v Harusi za aina mpya zawavutia maharusi wengi nchini China 2006/06/08 Katika miaka ya hivi karibuni, jamii ya China inaendelea kwa haraka, ambapo harusi za Wachina pia zinabadilika na kuwa za aina mbalimbali. Kuna maharusi ambao wamejipangia harusi maalumu, ili kujiwekea kumbukumbu zisizosahaulika na pia kuwavutia wageni wanaoalikwa kuhudhuria harusi zao.
|
v Siku ya kina mama na Siku ya kina baba: siku za vijana wa China kutoa shukrani kwa wazazi wao 2006/05/25 Siku ya kina mama na Siku ya kina baba ni sikukuu mbili za kigeni zilizoingia nchini China katika miaka ya hivi karibuni. Hivi sasa siku hizo mbili zimeenea sana miongoni mwa Wachina, hususan vijana.
|
v Uongo mtakatifu unaoonesha upendo mkubwa 2006/05/18 Kwa uhakika udanganyifu ni tabia mbaya sana. Lakini pia kuna uongo mtakatifu unaoonesha upendo mkubwa. Hivi karibuni katika mji wa Changchun, kaskazini mashariki mwa China, maelfu ya wakazi wa huko walishirikiana kuandaa uongo mtakatifu kwa ajili ya mtoto wa kike mwenye kansa atimize ndoto yake.
|
v Harakati ya "supemaketi za upendo" inawanufaisha wananchi wenye shida za kiuchumi 2006/04/13 Katika eneo moja la makazi mjini Nanning, mkoani Guangxi kusini mwa China, kuna soko moja liitwalo "supemaketi ya upendo", bidhaa mbalimbali zinazohitajika katika maisha ya Wachina kama vile chupa za maji, mafuta ya kupikia, pamba n.k. zimejaa kwenye supemaketi hiyo.
|
v Kampeni dhidi ya matumizi ya ovyo ya chakula katika mikahawa mjini Shanghai 2006/03/30 Kwenye mkahawa mmoja huko Shanghai, mji wa mashariki ya China, mhudumu alimshauri mteja akisema, "Chakula ulichoagiza ni kingi mno kwa watu watano, bwana. Kwa nini usiache sahani ya mwisho ya chakula ulichoagiza?" Mteja huyo alikubali kwa kuitikia kwa kichwa chake.
|
v Watu wa vizazi vitatu na maendeleo ya uhakikisho kutoka serikalini nchini China 2006/03/30 Nchini China, uhakikisho kutoka serikalini ni suala linalofuatiliwa na watu wa hali mbalimbali katika miaka ya karibuni. Hivi majuzi mwandishi wetu wa habari alitembelea familia moja hapa mjini Beijing, ambapo watu wa vizazi vitatu wa famila hiyo walielezea mitizamo yao kuhusu pesa za kujikimu kutoka serikalini.
|
v Vita vya watu wawili dhidi ya jangwa vilivyodumu kwa miongo kadhaa 2006/03/23 Miaka 73 iliyopita Wang Daqing alipokuwa mtoto, alifuatana na baba yake kuhamia huko Alxa, mkoa unaojiendesha wa Mongolia ya ndani ulioko kaskazini ya China, ambapo walikuwa na lengo moja pekee la kujitafutia mahala pa kuishi.
|
v Waziri mstaafu anayejikita katika shughuli za kilimo 2006/03/02 Mkoa wa Hainan upo kusini ya China. Katika mkoa huo, yupo mzee mmoja ambaye alistaafu miaka mitatu iliyopita, akaamua kuaga maisha ya mjini na kurudi katika maskani yake kijijini. Kurudi kwake kulileta mabadiliko makubwa katika kijiji hicho maskini, na wanavijiji wenzake wakaanza kuwa na maisha bora. Mzee huyo ni naibu mkuu wa zamani wa mkoa wa Hainan Bw. Chen Suhou.
|
v Hali ya maisha kwenye gereza la wanawake la Beijing 2006/02/16 Gereza la wanawake la Beijing lipo katika kitongoji cha mji huo, Daxing. Hilo ni gereza pekee katika mji huo kwa ajili ya wafungwa wanawake, ambapo wafungwa zaidi ya 900 waliothibitishwa kuwa na makosa na kuhukumiwa na mahakama adhabu ya vifungo mbalimbali
|
v Mradi wa "kutoa ujoto" wa China 2006/02/02 Wakati mwaka mpya wa Kichina ulipokaribia, harakati iitwayo "kutoa ujoto" iliyokuwa imefanyika kwa zaidi ya mwezi mmoja na kuwanufaisha makumi na maelfu ya Wachina wenye matatizo ya kiuchumi ilikuwa imekamilishwa. Harakati hizo zinafanyika kila mwaka chini ya uongozi wa Shirikisho la vyama vya wafanyakazi la China.
