Wafanyakazi wa Idhaa ya Kiswahili ya CRI
China Radio International
China
Dunia
 
v China yatangaza sehemu nyingine elfu moja za hifadhi ya kitaifa ya urithi wa utamaduni  2006/06/19
Waziri mkuu Wen Jiabao tarehe 25 mwezi uliopita alisaini amri ya kutangaza kundi la sita la sehemu za hifadhi ya kitaifa ya urithi wa utamaduni nchini China. Hii inamaanisha kuwa China imeongeza sehemu 1080 za hifadhi ya kitaifa ya urithi wa utamaduni. Idadi hiyo imekuwa karibu sawa na jumla ya makundi matano yaliyotangazwa katika miaka 50 iliyopita.
v Utafiti wa taaluma ya Kitibet nchini China waendelea haraka 2006/05/29
Hivi karibuni watafiti zaidi ya 200 kutoka ndani na nje ya China walikusanyika mjini Beijing kuadhimisha miaka 20 tokea Kituo cha Utafiti wa Taaluma ya Kitibet kiasisiwe. Wataalamu wanaona, hivi sasa utafiti wa taaluma hiyo unaendelea haraka katika maingiliano na utafiti wa taaluma na umetoa mchango katika uchumi na utamaduni wa kabila la Watibet.
v Chen Yan, fundi wa kwanza mwanamke Mchina asiyeona wa kurekebisha sauti za piano 2006/05/22
Chen Yan alizaliwa mwaka 1973 na kukulia mjini Beijing. Kwa kuwa alizaliwa na tatizo la mtoto wa jicho, ingawa alifanyiwa upasuaji lakini jicho lake la kushoto linaweza tu kuona nuru kidogo na jicho la kulia haliwezi kuona kabisa. Kutokana na ulemavu huo alitelekezwa na wazazi wake na alilelewa na bibi yake mpaka alipokuwa mtu mzima
v Maonesho mengi yafanyika mjini Beijing katika maadhimisho ya siku ya wafanyakazi duniani 2006/05/08
Muda wa likizo ya siku ya wafanyakazi duniani ambayo hudhimishwa tarehe mosi Mei, ni siku saba nchini China, siku nyingi kama hizo ni nafasi nzuri kwa wakazi wa Beijing kufanya utalii na kuangalia maonesho ya sanaa ya nchi mbalimbali mjini humo
v Uenezi wa televisheni waingia katika kipindi cha maendeleo ya haraka nchini China 2006/04/24
Ukiuliza chombo gani cha habari kina athari kubwa zaidi nchini China hivi sasa? Hakika utaambiwa: Televisheni! Ingawa televisheni ilitokea nchini China miaka 30 tu iliyopita, lakini hivi sasa imeingia katika kipindi cha uenezi wa haraka. Hivi sasa nchini China kumekuwa na seti za televisheni milioni 400 na watazamaji wamefikia bilioni 1.2.
v Mafanikio makubwa ya hifadhi ya utamaduni wa jadi usioonekana wa China yaoneshwa katika jumba la taifa la makumbusho mjini Beijing 2006/04/17
Maonesho ya hifadhi ya utamaduni wa jadi usioonekana yanafanyika katika jumba la taifa la makumbusho mjini Beijing. Vitu karibu 2,000 na picha zaidi ya 1,500 vinaoneshwa vikithibitisha mafanikio makubwa katika juhudi za hifadhi ya utamaduni huo.
v Shamrashamra za kila aina katika Tamasha la Utamaduni wa Russia 2006/04/03
Tarehe 21Machi marais wa China na Russia walihudhuria ufunguzi wa "Mwaka wa Russia" nchini China. Katika kipindi hicho cha "Mwaka wa Russia", shughuli nyingi za maingiliano kati ya China na Russia zinafanyika, na miongoni mwa shughuli hizo, tamasha la utamaduni wa Russia lilipamba moto na kuwaonesha Wachina utamaduni mkubwa wa Russia..
v Kazi ya kuhifadhi vitu vya kale nchini China imepata mafanikio makubwa 2006/03/27
Siku chache zilizopita, serikali ya China ilitangaza kuwa kuanzia mwaka huu, kila J'mosi ya pili katika mwezi wa Juni ni "Siku ya Urithi wa Utamaduni" nchini China. Naibu mkuu wa Idara ya Hifadhi ya Vitu vya Kale Bw. Zhang Bai alisema, kazi ya kuhifadhi vitu vya kale ni jukumu la wananchi wote
v Mwigizaji nyota wa filamu Liu Xiaoqing 2006/03/06
Katika miaka ya 80 ya karne iliyopita, Bi. Liu Xiaoqing alikuwa mwigizaji maarufu sana nchini China kutokana na uigizaji wake hodari. Lakini wakati huo alipokuwa kileleni katika uigizaji wake ghafla aliacha uchezaji wa filamu akaanza kufanya biashara, na biashara yake ilikuwa mbaya hata alitiwa gerezani kutokana na kukwepa kulipa kodi kubwa
v Maisha ya utamaduni wa aina mbalimbali katika sehemu za makazi mjini Beijing 2006/02/27
Kadiri maisha yanavyokuwa bora ndivyo watu wanavyohitaji zaidi maisha ya utamaduni. Hivi sasa shughuli za aina mbalimbali za utamaduni zinafanyika moto moto katika sehemu za makazi mjini Beijing.
v China yaharakisha maendeleo ya sekta ya utamaduni 2006/02/13
Kuharakisha maendeleo ya sekta ya utamaduni nchini China ni suala lililozungumzwa sana katika Baraza la Mashirika la Utamaduni lililofanyika kwa siku mbili na kumalizika tarehe 8 mjini Beijing
v Mazungumzo kuhusu mbwa katika mwaka wa mbwa 2006/01/30
Tarehe 29 mwezi huu ni sikukuu ya mwaka mpya wa Kichina. Katika kalenda ya Kichina kila mwaka unawakilishwa na mnyama mmoja, kwa hiyo kuna jumla ya wanyama kumi na wawili wanaowakilisha miaka 12. Kuanzia tarehe 29 mwezi huu watu wa China watauaga mwaka wa kuku na kuingia katika mwaka mpya wa mbwa.
v Jumba la Makumbusho ya Filamu za China Lazinduliwa  2006/01/16
Wakati China inapoadhimisha miaka mia moja toka ianze kutengeneza filamu, siku chache zilizopita jumba la makumbusho ya filamu za China limezinduliwa mjini Beijing.
v Lugha na maandishi ya makabila madogo madogo nchini China yahifadhiwa na kuendelezwa  2006/01/02
Wasikilizaji wapendwa, mliosikia ni wimbo wa kabila la Wamongolia. Wimbo huo unajulikana kote nchini China kutokana na mtandao wa internet na wengi kuufanya wimbo huo kuwa ni mlio wa simu za mkononi..
v Filamu za China katika kipindi cha mwanzo 2005/12/19
Tokea China ilipoanza kutengeneza filamu mwaka 1905 hadi sasa imetimia miaka mia moja. Katika muda huo wa miaka mia moja?filamu zimekuwa sehemu muhimu ya maisha ya watu wa China, mabadiliko ya jamii na hisia za huzuni na furaha za watu wa China pia zimerekodiwa katika filamu.
1 2 3 4 5 6 7 8 9