda ni wanyama adimu ambao wako kwenye hatari ya kutoweka, wanapatikana nchini China tu.
|
v Mfanyakazi wa kusafisha barabara apewa sifa kwa kuchapa kazi 2008/06/12 Saa 10 alfajiri wakati watu wengi kabisa wanakuwa bado wamelala, Bw. Xu Hui anakuwa ameanza kazi ya kufagia barabara, yeye ni mfanyakazi wa idara ya usafi mjini Ningbo, mashariki mwa China.
|
v :Kuwalinda wanafunzi bila kujali kuhatarishwa kwa usalama wa maisha yao wenyewe 2008/05/30 Baada ya kutokea tetemeko kubwa la ardhi tarehe 12 wilayani Wenchuan, mkoa wa Sichuan, sehemu ya kusini magharibi ya China, mambo mengi kuhusu watu walivyokuwa wanajitahidi kujiokoa, na wakazi waliokumbwa na maafa walivyokuwa kusaidiana, yamewavutia watu wote wa China. Saa 8 na dakika 28 ya adhuhuri ya tarehe 12
|
v Wanajeshi wafanya chini juu kuwaokoa wahanga wa tetemeko la ardhi mkoani Sichuan 2008/05/22 Tarehe 12 Mei tetemeko kubwa la ardhi lenye nguvu ya 8 kwenye kipimo cha Richter liliukumba mkoa wa Sichuan, kusini magharibi mwa China. Katika sehemu zilizoathirika vibaya kwenye maafa hayo, karibu nyumba zote zilibomoka, na wakazi wengi walifunikwa na kifusi.
|
v Mfanyabiashara mwanamke kutoka Mongolia aliyewaandika barua ya mapendekezo maofisa wa serikali ya China 2008/05/18 Katika mji wa Erlianhaote wa mkoa unaojiendesha wa Mongolia ya ndani, mfanyabiashara wa Mongolia Bibi Dedbilig ni "mkwe" wa China, ambaye pia ni mtu maarufu kwenye shughuli za kibiashara kati ya China na Mongolia. Yeye anafanya juhudi za kuhimiza mawasiliano ya kiuchumi na kibiashara kati ya China na Mongolia, pia amewahi kuwaandikia maofisa wa serikali ya huko barua ya mapendekezo, ili kuendeleza soko la biashara ya mpakani la mji wa Erlianhaote. Bibi Dedbilig ana umri wa miaka 36
|
v Mabadiliko ya vyombo vya usafiri nchini China 2008/04/24 Mkutano wa bunge la umma la China ulifanyika kuanzia tarehe 5 hadi 18 mwezi Machi. Wakati wa mkutano huo, mwandishi wetu wa habari aliwahoji wajumbe Waislam waliohudhuria mkutano huo. Baada ya China kufanya mageuzi na kufungua mlango kwa miaka 30, vyombo vya kusafiri nchini China vinabadilika siku hadi siku.
|
v Familia ya Montpellier yaimarisha urafiki kati ya China na Ufaransa 2008/03/20 Mjini Chengdu, kusini magharibi mwa China, kuna familia ya Montpellier, ambayo ilianzishwa mwaka 2006 na mji wa Chengdu uliopo China na mji wa Montpellier wa nchini Ufaransa.
|
v Wachimba makaa ya mawe wa China waelezea matarajio yao 2008/03/06 Karibu na mgodi wa makaa ya mawe ya Tunlan, Mama Chen Laying alikuwa anatumia kwa ustadi cherehani huku akisikiliza muziki. Kama hali ya kawaida, asubuhi ya siku moja mama huyo mwenye umri wa miaka 57 alikuwa anawasaidia wachimba makaa ya mawe kushona nguo zao chakavu bila malipo
|
v Maisha ya Waislam wa Kashi 2008/02/21 Mkoa wa Xinjiang ni sehemu wanakoishi watu wa kabila la Waurgur wa China, na Kashi iliyoko kusini mwa mkoa huo ni sehemu yenye mila na desturi zaidi za kikabila na umaalum wa kiislam mkoani Xinjiang
|
v Watu wenye uwezo mdogo wapata nyumba za kisasa 2008/02/10 Nyumba ina kazi muhimu ya kuwapa binadamu uhifadhi dhidi ya baridi, hasa kwa watu wanaoishi mkoani Jilin, kaskazini mashariki mwa China, ambapo kwa kawaida halijoto ni chini ya nyuzi sifuri katika majira ya siku za baridi.