|
v Wakazi wa Beijing wapenda kuteleza kwenye theluji katika majira ya baridi 2006/02/02 Kituo cha kuteleza kwenye theluji cha Longfengshan cha wilaya ya Mentougou kilichoko kwenye sehemu ya magharibi ya Beijing kina kilomita 30 hivi kutoka sehemu ya mjini. Mwandishi wetu wa habari alipokwenda kwenye kituo hicho siku ya wikiendi, aliwakuta watu wengi wanaoteleza kwenye theluji.
|
v Wakazi wa Mkoa wa Henan wanaopenda kula tambi 2005/12/29 China ni nchi yenye aina nyingi za vyakula, na vyakula vinavyotokana na unga wa ngano kama vile mikate na tambi ni vyakula muhimu kwa wakazi wa mkoani Henan, katikati ya China.
|
v Wachina wengi zaidi waanza kusherehekea sikukuu ya Krismas 2005/12/22 Krismas ni sikukuu inayosherehekewa zaidi katika nchi za magharibi, lakini katika miaka ya hivi karibuni, Wachina wengi zaidi pia wameanza kusherehekea sikukuu hiyo.
|
v Wachina waishio kwenye nyumba za mapangoni 2005/12/08 Nyumba za mapango ni makazi ya siku nyingi ya wakazi waishio kwenye uwanda wa juu wa udongo wa manjano ulioko katika sehemu ya kaskazini magharibi mwa China.
|
v Bwana Hu Yingxiang na chai tamu ya porini 2005/12/01 Kwenye mlima mkubwa wa Wuling ulioko mkoani Hunan, katikati ya China kuna aina nyingi za mimea, na aina moja ya miti hiyo ni ya chai tamu ya porini.
|
v Wakulima wa mboga Anse wajitahidi kuboresha maisha yao 2005/11/24 Hivi sasa wakulima wa Anse wanajitahidi kuendeleza uzalishaji wa mboga kwenye mabanda na kuinua kiwango cha maisha yao.
|
v Wachina wanaopenda mchuzi wa soya 2005/11/10 China ni nchi yenye idadi kubwa kabisa ya watu duniani, na wachina wanaoishi katika sehemu mbalimbali wana mila na desturi tofauti kuhusu chakula
|
v Maisha mazuri ya wakazi wa Kijiji cha Furaha 2005/10/13 Kutokana na maendeleo ya uchumi wa vijijini nchini China, pato la wastani la wakulima wa China linaongezeka siku hadi siku, na wakati hali ya maisha ya wakazi wa vijijini inapoinuka, maisha yao ya kiutamaduni na burudani pia yamekuwa mazuri siku hadi siku
|
v Vyama vya wafanyakazi vya China vyachangia kutetea haki na maslahi ya wafanyakazi 2005/10/06 Maendeleo ya uchumi wa soko huria nchini China yamechomoza kwa mashirika mengi yenye umilikaji wa aina mbalimbali, ambayo yametatanisha uhusiano kati ya waajiri na waajiriwa. Ili kujipatia faida kubwa, baadhi ya mashirika binafsi hukiuka haki na maslahi ya wafanyakazi.
|
v Maoni ya vijana wa China kuhusu vita dhidi ya uvamizi wa Japan na uhusiano kati ya China na Japan 2005/09/15 Tokea tarehe 7 Julai mwaka 1937 Japan ianzishe vita ya kuivamia China kwa pande zote, hadi tarehe 15 Agosti mwaka 1945 Japan ilipotangaza kusalimu amri bila masharti, watu wa China walipambana vikali na wavamizi wa Japan kwa miaka minane, na kutoa mhanga mkubwa wa kimaisha
|
v Uhusiano kati ya Mjapan Bw. Ariga Motohiko na China 2005/09/01 Zaidi ya miaka 60 iliyopita, Bwana Ariga Motohiko alifika China akiwa mjumbe mmoja wa kikosi cha uendelezaji cha Japan, baadaye alijiunga na jeshi la ukombozi wa umma la China.
