v Maisha ya Suzanne, M-Canada anayefundisha Kiingereza katika wilaya ndogo ya China 2005/02/17 Bibi Suzanne Styles mwenye umri wa miaka 34 mwaka huu ameishi katika wilaya ya Pingtang, mkoani Guizhou kwa miaka minane.Yeye si kama tu anaweza kuongea vizuri kichina, bali pia anaweza kuongea kwa lahaja ya huko.
|
v Wachina wanavyojiandaa kusherehekea sikukuu ya jadi ya mwaka mpya wa China . 2005/02/10 Sikukuu ya Spring ambayo ni sikukuu ya jadi ya mwaka mpya wa China ni sikukuu muhimu kabisa nchini China. Sikukuu hiyo ni wakati wa wachina wa familia moja moja kukutana pamoja na kusherehekea sikukuu hiyo kwa pamoja.
|
v Wakazi wa mkoa wa Hunan wanaopenda kula pilipili 2005/02/03 Mkoa wa Hunan ni maskani ya hayati Mao Zedong, wakazi wa mkoa huo wanajulikana sana kwa kula pilipili. Pilipili si kama tu ni chakula muhimu kwa wakazi wa huko, bali pia imeathiri hata tabia zao.
|
v Ni chaguo la mtu kuamua utaratibu wa maisha yake 2005/01/22 Miaka minne iliyopita nchini China kulikuwa na watu saba waliofanya mazoezi ya Falungong walijichoma moto katika uwanja wa Tian'anmen mjini Beijing.
|
v Serikali ya China yawafuatilia watu wenye matatizo ya kiuchumi 2005/01/21 Bwana Tian Jianhua na mke wake wanaoishi katika mtaa wa Chongwen mjini Beijing, na wote hawana kazi. Mtoto wao ni mwanafunzi, hivyo wana matatizo makubwa ya kiuchumi. Baada ya kupewa fedha za kumudu kiwango cha chini kabisa cha maisha, wameanza kuwa na tabasamu. Kama ilivyo kwa Bwana Tian Jianhua, wakazi wengine milioni 2.2 wa miji mikubwa na wastani wenye matatizo ya kiuchumi wanapewa fedha za aina hiyo.
|
v Wachina watoa misaada kwa watu wa nchi zilizokumbwa na maafa ya dhoruba lililosababishwa na tetemeko la ardhi 2005/01/13 Baada ya kusikia tangazo la kuwahamasisha wateja walio dukani kuchangia fedha kwa ajili ya watu wa nchi zilizokumbwa na maafa ya dhoruba lililosababishwa na tetemeko la ardhi kwenye bahari ya Hindi, watu mia kadhaa walikuwa wamepanga mstari wa kuchangia fedha. Yuan 50 na yuan 100 zilizotolewa na wateja ziliwekewa kwenye sanduku la kuchangia fedha
|
v Maisha ya mwanakampuni binafsi Bwana Li Xinghao na familia yake 2004/12/30 Bwana Li Xinghao mwenye umri wa miaka 50 ni meneja mkuu wa kampuni ya viyoyozi ya Zhigao mjini Guangdong, ambayo ni kampuni binafsi kubwa kabisa inayozalisha viyoyozi nchini China.
|
v Mkulima Yu Lianjiang anayetajirika kutokana na kilimo 2004/12/23 Mwezi Desemba ni wa majira ya baridi, sehemu ya kaskazini mashariki mwa China, ambako ni sehemu muhimu inayozalisha nafaka nchini China hufunikwa na theluji.
|
v Vibarua mijijini wanaotoka vjijini wapewa hadhi na huduma sawa na wakazi wa mijini 2004/12/23 Kumiminika mijini kwa vibarua kutoka vijiji ni njia panda ya mchakato wa kuendeleza miji ya China na kuendeleza uchumi na jamii ya vijiji vya China, hivi sasa vibarua kutoka vijiji wamekuwa nguvu kazi muhimu katika shughuli mbalimbali, lakini kwa sababu ya mfumo wa China, hadhi yao na huduma zao lilikuwa ni tatizo.
|
v Hadithi ya Wakorea wanaoipenda China 2004/12/09 China na Korea ya kusini ni nchi jirani ambazo zimetenganishwa kwa bahari. Kutokana na maendeleo ya uhusiano kati ya nchi hizi mbili, mawasiliano kati ya watu wa nchi hizo mbili yameongezeka siku hadi siku.
