• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • • Jumba la maonesho la pamoja la Afrika lawa jukwaa la kuonesha sura za nchi mbalimbali za Afrika
    Hivi karibuni idadi ya watalii wanaotembelea Jumba la pamoja la Afrika kwenye maonesho ya kimataifa ya Shanghai imezidi milioni 7.5, na inakaridiwa kuwa hadi mwishoni mwa mwezi Julai, idadi hiyo itazidi milioni 10.
    • Wazo jipya la kujenga mji unaofaa kuishi
    Bibi Liu Fangfang ana umri wa miaka 28, yeye ni mmoja kati ya waliohamia mjini Shanghai. Sasa anafanya kazi katika shule ya kifaransa huko Shanghai, na anaridhika na kazi hiyo. Jambo moja tu linalomsumbua ni nyumba.
    • Mji wa Rotterdam waendelezwa pamoja na miradi ya maji
    Uholanzi inayojulikana kuwa nchi yenye ardhi iliyo ya chini, robo ya ardhi yake iko chini ya usawa wa bahari, ikiwa ni pamoja na mji wa Rotterdam, ambao bandari yake inachukua nafasi ya kwanza kwa ukubwa duniani. Mji huu ni kama askari wa doria kuhusu maafa ya maji. Hali ya kuwa na bandari kubwa imeuletea mji wa Rotterdam fursa nyingi za kibiashara na kuhimiza maendeleo ya mji
    • Watu wa Afrika wafanya juhudi ili maisha ya siku za mbele yawe mazuri zaidi
    Tarehe 3 Juni ilikuwa ni siku ya heshima ya kamati ya Umoja wa Afrika. Kwenye eneo la maonesho ya kimataifa ya Shanghai, jumba la maonesho la pamoja la Afrika liliwaonesha watu Afrika halisi, na kuwawezesha wafahamu zaidi nchi za Afrika na maisha ya watu wa huko.
    • Waandishi wa habari wadogo kwenye eneo la maonesho ya kimataifa ya Shanghai
    Msichana Yu Shiyao mwenye umri wa miaka 12 ni mwanafunzi wa darasa la 6, lakini hii ni mara yake ya kwanza kuja kwenye eneo la maonesho ya kimataifa ya Shanghai, lakini sio kwa ajili ya kutembelea kama walivyo watoto wengine, bali yeye ni mwandishi wa habari wa gazeti la watoto wa Shanghai
    • Maonesho ya kimataifa ni zawadi kwa watoto
    Maonesho ya kimataifa ya Shanghai yamejaa ubunifu na kuwapa watu taswira nyingi nzuri kuhusu dunia, hivyo yanafaa zaidi kutembelewa na watoto, kwani watoto ni watu wanapenda kutimiza ndoto, na ni matumaini ya siku za baadaye. Kwenye eneo la maonesho ya kimataifa, watoto wameona busara za watu kutoka sehemu mbalimbali duniani, huenda hawaelewi wanachoona, lakini wanafurahia sana.
    • "Kitongoji cha Xingqiba" chawasaidia watoto kupata uzoefu kama watu wazima
    Mjini Shanghai, kuna kituo kinachoitwa "Kitongoji cha Xingqiba", ambapo watoto wanaweza kuwaiga watu wazima kufanya kazi mbalimbali. Kwenye kitongoji hicho, kuna kocha mwenye umri wa miaka mitano anayetoa mafunzo ya kujenga mwili, keshia wa benki mwenye umri wa miaka 7, mpishi wa chakula cha kichina mwenye umri wa miaka minne, na polisi mwenye umri wa miaka sita.
    • Mke wa Rais wa Tanzania asema wanawake ni msukumo mkubwa wa kuhimiza maendeleo
    Mke wa rais wa Tanzania Mama Salma Kikwete ambaye alikuja hapa Beijing kuhudhuria mkutano wa wanawake duniani, aliongea na CRI idhaa ya Kiswahili kuhusu mchango waliotoa wanawake katika maendeleo ya jamii, na changamoto zinazowakabili wanawake kwa sasa.
    • Maisha ya Maria: mrembo wa dunia nchini China
    Bibi Maria, ambaye ni mrembo wa dunia kutoka Sierra Leone ameishi nchini China kwa miaka sita au saba hivi. Anaipenda China, na alisema China ni maskani yake ya pili.
    • Watu wenye upofu wanaoshughulikia usingaji wanawaletea watu furaha kwa mikono yao
    Usingaji ni njia muhimu ya kulinda afya katika matibabu ya jadi ya China. Watu wengi huwa wanawaamini zaidi watu wenye upofu wanaoshughulikia kazi ya usingaji, kwani wanaona kuwa wasingaji hao sio tu wana ustadi mkubwa, bali pia wanafanya kazi kwa makini zaidi kuliko watu wa kawaida.
    prev 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 next
    SearchYYMMDD  
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako