Wafanyakazi wa Idhaa ya Kiswahili ya CRI
China Radio International
China
Dunia
 
v Kijiji cha Dagang 2004/06/23
v Hekalu la Confucius 2004/06/18
v Ngome za Kuishi za kabila la Watibet 2004/06/11
v Hifadhi ya urithi wa duniani nchini China 2004/06/09
v Makumbusho Binafsi 2004/05/19
v Lugha ya Kitibet yahifadhiwa 2004/05/03
v Kasri la Kifalme Mjini Beijing 2004/04/13
Katikati ya mji wa Beijing kuna jamii kubwa ya majumba ya zamani ya adhama na fahari, hilo ndio kasri la kifalme lililo maarufu sana duniani, na vilevile ni kasri pekee lililojengwa kwa mbao tupu.
v Ukuta Mkuu wa China 2004/03/26
China ni nchi yenye historia ndefu na utamadumi mkubwa, na vivutio vingi vya utalii. Kumbukumbu nyingi za mandhari ya kimaumbile na za utamaduni zinadhihirisha akili nyingi na juhudi kubwa za watu China ya kale.
v Confucius na Nadharia Yake 2004/02/16
Mtu yeyote anapozungumzia utamaduni wa China hawezi kuacha kumtaja Confucius. Kwenye miaka ya 70 ya karne iliyopita, msomi mmoja wa Marekani alipoorodhesha watu 100 wenye taathira kubwa kabisa katika historia ya dunia, Confucius alipangwa wa tano, nyuma tu ya Yesu, Sakyamuni ambaye  ni mwanzilishi wa dini ya Buddha, na wengine wawili.
v Mwaka wa Kima wa kichina 2004/01/22
Kwa kalenda ya kichina kila mwaka unawakilishwa na mnyama wa aina moja, wachina wameuaga mwaka wa Mbuzi kuanzia tarehe 22 mwezi huu na kuingia katika mwaka mpya wa Kima
v Chakula cha Jiaozi cha kichina 2004/01/22
Chakula cha Jiaozi ni chakula kinachopendwa sana na watu wa kaskazini ya China, kila ifikapo sikukuu, watu wa kaskazini ya China wanapenda kutengeneza chakula hicho na kula pamoja nyumbani kwao
v Hifadhi ya mahekalu ya dini huko Tibet 2003/12/16
Mkoa Unaojiendesha wa Tibet uko katika nyanda za juu za Qinghai-Tibet, kaskazini magharibi mwa China, ambapo ni nyanda za juu kabisa duniani. Mahekalu yenye kuta nyeupe na paa nyekundu, waumini wanaosujudu kila baada ya hatua huku wakiomba dua na kujongelea mahekalu ni mandhari pekee ya Kitibet isiyoonekana sehemu nyingine duniani
v Kaburi la mfalme wa kwanza Qinshihuang 2003/12/16
Kaburi hili liko katika sehemu ya magharibi ya China. Sanamu za askari na farasi zilizozikwa ndani zinajulikana kama piramidi ya Misri ya kale, ni miujiza ya nane duniani.
1 2 3 4 5 6 7 8 9