|
v Maendeleo ya utalii yabadilisha maisha ya wakulima wa Zhangjiajie 2005/08/18 Zhangjiajie ni sehemu maarufu yenye vivutio vya utalii nchini China, ambayo iko katika sehemu ya kaskazini magharibi mwa mkoa wa Hunan, katikati ya China.
|
v Wayahudi walowezi wa Shanghai wapenda China 2005/07/21 Zaidi ya miaka 60 iliyopita, wakati wa-nazi wa Ujerumani walipowakandamiza na kuwaua kiwazimu wayahudi barani Ulaya, nchi nyingi zilikataa kuwapokea wakimbizi wayahudi, lakini watu wa Shanghai wenye moyo mema waliwapokea wayahudi zaidi ya elfu 30. Hivi sasa wengi kati ya wayahudi wakimbizi hao wamefariki dunia, hata vijana wa wakati huo wametiwa mvi kichwani. Ingawa miaka mingi imepita, lakini walipozungumzia maisha yao huko Shanghai, China, bado wana kumbukumbu nzuri.
|
v Geng Ruixian awaongoza wanakijiji kujiendeleza kwa njia ya kistaarabu 2005/06/30 Kijiji cha Gengzhuang kiko katika kitongoji cha mji wa Xinxiang, mkoani Henan, katikati ya China. Zaidi ya miaka kumi iliyopita, kijiji hicho kilikuwa maskini sana, pato la wanakijiji lilikuwa dogo, hali duni inaonekana kote kijijini, lakini katika miaka ya karibuni, kijiji hicho kimepata mabadiliko makubwa. Muda mfupi uliopita mwandishi wetu wa habari alikitembelea kijiji hicho, akiona barabara za saruji ambazo zimefika mpaka kwenye majengo maridadi ya kisasa.
|
v Madaktari vipofu wanaofanya kazi katika hospitali ya kukanda ya Beijing 2005/05/26 Kati ya watu bilioni 1.3 wa China kuna walemavu milioni 60. Nchini China, walemavu wanafuatiliwa sana na serikali na jamii. Kila Jumapili ya tatu ya mwezi Mei ni siku ya kuwasaidia walemavu nchini China, serikali imeweka siku ya walemavu kwa kulenga kuwahimiza wananchi kuwafuatilia zaidi walemavu ili kuboresha mazingira ya kazi na maisha ya walemavu.
|
v Jinsi wakazi wa Mji wa Lanzhou wanavyopenda Tambi 2005/05/12 Lanzhou ni mji mkuu wa mkoa wa Gansu, kaskazini magharibi mwa China. Tukiutaja mji wa Lanzhou, watu wengi watakumbuka chakula maarufu cha mji huo, yaani tambi zenye nyama za ng'ombe.
|
v Mkorea anayeendesha biashara nchini China 2005/04/21 Mji wa Weihai ni mji wa bandari wa mkoa wa Shangdong, mashariki ya China. Mji huo uko karibu na Korea ya Kusini, inachukua saa mbili tu kufika bandari ya Incheon ya Korea ya kusini kwa kupanda mashua ya kasi.
|
v Maisha ya furaha ya watu wanaotoka Amerika ya kaskazini mjini Tianjin 2005/03/31 Bw. Cameron na mkewe Bi.Shelly ni wa-Canada, ambao walifika Tianjin miaka miwili iliyopita kuwa walimu wa lugha ya Kiingereza katika sekondari ya Binhai. Kabla ya kuja China walikuwa na wasiwasi kidogo kuhusu jinsi ya kuzoea maisha ya Tianjin kutokana na tofauti ya mazingira ya kiutamaduni na kimaisha.
|
v Mwanadiplomasia wa China aliyewafahamisha wachina ngano za Finland Bw. Du Zhongying 2005/03/24 Usiku mmoja wa mwishoni mwa mwaka jana, balozi wa Finland nchini China Bwana Bassin aliandaa tafrija maalum katika makazi yake. Kwenye tafrija hiyo, Bw. Bassin alimkabidhi mzee wa China Bw. Du Zhongying nishani iliyotolewa na rais wa Finland.
|
v Maisha ya Bi. Shi Juan katika sehemu ya magharibi mwa China akiwa mwalimu wa kujitolea 2005/03/03 Mwaka 2004, Bi. Shi Juan aliamua kuacha kazi yake katika idara ya sheria mjini Shenzhen, kusini mwa China na kuishi katika sehemu ya mlimani ya magharibi mwa China akiwa mwalimu wa kujitolea.
|