Wafanyakazi wa Idhaa ya Kiswahili ya CRI
China Radio International
China
Dunia
 
v Mchonga picha za paka kwenye tunguri 2005/12/12
Tunguri ni kibuyu kidogo ambacho licha ya kuweza kutumiwa na waganga wa kienyeji kuwekea dawa zao, pia kinaweza kuwa kitu cha sanaa baada ya kuchorwa au kuchongwa na wasanii.
v Tamasha la Sanaa la Asia Lafanyika Mjini Foshan, China 2005/11/28
Kuanzia tarehe 11 hadi 17 Novemba Tamasha la Sanaa la Asia lilifanyika katika mji wa Foshan, kusini mwa China. Wasanii zaidi ya 500 kutoka nchi 21 za Asia walishiriki kwenye tamasha hilo.
v Maendeleo makubwa ya majumba ya makumbusho katika karne moja iliyopita nchini China  2005/11/07
Katika sehemu ya kusini ya China, karibu na mji wa Shanghai ukisasfiri kwa gari kwa muda wa saa mbili hivi utafika kwenye mji mmoja mdogo unaoitwa Nantong. Siku chache zilizopita wakuu wa majumba ya makumbusho zaidi ya 130 kutoka nchini China na nchi za nje walikusanyika katika mji huo kuadhimisha miaka mia moja tokea jumba la makumbusho la kwanza lianzishwe nchini China. 
v Muziki wa Jadi wa Kichina na Rock'n'Roll Waungana nchini China  2005/10/03
Muziki wa Rock'n'Roll ulianza kutokea katika miaka ya 50 ya karne ya 20 vijijini nchini Marekani, wakati huo waimbaji wa vijijini magharibi mwa China walipokea sifa za muziki wa Afrika na kuupata muziki huo. Bendi ya Tangchao ya China iliingiza muziki wa jadi wa Kichina ndani ya muziki huo na kupata muziki wa Rock'n'Roll wa Kichina.
v Mtaalamu wa Majengo ya Kale ya Kitibet, Choekyi Gyaltsen 2005/09/26

Mkoani Tibet kuna majengo mengi ya kale ya aina ya Kitibet yanayovutia watalii wengi. Majengo hayo ni sehemu muhimu ya utamaduni wa Tibet. Hivi sasa namna ya kuhifadhi na kudumisha majengo hayo ni suala muhimu sana.

v Fasihi ya Makabila Madogo Madogo Iliyojaa Ustawi nchini China 2005/09/05
Maandishi ya kikabila yaliyopata tuzo ya "farasi hodari" yamechaguliwa hivi karibuni. Maandishi 30 yaliyoandikwa na waandishi wa makabila madogo madogo 15 yamepata tuzo hiyo.
v Mtarizi wa kabila la Wamiao, Zhang Chunying 2005/08/15
Utarizi wa kabila la Wamiao ulianza zamani sana, utarizi huo unarithiwa kutoka kizazi hadi kizazi miongoni mwa wanawake wa kabila hilo. Lakini kutokana na jinsi jamii inavyoendelea?ufundi huo uliokuwa na historia ndefu umezorota, kama ni ua lililochanua sana katika bustani ya maua ya sanaa, sasa limeanza kusinyaa.
v Mwimbaji Mashuhuri wa Kabila la Watibet Dan Zeng 2005/08/08
Kabila la Watibet ni moja kati ya makabila 56 ya China, watu wa kabila hilo ni hodari katika kuimba na kucheza ngoma, watu husema, "Mtibet yeyote anayeweza kuongea anaweza kuimba, na anayeweza kutembea anaweza kucheza ngoma."
v Mchora picha wa Taiwan Kang Yaonan 2005/06/27
Hivi karibuni Bw. Kang Yaonan aliyetoka kisiwa cha Taiwan alifanya maonesho ya picha mjini Beijing ili kuwasaidia wagonjwa wa UKIMWI, kwa kuziuza picha hizo baada ya maonesho.
v Mwandishi kijana Wang Zheng 2005/06/20
Katika miaka ya karibuni, nchini China wametokea waandishi wengi vijana, na wengi wao ni watunzi wa riwaya za Gongfu na za maisha ya ujana.
v Wakusanyaji vinyago vya Afrika, mume na mke Bw. Li Songshan na Bi. Han Rong 2005/06/06
Siku chache zilizopita, mume na mke Bw. Li Songshan na Bi. Han Rong walilizawadia Jumba la Sanaa la China vinyago vingi vya Afrika. Bw. Li Songshan na Bi. Han Rong wamekuwa wakijishughulisha na ukusanyaji wa vinyago kwa miaka mingi nchini Tanzania na walianzisha Shirikisho la Sanaa ya Makonde Tanzania.
v Shamrashamra katika sikukuu ya kikabila 2005/05/30
Tarehe 15 Mei ilikuwa ni sikukuu ya jadi ya makabila yaliyoko kusini magharibi mwa China, katika siku hiyo shamshara zilipamba moto katika mji wa Guiyang mkoani Guizhou.
v Klabu za aina nyingi za utamaduni katika vyuo vikuu mjini Beijing  2005/05/16
Mjini Beijing kuna vyuo vikuu zaidi ya 70 na wanafunzi wako zaidi ya laki tano. Nje ya masomo wanafunzi hao hushiriki katika klabu za aina nyingi za utamaduni.
v Moja ya sanaa za jadi za Kichina, uchapaji urembo kwenye kitambaa kwa nta 2005/05/10
Uchapaji urembo kwenye kitambaa kwa nta ni moja ya sanaa za kale na za jadi nchini China. Sanaa hiyo ilirithishwa kizazi hadi kizazi na imeenea sana katika mkoa wa Guizhou, kusini magharibi mwa China miongoni mwa watu wa makabila madogo madogo.
v Mradi wa kufikisha matangazo ya redio na televisheni kwenye kila kijiji nchini China wapata mafanikio makubwa 2005/04/11
Hivi karibuni mkutano kuhusu mradi wa kufikisha matangazo ya redio na televisheni kwenye kila kijiji nchini China ulifanyika katika mkoa wa Guangxi, mkutano huo umeweka kiwango kipya cha mradi huo.
1 2 3 4 5 6 7 8 9