Wafanyakazi wa Idhaa ya Kiswahili ya CRI
China Radio International
China
Dunia
 
v Mwigizaji kijana Wang Baoqiang 2008/05/22
Miaka zaidi ya kumi iliyopita, mtoto mmoja baada ya kutazama filamu iliyooneshwa kijijini mwake alikuwa na ndoto ya kuwa mwigizaji filamu, na kweli baada ya juhudi ametimiza ndoto yake na kuwa mwigizaji mashuhuri, mwigizaji huyo anaitwa Wang Baoqiang.
v Beijing yaanzisha shughuli nyingi za utamaduni kukaribisha Michezo ya Olimpiki 2008/05/08
Tarehe 8 Agosti mwaka huu Michezo ya Olimpiki ya 29 itazunduliwa mjini Beijing. Ili kuikaribisha michezo hiyo Kamati ya Maandalizi ya Michezo ya Olimpiki ya Beijing iliamua kufanya shughuli nyingi za utamaduni mjini Beijing kuanzia mwezi Machi hadi Septemba.
v Upigaji wa filamu ya kiserikali ya michezo ya Olimpiki ya mwaka 2008 mjini Beijing unaendelea vizuri  2008/04/24
Filamu ya kiserikali ya michezo ya Olimpiki ya Beijing mwaka 2008 ilianza kupigwa mwezi Agosti mwaka jana, tarehe 12 Machi mwaka huu sherehe ya kuanza kupiga filamu hiyo nje ya China ilifanyika, na kundi la kwanza la wapiga filamu hiyo liliondoka Beijing kwenda nchi za nje, kisha makundi mengine yameondoka pia kwa nyakati tofauti.
v Utamaduni wa Tibet wapata maendeleo kutokana na juhudi za serikali ya China za kurithisha na kuhifadhi utamaduni 2008/04/22
Opera ya kitibet ni sanaa inayoelezea hadithi kwa kuimba na kucheza inayofahamika sana kwenye sehemu wanakoishi watu wa kabila la Watibet hasa mkoani Tibet .
v Majumba ya makumbusho nchini China yafunguliwa kwa watazamaji bila malipo 2008/04/17
Nchini China majumba ya makumbusho yamefunguliwa bure kwa umma badala ya kutoza kiingilio kama ilivyokuwa hapo kabla. Hii ni hatua iliyochukuliwa na Wizara ya Utamaduni ya China hivi karibuni ili kunufaisha umma.
v Shanghai yawapatia wakazi wake huduma za kiutamaduni 2008/04/10
Serikali ya mji wa Shanghai, mji wa pwani mashariki mwa China, inafanya juhudi nyingi kuwapatia wakazi wake huduma za kiutamaduni.
v Mji wa Taiyuan China wastawisha soko la utamaduni kwa michezo iliyo bora ya sanaa 2008/04/03
Mkoa wa Shanxi ni chimbuko la opera ya jadi nchini China. Opera maarufu ya "Msichana Mwenye Nywele Nyeupe" iliyotungwa katika miaka ya 40 ya karne iliyopita ndio iliyotungwa kwa msingi wa opera ya jadi ya mkoa huo. Katika miaka ya hivi karibuni, mji mkuu wa mkoa huo, Taiyuan, umeanza kustawisha soko la utamaduni kwa michezo iliyo bora na umepata mafanikio dhahiri
v Michezo ya sanaa ya Quyi yastawishwa mjini Tianjin, China 2008/03/17
Quyi ni jina la michezo ya sanaa zinazoeleza mambo kwa kuongea au kuimba, ni aina ya michezo ya sanaa iliyopatikana kutoka fasihi simulizi na kueleza mambo kwa kuimba baada ya mabadiliko ya muda mrefu.
v Jumba la makumbusho ya mila na jadi ya "Hutong Zhang" la Beijing 2008/03/10
Michezo ya 29 ya Olimpiki itafanyika hapa Beijing katika majira ya joto ya mwaka huu. Mji mkuu wa Beijing wenye historia ya miaka 3,000 unavutia watalii wengi zaidi kuutembelea mji huu kwa uzuri na vivutio vyake.
v Mwandishi wa hadithi za watoto Bw. Zheng Yuanjie 2008/03/03
Mwandishi wa hadithi za watoto Bw. Zheng Yuanjie anajulikana sana nchini China. Miaka 20 iliyopita alisawiri panya wawili waitwao Shuka na Beita kwenye hadithi aliyotunga inayoitwa "Hatari Zilizowakuta Shuka na Beita", panya hao wawili wanakumbukwa na kupendwa sana na wasomaji watoto hadi leo.
v Sanaa za asili za makabila madogo madogo zahifadhiwa nchini China 2008/02/18
Nchini China kuna makabila madogo madogo 55 ambayo watu wake wanachukua asilimia 8 ya watu wote wa China. Watu wa makabila hayo ni hodari wa kueleza maisha yao kwa kuimba na kucheza ngoma.
v Mradi wa kuhifadhi mabaki ya kale ya Beijing uliofanyika kwa miaka minane umekamilika 2008/02/04
Mradi wa kuhifadhi mabaki ya kale ya Beijing uliofanyika kwa miaka minane umekamilika. Katika muda wa miaka minane iliyopita serikali ya Beijing ilitenga Yuan milioni 930 kwa ajili ya kukarabati na kuhifadhi mabaki ya kale, mafanikio yake ni makubwa.
v Uzalishaji mali katika sekta ya utamaduni mjini Beijing wastawi haraka 2008/01/14
Kama wewe ni mpenda sanaa, ukitembelea mji wa Beijing hakika usikose kufika kwenye mtaa wa sanaa No. 798, kwani hapo ni mahali ambapo wasanii zaidi ya mia moja wamekusanyika, na ziko sanaa za kila aina zikiwa ni pamoja na picha za kuchorwa, sanamu za kuchongwa na kufinyangwa, mapambo ya nyumba na picha zilizopigwa kwa kamera. Mtaa huo umekuwa kituo kikubwa cha sanaa mjini Beijing.
v China yaendelea kutenga fedha nyingi ili kustawisha huduma za kiutamaduni kwa umma  2007/12/31
Hivi karibuni kitabu cha "Ripoti kuhusu Maendeleo ya Huduma za Kiutamaduni Mwaka 2007" kimetolewa na Taasisi ya Sayansi ya Jamii ya China. Kitabu hicho kimeeleza maendeleo ya huduma za kiutamaduni kwa pande zote ikiwa ni pamoja na shughuli za mambo ya sanaa, uandishi wa habari, uchapishaji, matangazo ya redio na televisheni.
v Utamaduni wa asili wa mkoa wa Qinghai wastawishwa  2007/12/31
Qinghai ni mkoa ulioko kwenye Uwanda wa Juu wa Qinghai-Tibet, mkoani humo wanaishi watu wa makabila mengi. Kutokana na hali yake ya kijiografia na kuwa na makabila mengi, utamaduni mkoani humo una mvuto wa aina yake. Lakini kutokana na kushamiri kwa utamaduni wa kisasa..
1 2 3 4 5 6 7 8 9