Wafanyakazi wa Idhaa ya Kiswahili ya CRI
China Radio International
China
Dunia
 
v Mkutno mkuu wa wanafasihi na wasanii wa China wafanyika mjini Beijing 2006/12/18
Mkutano mkuu wa wanafasihi na wasanii wa China ulifanyika hivi karibuni mjini Beijing. Rais Hu Jintao alihudhuria ufunguzi wa mkutano huo na kutoa hotuba muhimu.
v Bi. Zhu Mingying msanii anayechangia kuendeleza urafiki kati ya China na Afrika  2006/11/27
Mliosikia ni wimbo wa Afrika uitwao "Yiyaya Leo" alioimba mwimbaji mashuhuri wa China Bi. Zhu Mingying. Watazamaji wanavutiwa sana kutokana na jinsi anavyoimba na huku akicheza ngoma. Tokea mwishoni mwa miaka ya 70 ya karne iliyopita aliimba nyimbo nyingi za Asia, Afrika na Latin Amerika
v Msanii wa ngonjera ya kuchekesha, Ma Ji 2006/11/20
Ikilinganishwa na lugha zinanzoandikwa kwa herufi za Kilatini, lugha ya Kichina ina mvuo wake pekee ambayo licha ya kuwa na usanii wa maandiko wa mitindo ya aina nyingi pia ina usanii wa kuongea, na ngonjera ya kuchekesha ni usanii mmoja pia. Bw. Ma Ji ni msanii anayefahamika kwa Wachina wengi katika usanii huo.
v Mwandishi wa vitabu Wang Shuzeng 2006/10/30
Bw. Wang Shuzeng ni mwandishi wa vitabu, na vitabu alivyoandika vinasomwa na watu wengi. Wakati Wachina wanapoadhimisha miaka 70 ya "Safari Ndefu ya Jeshi Jekundu" kitabu kiitwacho "Safari Ndefu" kilichoandikwa na Bw. Wang Shuzeng kwa miaka sita sasa kimechapishwa.
v Mwanaharakati wa sanaa, Dong Mengyang 2006/10/16
Tamasha la kwanza la kimataifa la nyumba za sanaa lililofanyika miaka miwili iliyopita na "Tamasha la Sanaa la Beijing" litakalofanyika mwezi Oktoba, yote ni matamasha yaliyoandaliwa na mwanaharakati kijana wa sanaa nchini China Dong Mengyang. Kutokana na juhudi zake ameunganisha soko la sanaa la China na soko la nchi za nje.
v Viongozi wa sekta ya utamaduni wafafanua Mpango wa Maendeleo ya Utamaduni nchini China 2006/10/09
Hivi karibuni viongozi wa Wizara ya Utamaduni, Idara Kuu ya Redio, Filamu na Televisheni pamoja na Ofisi Kuu ya Uchapishaji nchini China walifanya mkutano na waandishi wa habari
v Sikukuu ya Mwezi ya Wachina  2006/10/02
Tarehe 5 Oktoba ni tarehe 15 Agosti kwa kalenda ya mwezi ya Kichina, katika siku hiyo jamaa hujiunga pamoja na kuisherehekea siku hiyo na kuburudika kwa mwezi wa mviringo kabisa katika mwaka mzima.
v Mwongoza filamu Jia Zhangke 2006/09/25
Katika Tamasha la 63 la Filamu la Kimataifa lililofungwa hivi karibuni mjini Venice, mwongoza filamu kijana Jia Zhangke alipata "tuzo ya simba" kwa filamu yake "Raia Wema katika Magenge Matatu ya Mto Changjiang",
v Wachapishaji wa vitabu wa nchi za nje wamimina kwenye tamasha la kimataifa la vitabu mjini Beijing 2006/09/18
Tamasha la 13 la kimataifa la vitabu lilifanyika mjini Beijing kuanzia tarehe 30 Agosti hadi tarehe 2 Septemba, wachapichaji wa vitabu 1,700 kutoka nchi 50 walishiriki kwenye tamasha hilo. Idadi hiyo ni karibu maradufu kuliko tamasha lililotangulia.
v Mtu mashuhuri katika China ya kale, Zheng Chenggong 2006/09/18
Zheng Chenggong ni shujaa wa taifa la China. Katika karne ya 17 aliongoza msafara wa merikebu kuvuka mlango wa bahari na kufika kisiwani Taiwan, aliwatimua wakoloni wa Uholanzi waliokalia huko kwa miaka 38 na kurudisha ardhi ya China.
v Sekta ya televisheni nchini China yaingia katika kipindi cha ushindani mkubwa  2006/09/04
Hivi sasa, televisheni imekuwa sehemu muhimu ambayo haiwezi kukosekana katika maisha ya kila siku ya wananchi wa China, kwa kutazama televisheni watu wanaweza kufahamu mambo mengi makubwa ya nchini na ya nchi za nje, na kwa kutazama televisheni wanapata burudani za kila aina.
v Kundi la kwanza la vitabu vya kale vilivyogunduliwa katika mapango ya Dunhuang nchini China vyachapishwa upya 2006/08/07
Kundi la kwanza la vitabu 30 kati ya vitabu vya kale vilivyogunduliwa katika mapango ya Dunhuang nchini China na kuhifadhiwa katika maktaba ya taifa ya China vimechapishwa kwa kupigwa picha
v Mwandishi wa vitabu vinavyohusu mambo ya jeshi nchini China, Chen Xiaodong 2006/07/31
Fasihi ya mambo ya kijeshi ni sehemu muhimu katika fasihi duniani. Ukatili wa vita, ushupavu wa askari, nidhamu kali za kijeshi na migongano ya kiutu, yote hayo huwa ni mada za maandishi ya fasihi ya kijeshi. Lakini mwandishi wa vitabu Chen Xiaodong hakuandika mada hiyo bali aliyoandika yote yanahusu chombo cha anga na wanasayansi wakubwa wa mambo ya kijeshi wa China.
v Mchoraji mashuhuri wa China Bi. Liu Shuqin 2006/07/17
Mto Huanghe, ambao ni moja ya mito mikubwa nchini China, Wachina pia wanauita "Mto Mama". Mto huo unaanzia kwenye Uwanda wa Juu wa Qinghai-Tibet, magharibi mwa China, na kutiririka kwenda mashariki hadi kuingia baharini. Mabonde ya mto huo yalikuwa ni chimbuko la utamaduni wa kale wa China.
v Mwigizaji mashuhuri wa filamu mwenye asili ya China, Lu Yan 2006/07/03
Bibi Lu Yan ni mwamuzi pekee wa Mashariki katika kamati ya waamuzi wa tuzo ya Oscar nchini Marekani, alikuwa mwigizaji nyota wa filamu mwenye asili ya China. Ingawa sasa ana umri wa miaka 79 lakini vyombo vya habari vinamsifu kuwa bado ni "kisura kama zamani".
1 2 3 4 5 6 7 8 9