|
v Dada Mahire na kampuni yake ya huduma za nyumbani 2008/01/24 Dada Mahire ambaye anatoka kabila la Wakhazak, moja kati ya makabila 55 madogomadogo nchini China, alianzisha kampuni ya kutoa huduma za nyumbani. Saa 2 na nusu asubuhi Dada Mahire alifika kwenye kampuni yake kwa kutumia baiskeli, na kuanza kufanya maandalizi kwa ajili ya kazi za siku hiyo
|
v Watu wenye kipato cha chini wapata nyumba za kisasa 2008/01/10 Nyumba ina kazi muhimu ya kuwapa binadamu uhifadhi dhidi ya baridi, hasa kwa watu wanaoishi mkoani Jilin, kaskazini mashariki mwa China, ambapo kwa kawaida halijoto ni chini ya nyuzi sifuri katika majira ya siku za baridi. Mwaka huu watu waliokuwa wanaishi katika nyumba za muda walikuwa wamehamia kwenye nyumba za kisasa kabla ya kuwadia kwa siku za baridi kali.
|
v Michezo ya Olimpiki imeingia kwenye maisha ya watu wa China 2007/12/27 Mwaka 2007 neno la Olimpiki ni neno ambalo limekuwa likitajwa mara kwa mara na watu wa China. Michezo ya Olimpiki ya Beijing ya mwaka 2008 inapokaribia kufunguliwa, mambo yanayohusu Olimpiki yameingia kwenye maisha ya watu wa China.
|
v Kijana mlemavu anayejitegemea Bw. Zheng Fusheng 2007/12/06 Mjini Xuzhou, mkoani Jiangsu, mashariki mwa China, kuna kijana mmoja aitwaye Zheng Fusheng ambaye alipata ulemavu kutokana na ugonjwa. Katika miaka kadhaa iliyopita, alipambana na ugonjwa kwa nia imara na uvumilivu, na pia alitoa mchango kwa jamii bila kujali maslahi yake binafsi.
|
v Mabadiliko ya aina za burudani katika jamii ya China (sehemu ya pili) 2007/11/29 Miaka zaidi ya 20 iliyopita, wakati ambapo watu wa China walikuwa wanajitahidi kujikimu katika maisha, burudani katika jamii ya China zilikuwa chache.
|
v Mabadiliko ya chakula kwenye familia za Wachina 2007/11/15 Asubuhi ya siku moja ya Ijumaa, kulikuwa na pilikapilika nyingi kwenye chumba kimoja cha mtaa wa makazi uitwao Yuquan Xili, magharibi mwa mji wa Beijing, ambapo wazee zaidi ya 20 walikuwa kwenye semina kuhusu mafunzo ya lishe
|
v Mkurugenzi wa kamati ya wakazi anayefurahia kazi yake 2007/11/08 Katika miji mbalimbali ya China, kuna kamati ya wakazi inayoshughulikia huduma za umma zinazohusiana na wakazi wa mitaa mbalimbali. Siku moja hivi karibuni, wakazi wanaopata misaada ya serikali ya uhakikisho wa kiwango cha msingi cha maisha walikuwa wanakutana kwenye ofisi ya kamati ya wakazi katika mtaa mmoja uliopo mashariki mwa mji wa Beijing.
|
v Mabadiliko ya viwango vya mishahara ya watu wa China 2007/10/25 Kwa wafanyakazi wa kawaida wa China wanaotegemea mishahara, mbadiliko ya viwango vya mishahara yanahusiana moja kwa moja na maisha yao.