|
v Maisha ya wakazi wa mji mkongwe wa Xi'an 2004/11/18 Xi'an, mji mkuu wa mkoa wa Shanxi, magharibi mwa China ni mji wenye historia ndefu wa China. Mji huu uliwahi kuwa mji mkuu wa enzi 13 katika historia ya China. Japokuwa hivi sasa mji huo wenye idadi ya watu karibu milioni 6 umekuwa ni mji wa kawaida, lakini bado ni mji muhimu wa kisiasa, kiuchumi na kiutamaduni katika sehemu ya magharibi mwa China.
|
v Michezo ya riadha ya wakulima wa China 2004/11/11 Kutokana na maendeleo ya uchumi na jamii ya China, wakazi wa vijijini wanaochukua kiasi kikubwa cha idadi ya watu nchini China wanastarehe maisha ya aina mbalimbali ya kiutamaduni kama walivyo wakazi wa mijini
|
v Maisha ya Sarakasi ya Wakazi wa Jian Hu 2004/10/14 Sarakasi ni maonyesho ya kijadi ya kisanii nchini China. Kupenya kwenye duara inayowaka moto, kusimamisha baiskeli kwenye jukwaa la juu, kutembea kwenye ngazi ya visu na michezo mingine inakaribishwa sana na watazamaji wa nchini China na wa ng'ambo.
|
v Wakazi wa Shanghai waweza kuwaona madaktari kwa kutembea kwa dakika 15 tu 2004/09/30 Kila ikifika saa tatu ya Jumatatu asubuhi, mzee Yuan Xuezhong, ambaye anakaa katika ghorofa ya tatu ya jengo moja lililoko katika barabara ya Beiyu mjini Shanghai, huwa anafungua mlango mapema na kutazama nje mara kwa mara, na mtu mmoja aliyemzoea huwa anajitokeza bila kuchelewa. Mtu huyo ni daktari Lu Jianhua kutoka kituo cha huduma ya tiba ya mtaa wa Beixinjing. Kabla ya miaka 6 iliyopita, daktari Lu alipofika huko kwa mara ya kwanza mzee Yuan alilala kitandani kutokana na kufanyiwa operesheni ya kupasua mshipa wa kupumua kutokana na kutokwa damu kwenye ubongo. Wakati ule hakuweza hata kuongea, lakini hivi sasa mzee huyo anaweza kutembea taratibu.
|
v Wanafunzi wa shule za msingi na sekondari mjini Beijing kupatiwa chakula chenye virutubisho 2004/09/29 Katika miaka ya karibuni, chakula bora kimepikwa katika shule za msingi na sekondari za mji wa Beijing , hivyo ubora wa chakula cha wanafunzi shuleni umeongezeka sana. Hivi sasa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari wapatao laki 3.5 wanakula chakula bora.
|
v Polisi mwanamke hodari wa China Ren Changxia 2004/09/16 Siku moja ya mwezi Aprili mwaka huu, katika mji wa Dengfeng, mkoani Henan, katikati ya China, wakazi zaidi ya laki mbili walijitokeza mitaani kwa hiari wakishika maua au kunyanyua mabango kumuaga mkuu wa kike wa polisi ya Dengfeng Bi. Ren Changxia aliyefariki dunia wakati alipokuwa kazini.
|
v Maandalizi ya walimu nchini China yaboreshwa 2004/09/09 Tangu kuasisiwa kwa China mpya mwaka 1949, China imeandaa mamilioni ya walimu wa shule za msingi na za sekondari, ambao wanabeba jukumu la kutoa elimu ya msingi kwa watoto walio wengi kabisa duniani.
|
v Wajumbe maalum wapatao elfu 1 wanaoshughulikia sayansi na teknolojia 2004/09/01 Habari kutoka idara ya sayansi na teknolojia ya serikali ya mkoa wa Ningxia, China zinasema kuwa, ili kusukuma mbele maendeleo ya uchumi vijijini, kuanzia mwezi Septemba mwaka 2002, mkoa wa Ningxia ulianzisha majaribio ya kuwapeleka wajumbe maalum wanaoshughulikia sayansi na teknolojia kufanya kazi vijijini katika wilaya za Zhongwei, Zhongning, Qingtongxia na Pingluo.