|
v Madaktari wanaohudumia wagonjwa kwa moyo wote 2007/10/18 Chama cha Kikomunisti cha China, ambacho ni chama tawala cha China kitaitisha mkutano mkuu wa 17 kuanzia tarehe 15 mwezi Oktoba. Wajumbe zaidi ya 2,200 wanaohudhuria mkutano huo wanatoka sehemu mbalimbali za China wakiwakilisha wanachama wapatao milioni 70 wa chama hicho
|
v Somo la hifadhi ya mazingira ya asili kwenye uwanda wa juu 2007/10/11 Mkoa wa Qinghai ulioko kwenye sehemu ya magharibi ya China, unajulikana duniani kwa "water tower" (mnara wa maji) wa bara la Asia, ziwa la Qinghai pamoja na vyanzo vya mito mitatu mikubwa ya Changjiang, Manjano, Lancang vina athari ya moja kwa moja maisha ya karibu nusu ya idadi ya watu wa dunia.
|
v Dini ya Kidao na maisha ya watawa wa dini hiyo nchini China 2007/10/04 China ni nchi yenye hali ya masikilizano kati ya tamaduni na dini za aina mbalimbali. Hapa nchini China dini zenye waumini wengi zaidi ni dini ya Kibudha, Dini ya Kidao, dini ya Kiislamu, na dini ya Kikristo, na miongoni mwao dini ya Kidao ni dini pekee iliyoanzishwa na watu wa China.
|
v Juhudi za kuokoa maskani iliyo kwenye tishio la jangwa 2007/09/20 Mkoa unaojiendesha wa Mongolia ya ndani wa China unajulikana kwa kuwa na eneo kubwa la mbuga na uchumi unaotegemea mifugo. Watu wakisikia kuhusu mkoa huo, wanapata taswira ya anga ya kibuluu, nyasi za rangi ya kijani, na wakazi wa huko ambao wengi ni wa kabila la Wamongolia wanaochunga mbuzi huku wakiimba..
|
v Nyumba ya kuwahudumia Wazee Waislamu katika mji wa Huhehaote 2007/09/19 Katika mtaa wa makazi ya wazee waislamu mjini Huhehaote,mji mkuu wa mkoa unaojiendesha wa Mongolia ya ndani ya China,kuna nyumba ya kuwahudumia wazee waislamu,ambayo ni nyumba pekee ya aina hiyo nchini China.Ofisa husika wa nyumba hiyo, Bwana Qiao Zhiming, alisema.
|
v "Vituo vyenye matumaini" vyawapa furaha watu wenye mtindio wa ubongo 2007/09/06 Hivi sasa nchini China kuna watu zaidi ya milioni 11 wenye mtindio wa ubongo. Huko Shanghai, mji wa mashariki ya China, ulianzishwa mradi uitwao "vituo vyenye matumaini" vyenye lengo la kutoa huduma kwa watu hao.
|
v Watu waliojitolea kuwasaidia wengine wapata msaada 2007/08/30 Huko Changchun, mji wa kaskazini mashariki mwa China, kuna shirika moja la kiraia liitwalo shirika la kumsaidia Lei Feng, ambalo linatoa misaada ya hali na mali kwa watu wanaojitolea kuwasaidia wengine.
|
v Walinzi wa amani wa China walioko nchini Liberia 2007/08/09 China ni moja ya nchi wajumbe wa kudumu wa baraza la usalama la Umoja wa Mataifa. Tangu mwezi Januari mwaka 1992 hadi hivi sasa, China imetuma wanajeshi zaidi ya 6,000 kushiriki kwenye shughuli 15 za kulinda amani zinazoongozwa na Umoja wa Mataifa.
|
v Wanajeshi wa China wako mstari wa mbele katika kukabiliana na hatari 2007/07/26 Katika nchi nyingi duniani, majeshi yanabeba majukumu ya ulinzi na kufanya uokoaji wakati wa maafa, hali kadhalika kwa jeshi la China. China ni moja ya nchi zinazokumbwa na maafa mengi ya kimaumbile duniani, jeshi la China linawajibika na uokoaji wakati wa maafa.
|
v Wakulima wanufaika na maendeleo ya viwanda 2007/07/12 Uzalishaji wa kilimo ni mhimili wa uchumi wa mkoa wa Anhui, uliopo katikati ya China, ambapo asilimia 70 ya watu wa mkoa huo wanaishi vijijini na kilimo kinachukua nusu ya uzalishaji wa uchumi wa mkoa huo
|