|
v Mji wa Beiing waanza kushughulikia maombi ya kitambulisho cha ukazi wa kudumu kwa wageni nchini China 2004/08/27 Tarehe 23 mwezi huu, mtaalamu kutoka Marekani Bw. Han Chun ambaye amekaa nchini China kwa miaka 50, alikwenda kwenye ofisi ya idara ya uhamiaji katika idara ya usalama wa raia ya Beijing, na kujaza fomu ya maombi ya kubadilisha au kupata kitambulisho cha kudumu cha ukazi kwa wageni nchini China.
|
v Wageni wanaoishi mjini Shanghai waanza kuomba "kadi ya kijani" 2004/08/27 Saa nne asubuhi, tarehe 23, mwezi Agosti, katika idara ya usimamizi wa shughuli za uhamiaji nchini China ya idara ya usalama wa umma ya Shanghai, wageni zaidi ya 10 walisimama kwenye foleni mbele ya madirisha ya kushughulikia "kadi ya kijani" na kusubiri kushughulikia maombi ya kibali cha ukazi wa kudumu, yaani "kadi ya kijani".
|
v Mtindo mpya wa wazee kuishi katika sehemu nyingine 2004/08/26
|
v Maisha mazuri ya familia kutoka Korea ya kusini mjini Hangzhou 2004/08/26 Hangzhou ni mji mkuu wa mkoa wa Zhejiang ulioko mashariki mwa China wenye mandhari mazuri, chakula kitamu, mazao mengi ya kilimo, na hali nzuri ya utamaduni, ambao husifiwa kuwa ni kama peponi kwa binadamu. Kutokana na China kuendelea kufungua mlango kwa nchi za nje, wageni wengi zaidi wanakwenda mkoani Zhejiang kufanya kazi, kusoma na kuishi mjini humo. Katika kipindi hiki cha leo, tutawaeleza jinsi Bwana Kim Gyeong Seok na familia yake kutoka Korea ya kusini wanavyoishi kwa furaha mjini Hangzhou.
|
v Hadithi ya Bi. Zhang Luping na nyumba yake ya wanyama 2004/07/29 Bibi Zhang Luping anayeugua ugonjwa wa saratani anajitahidi awezavyo kuwalisha na kuwatunza mbwa na paka zaidi ya 400 wanaorandaranda mitaani. Ili kuwatunza wanyama hao, ilimpasa kuacha biashara yake ya viwanda na nyumba, na kujitumbukiza katika shughuli za kuwatunza wanyama hao wadogo.
|
v Maisha mapya ya mkulima Wan Yi na mkewe 2004/07/27
Mkewe Wan Yi alisema kuwa mbali na kufuga nguruwe na kupanda maua, familia yake inaendelea kulima mpunga. Ingawa shughuli ni nyingi, lakini kazi zao zinawaletea faida kubwa.
|
v Wakazi wa Zhuhai waishio kwa furaha 2004/07/22 Zhuhai ni mji wa pwani kusini mwa China, ni mji mpya na wenye mandhari nzuri. Mji huu unajulikana nchini na nchi za ng'ambo kutokana na mazingira yake mazuri ya kuishi. Wakazi wa mji huo wanatoka sehemu mbalimbali na wanaishi kwa furaha.
|
v Mmarekani Anayeendesha Baa ya Pombe mjini Tianjin 2004/07/15 Tianjin ni mji wa pwani ulioko kaskazini mwa China. Katika mtaa wa Youyi mjini humo, zimekusanyika baa 30 hivi za aina mbalimbali za pombe. Kati ya baa hizo, baa iitwayo The British Heaven Bar inawavutia zaidi wateja wanaotoka nchi mbalimbali.
|
v Mkazi Mzee wa Beijing Anayependa Kukata Ukataji Kisanii 2004/07/08 Katika kichochoro kimoja cha mtaa wa Beixinqiao, mashariki ya Beijing, anaishi bibi mzee anayependa ukataji wa kisanii.
|
v Maisha ya wakulima wa Meiman 2004/07/01
|
v Wachina wafurahia kupashana habari kwa simu za mkononi 2004/06/24
|
v Wakulima wa Mkoa wa Mongolia ya Ndani wafaidika kutokana na mifugo ya ng'ombe 2004/06/17 Hivi karibuni, mwandishi wetu wa habari alitembelea mkoa wa Mongolia ya ndani uliopo kaskazini mwa China, ambapo alipata kuona kuwa, wakulima mkoani humo wanafurahia kujishughulikia mifugo ya ng'ombe, na wengi wao wamepata fedha kutokana nayo.
|